Rais Samia tafadhali tafuta Mkuu wa Mkoa Mpya wa Dar es Salaam kwani huyu Amos Makalla ni 'incompetent' na 'failure' kabisa Kiuongozi

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Hatuwezi kuwa na Mkuu wa Mkoa ambaye huyo huyo Mmoja anakuja na Kauli Mbili Kinzani juu ya Jambo / Sakata fulani lenye Umuhimu na Unyeti wake katika Jamii ya wana Dar es Salaam.

Ni Mkuu wa Mkoa anayeziidiwa Maarifa ( Akili ) na wana Dar es Salaam wote hivyo tunahitaji Mkuu wa Mkoa ambaye ama ametuzidi kidogo Upeo au tuko nae sawa ili tuweze kwenda nae sawa pia ila siyo kwa huyu Amos Makalla.

Mheshimiwa Rais najua unaogopa Kumtoa hapo kwakuwa ni Team Msoga ( ambaye kwa sasa ndiyo Mshauri wako Mkuu ) na ndiyo Yeye pia alikuomba umpe Ukuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ila Kiukweli nikuambie tu kuwa Mkoa wa Dar es Salaam na Changamoto zake unamzidi uwezo alionao.

Ama turudishie Abubakary Kunenge au tuletee Mtaka au Dada yetu na Mtoto wa Mjini hasa Sofia Mjema ambaye huu Mkoa ungemfaa hasa, angeuweza kwakuwa alishawahi pia hata kuwa Mkuu wa Wilaya yenye Masela, Wabishi na Watu waliovurugwa tupu wa Ilala na aliumudu vyema kabisa.

Nilipoona tu kila mara Mkuu huyu wa sasa wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla anapenda Kukusifia, Kukulamba Miguu, Kukupamba karibia na hata kutaka Kumkufuru Mwenyezi Mungu kila akiwa pamoja nawe katika Hafla za Kimkoa ( wa Dar es Salaam ) nilishajua tu kuwa hatuna Mkuu wa Mkoa bali tuna Kituko tupu.

Muondoe na mpe tu Cheo huko CCM!!!
 
Uzembe wa kufikiria unakusumbua, pia kuna kaudini kwa mbaaali kanakusumbua pia. Ukiwa na mapungufu hayo basi utatumia au umetumia, au unatumia nguvu kubwa mno kuelewa mambo.
 
Amos yuko vzr sna jiji kwa sas limepumua aise yaani kanifurahisha sna jins alivyo li handle swal la machinga na vibanda vyao ktkt ya jjj la dsm
Mitano Tena kwa Amos .CPA amos makala

Tena kwa taarifa yako Amos ni msomi wa kiwango cha juu San Cha uhasibu siyo wee. Popoma wa buguruni malapa Happ amabye huna taaluma yoyote ile kila kitu unajifanya unajuwa tokaaaaa uko nenda kamkosoe manaraaa
 
Huna sababu zozote za msingi za kumtoa makala zaidi ya chuki zako .....

Raisi hawezi tengua utezi kwa kusikiliza maneno ya walevi na wanywa double kick kama wewe ....!

Kaa kwa kutulia...!
Sintashangaa kama hao ni watu wa Bashite au Bashite mwenyewe!!
 
Huna sababu zozote za msingi za kumtoa makala zaidi ya chuki zako .....

Raisi hawezi tengua utezi kwa kusikiliza maneno ya walevi na wanywa double kick kama wewe ....!

Kaa kwa kutulia...!
Amos Makala umefura kama chura mwenye mimba.

Anataka kumwaga ugali wako maskini!

Unafoka tu na kutahayari!
 
Hatuwezi kuwa na Mkuu wa Mkoa ambaye huyo huyo Mmoja anakuja na Kauli Mbili Kinzani juu ya Jambo / Sakata fulani lenye Umuhimu na Unyeti wake katika Jamii ya wana Dar es Salaam.

