Rais Samia Suluhu, fanya haya TRA

Tukiweka rates hizo; container ya nguo ya 40ft itaweza kulipiwa 35,000,000 na ya 20ft kama16,000,000 kwa kutumiareal invoice value sio hizi za kulazimishana kuhushi na mwisho wa siku ushuru haukusanywi!
Wazo zuri! Natumai wahusika wameliona na watalifanyia kazi
 
Endeleeni kumshauri mama Samiah haya na mengine, Ila ukweli ni kwamba suala la ulipaji kodi na ukusanyaji kwa ufanisi sahau. Sasa hivi Kuna vituo vya mafuta tayari hawatoi tena risiti. Tunarudi kulekule taratibu. Subirini hotuba nyingine yenye maneno matamu matamu mshangilie weee.. lakini niliwahi kusema Africa bila ubabe mambo hayaendi. Kila raia anataka aiibie serikali. Taratibu mtaelewa ninachomaanisha. Muda sio mrefu nchi itakuwa kwenye autopilot, inajiendesha tu kama enzi za mkwere.
Unamaana waafrika tuu wanyama au !!?? Mpaka uamini lazima tusagwe kama wanyama!!?? Futa kauli yako
 
Back
Top Bottom