Rais Samia Suluhu piga chini daraja la Kigongo - Busisi haijalishi lilipofikia

Daraja la Kigogo busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.

Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.

Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Roho mbaya haijengi.
 
Nyie jamaa watanzania tulikua sahihi kuwapiga chini nyie. Ni afadhali kuwapiga chini nyie tena kuliko kupiga chini usemacho....miradi yote itakamilika, subirini kama nchi italaaniwa na Mungu mkipata kuongoza nchi mtaenda libomoa...
 
Umeandika ujinga sana aisee.

Lile daraja kuna projects zangu ntakuwa natumia dakika tu kwenda na kurudi.

Bora Chato airport ipigwe chini maana kwa daraja lile Mwanza ni kuteleza tu
 
Hilo daraja haliunganishi mwanza na geita pekee inarahisisha pia usafiri wa bukoba, kagera. Wakwe wa Magu unawaonea tu maana daraja lina watumiaji wengi sana
 
Daraja la Kigogo busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.

Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.

Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Lamebrain!
Kuna wakati unasoma msg kama hizi ndo unaona umuhimu wa kuwa na mtu anayewaswaga wenye vichwa vibovu kama nguruwe. Wangekuwa wanajenga fly-over Dar, ungeunga mkono eti foleni ni kubwa sana! Wanavyojenga daraja la mto Wami kuelekea Segera, unaona ni sawa sana maana tuendao Tanga, Moshi na Arusha tunahatarisha maisha yetu. Daraja la Kigamboni uliona sawa tu maana linapendezesha jiji. Hili la Busisi unalipa jina la wakwe, ili iweje?

Unachosema angeoa wapi? Kwa nini hukumpa nduguyo ili likipita Busisi isiwe ni ukweni? again, lamebrain person!
 
CHADEMA watu wabaya sana, nimejua kwanini hayati amewafutilia mbali..

Chadema tena? Sio kila kitu Chadema acha kuwa zozo kiasi kiasi hiki hata mkeo anaweza kupigwa papa ukasema Chadema hao usipokuwa makini
 
Na bado mtaona vituko vingi sana, wamezoea barabara za kupita baiskeli na miguu huku wakiwa na fimbo wana piga piga kuondoa umande, sasa ukiwajengea madaraja hawakuelewi, mleta mada angalia miradi mingine pia ifutwe.
 
Haya ndio matatizo ya kutokusoma geography na civics vizuri.

Kazi kukaa na wazee wakishalewa mbege na ulanzi wanaanza kukulisha pumba na upuuzi mwingine. Wewe kwa akili yako nyepesi Busisi, Geita na mwanza sio sehemu ya Tanzania au?!

Hebu muwe mnasali kabla ya kuandika nyuzi JF at least kufukuza pepo mbaya wa ubaguzi wa aina yoyote.

Aaaaaaaaah halafu nusu nisahau kukuuliza?!

Wewe ni raia wa Tanzania kweli?! Wazazi wako je?!

Uzeni ndege maana hazina tija ili tumalizie hilo daraja.
 
Huo Mradi utakuwa ni mkombozi kama vile Daraja la Mkapa kule Sauzi Nadhani yale Madege yaliyopaki ndio yapigwe mnada
Huo mradi hata ukiendelezwa hauna maana yoyote ile kwani tozo za kuvukia pale walalahoi watalazimika kurudi kwenye kivuko. Mradi wa trilioni 1 tungeamua kuweka vivuko pale vya kisasa na fedha nyingine kuelekezwa kwingine ingegharimu nini? Pale hakuna msongamano ila shida ni uhaba wa vivuko. Nakuambieni kuwa ule mradi ni wa hovyo hovyo!
 
Daraja la Kigogo busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.

Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.

Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Kumbe huyu jamaa ni mshamba na hajui kitu, wenzio ilo daraja ndio mtaji wa kura 2025,
Kingine hilo daraja ndio litakuwa linachochea uchumi wa nchi za maziwa makuu, kama hujui Uganda, Rwanda Burundi na Congo wanafurahia ujenzi wa hilo daraja, kijana unapaswa kuanza kukua sasa kiakili....uache kuropoka ropoka..
 
Huo mradi hata ukiendelezwa hauna maana yoyote ile kwani tozo za kuvukia pale walalahoi watalazimika kurudi kwenye kivuko. Mradi wa trilioni 1 tungeamua kuweka vivuko pale vya kisasa na fedha nyingine kuelekezwa kwingine ingegharimu nini? Pale hakuna msongamano ila shida ni uhaba wa vivuko. Nakuambieni kuwa ule mradi ni wa hovyo hovyo!
Cha muhimu ni tuendelee kudai Katiba Mpya
 
Amefanya kazi nzuri sana kwa taifa letu. Very well.
Ila kusema kuwa hakuna kiongozi wa Afrika ameweza kufanya kama yeye that a lie bro.

Correct me if I'm wrong. Egypt na Nigeria wana madaraja marefu zaidi Africa yanayo inganisha miji. Na wenzetu walijenga muda kidogo kabla yetu.
Basi mzee wetu alikua na uthubutu mkubwa Sana, apumzike kwa amani
 
Back
Top Bottom