Rais Samia Suluhu anzisha customer service agency

Rais Samia Suluhu anzisha customer service agency

Nimesikiliza kidogo hotuba ya Mh Rais nikaguswa na jinsi anavyochukizwa na utaratibu wa kujua matatizo/kero za wananchi kupitia 'wabeba mabango'.

Naamini, kuna umuhimu pia wa kuanzisha Centralized Customer Service Agency (ikiwezekana iwe chini ya Ofisi ya Rais) itakayokusanya malalamiko yote ya wananchi) na kufuatilia 'end to end' na taasisi husika kuhakikisha yanatatuliwa, mfano, TANESCO na kuhakikisha wananchi (ambao kimsingi ni walipakodi) wanaridhika na huduma zinazotolewa na serikali yao.

Kama ilivyo kwenye makampuni binafsi, moja ya majukumu yake iwe ni kukusanya malalamiko na kumshauri Rais maeneo yenye kero sugu na korofi ili aweze kufanya maamuzi.

Kimsingi, malalamiko yote yawe centralized kupitia hiyo Agency, yapewe reference number na ufuatiliaji uwe unafanyika independently na mrejesho kwa wateja unatolewa na hiyo agency husika. Naamini hii itakupa picha kamili ya quality ya huduma zinazotolewa kwenye ngazi zote za Serikali.
Watu kama ww hata wakisema bando zishushwe bei inaleta maana, mchango safi sana
 
Kipara upooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilidhani umikwenda na Meko wenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji41]
Vipi hali yako kwa sasa unajisikiaje[emoji41]
Vumilia tu mtapona.

jingalao Ruttashobolwa cocochanel @stroke Pascal Mayalla
Nipo nitaendelea kumuenzi Hayati Magufuli hakuna aliyethubutu kuyafanya kwa kipindi kifupi.meko ni michoro kwenye jarida la sani ninahusika nae vipi!
 
Acheni Ujinga Pambaneni Mifumo bora ya uwajibikaji iwekwe, customer serivice kwenye mofumo mibovu haina maana.
Kwani huo sio mfumo wa kufuatulia kero na mirejesho? Au unataka nayo iwekwe kwenye katiba? Au kwako unaelewa nini maana ya mfumo?
 
Mna upeo mdogo sana, kwani haipo? Hii nchi ina sheria mbovu, hakuna mifumo Imara, Viongozi bado ni kama Mungu,

Hakuna kitu hapo
Elewa hoja..rais ana uwezo wa kuwajibisha viongozi..tatizo ni namna anavyopokea kero sugu za wananchi. Inaonekana hakuna mfumo wa mojakwamoja wa mrejesho kwa rais, matokeoyake watu wanapeleka malalamiko kwa kumvizia rais ziarani, kwa kuandika kwenye mabango. Hilo linaweza kurahisishwa kukiwa na agency (independent) ambayo inapokea malalamiko, alafu inayapeleka kwenye taasisi husika eg. TANESCO au ATCL, alafu inafuatilia hadi malalamiko yanapotatuliwa rasmi.
Mwisho wa siku, wanaweza kuja na takwimu kwa raos zinazoweza kutoa picha kamili
e.g Idara au taasisi inayoongoza kwa matatizo, aina ya matato yanayowagusa wananchi, muda unaochukuliwa kutatua matatizo etc. Hii itaipa Ofisi ya Rais direct visibility ya 'Citizen Satisfaction' na wapi kunahitaji marekebisho etc
 
Private Company wanafanyaje kazi wale wafanyakazi?

Kule private mbona upende usipende utafanya kazi tena kwa bidii?

Shida mifumo ni mibovu swala sio customer Care wala nini
Si kweli, na ndo maana nao wana Customer Service Departments ambazo mwisho wa siku zinapeleka statistical reports kwa mkurugenzi wa kampuni.. na mkuu wa idara inayozingua naye anazinguliwa.
 
Back
Top Bottom