Ni Mkuu wa Mkoa anayeziidiwa Maarifa ( Akili ) na wana Dar es Salaam wote hivyo tunahitaji Mkuu wa Mkoa ambaye ama ametuzidi kidogo Upeo au tuko nae sawa ili tuweze kwenda nae sawa pia ila siyo kwa huyu Amos Makalla.

Mheshimiwa Rais najua unaogopa Kumtoa hapo kwakuwa ni Team Msoga ( ambaye kwa sasa ndiyo Mshauri wako Mkuu ) na ndiyo Yeye pia alikuomba umpe Ukuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ila Kiukweli nikuambie tu kuwa Mkoa wa Dar es Salaam na Changamoto zake unamzidi uwezo alionao.

Ama turudishie Abubakary Kunenge au tuletee Mtaka au Dada yetu na Mtoto wa Mjini hasa Sofia Mjema ambaye huu Mkoa ungemfaa hasa, angeuweza kwakuwa alishawahi pia hata kuwa Mkuu wa Wilaya yenye Masela, Wabishi na Watu waliovurugwa tupu wa Ilala na aliumudu vyema kabisa.

Nilipoona tu kila mara Mkuu huyu wa sasa wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla anapenda Kukusifia, Kukulamba Miguu, Kukupamba karibia na hata kutaka Kumkufuru Mwenyezi Mungu kila akiwa pamoja nawe katika Hafla za Kimkoa ( wa Dar es Salaam ) nilishajua tu kuwa hatuna Mkuu wa Mkoa bali tuna Kituko tupu.

Muondoe na mpe tu Cheo huko CCM!!!
🤣🤣🤣🤣

Fitina na majungu si mtaji....

#Siempre JMT🙏
 
Naona umekuja na ID nyingine, lakini umeshindwa kubadirisha Mwandiko wako na herufi zako 7 za ID yako mpya....!
 
Hatuwezi kuwa na Mkuu wa Mkoa ambaye huyo huyo Mmoja anakuja na Kauli Mbili Kinzani juu ya Jambo / Sakata fulani lenye Umuhimu na Unyeti wake katika Jamii ya wana Dar es Salaam.

Ni Mkuu wa Mkoa anayeziidiwa Maarifa ( Akili ) na wana Dar es Salaam wote hivyo tunahitaji Mkuu wa Mkoa ambaye ama ametuzidi kidogo Upeo au tuko nae sawa ili tuweze kwenda nae sawa pia ila siyo kwa huyu Amos Makalla.

Mheshimiwa Rais najua unaogopa Kumtoa hapo kwakuwa ni Team Msoga ( ambaye kwa sasa ndiyo Mshauri wako Mkuu ) na ndiyo Yeye pia alikuomba umpe Ukuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ila Kiukweli nikuambie tu kuwa Mkoa wa Dar es Salaam na Changamoto zake unamzidi uwezo alionao.

Ama turudishie Abubakary Kunenge au tuletee Mtaka au Dada yetu na Mtoto wa Mjini hasa Sofia Mjema ambaye huu Mkoa ungemfaa hasa, angeuweza kwakuwa alishawahi pia hata kuwa Mkuu wa Wilaya yenye Masela, Wabishi na Watu waliovurugwa tupu wa Ilala na aliumudu vyema kabisa.

Nilipoona tu kila mara Mkuu huyu wa sasa wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla anapenda Kukusifia, Kukulamba Miguu, Kukupamba karibia na hata kutaka Kumkufuru Mwenyezi Mungu kila akiwa pamoja nawe katika Hafla za Kimkoa ( wa Dar es Salaam ) nilishajua tu kuwa hatuna Mkuu wa Mkoa bali tuna Kituko tupu.

Muondoe na mpe tu Cheo huko CCM!!!
Acha chuki kima wewe!
 
Makala ni mkuu wa mkoa smart kuliko hao waliopita. Bila mbinu anazotumia kuliweka jiji Safi sasa hivi tungekuwa tunashuhudia vibaka wakikwapua mali mchana kweupe.
 
Back
Top Bottom