Rais Samia Suluhu awasili Dar es Salaam akitokea Jijini Dodoma

... huyu mama inaelekea ni bonge la kiongozi kwa kuzaliwa!
It's too early to conclude... sie wengine JPM mwanzoni tulianza kumpa mashavu hivi hivi, lakini miezi 2 baadae, ikabidi nianze kuwakwepa Washikaji niliokuwa nawapa darasa la ubora wa JPM!!

Hivi binti kiziwi unakumbuka siku moja back in 2015 tulivyokuwa tumejenga matumaini makubwa kwa JPM?

All in all, nashangazwa na energy aliyokuwa nayo huyu mama manake ingawaje anatumia ndege lakini routes za mfululizo namna hii zinahitaji afya hasa!!
 
Tatizo mama anaenda kuwajibu kina

Bashir Yakub
Chige
thetallest

Na wengine. Mama hawa watu 'wapogo' tu tafadhali wasikunyime usingizi. Piga kazi na jiepushe sana kuwajibu watu wa mitandaoni. By the way, tunaokuunga mkono na tunaopenda upewe nafasi ufanye kazi kwa nafasi na kwa weledi wako tuko wengi kuliko hao wababaishaji
Kwa sasa kuhusu Mama nipo kati kati... siwezi kumkosoa kwa sababu sijaona cha kumkosoa na siwezi kusema "YES... huyu ndie hasa tuliyekuwa tunamtaka" coz' it's too early ingawaje hadi hapa alipofikia, anani-impress ingawaje siwezi kuweka dau!!!

Mama anawaumiza kichwa MATAGA, na sio watu aina yangu!! Na kinachowasumbua MATAGA ni ile kuona Mama anafanya tofauti na Malaika jambo ambao wao wanaona ni kama anaonesha mapungufu ya Mwendazake!!!

Sema kuniweka kundi moja na hao watu, unatakiwa kuniomba radhi kwa kweli!!
 
Samahani ya dhati kabisa mkuu. Hakika kuwekwa kundi moja na mataga ni fedheha sana kama wewe si mataga.

Uniwie radhi sana kiongozi

Nimefurahi msimamo wako
 
Apology accepted...

Labda hujawahi kunisoma chifu...

Ni nadra sana kupitisha siku bila kula mitusi ya hao MATAGA... si unajua wanaona kila anayemkosoa JPM basi ana chuki na JPM!!

Kuna Juha mmoja leo ndo kanishangaza ile mbaya... eti namchukia JPM kwa sababu ni Mkristo!!
 
Wameshapoteana hao.
 
It's too early to conclude... sie wengine JPM mwanzoni tulianza kumpa mashavu hivi hivi, lakini miezi 2 baadae, ikabidi nianze kuwakwepa Washikaji niliokuwa nawapa darasa la ubora wa JPM!!

Hivi binti kiziwi unakumbuka siku moja back in 2015 tulivyokuwa tumejenga matumaini makubwa kwa JPM?

All in all, nashangazwa na energy aliyokuwa nayo huyu mama manake ingawaje anatumia ndege lakini routes za mfululizo namna hii zinahitaji afya hasa!!
Our expectations was too high my friend, kumbe una kumbukumbu nzuri sana ya our discussions.

Nchi hii tunatakiwa kufanya jambo ili tuache kutegemea personality ya Rais kuamua kuhusu uchumi, siasa na ustawi wa jamii.

Nimekusoma sana recently, keep up the good work, there's some souls in here who will see the light and hence will be saved, ila utapambana sana na mataga 😀
 
Siwezi kusahau aisee!! Halafu Washikaji zangu wanaonifahamu misimamo yangu kisiasa niliwa-disappoint sana, hadi wakawa wanajiuliza nimekumbwa na nini hadi naanza kumuunga mkono Magu!!

Mbaya zaidi, nikawa nawashawishi na wao!!

Na umeongea jambo la msingi sana... tunategemea sana hulka na vision binafsi ya mtu!! Huwa najiuliza mtu kama Trump angekuwa ndo rais kwenye nchi inayoongozwa na maono binafsi badala ya mifumo imara, sijui ingekuwaje!!

Anyway, hao MATAGA wala hawaniumizi kichwa... tena wana bahati kwamba mimi ni mvivu sana kuanzisha threads compared na kuchangia, vinginevyo kila siku ningekuwa nawakera!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom