Sawa kabisa na Manya anazosifa hizo kikubwa ni msafi hana mambo ya rushwa nilimwona nikamkubali sana prof.Unamaanisha Prof. Manya? Hana influence kwenye chama, lakini ana uwezo mkubwa na ana utulivu mkubwa wa akili, siyo kama Kabudi.
Geologist Manya, akiwa Makamu wa Rais, nina hakika ataendana vizuri Mama Samia.
Samia asifanye kosa kumteua Makamu wa Rais, ambaye kwa namna fulani anajiona au walikuwa wanalingana kimadaraka au alijiona ni mtu wa karibu sana kwa Rais. Lazima ampate mtu ambaye atakuwa na utii kwake wa dhamira, na siyo unafiki.
Steven nani vile! Mark nani vile! Labda Dr. Slaa. Hao wengine tayari wameandamwa na senility. Hawawezi kutoa maamuzi ya busara.Amteue
Dr Slaa, Mark Mwandosya au mzee Steven Wassira.
Hawa ni watu ambao ni wakomavu kisiasa na hawana ambition za kisiasa tena.
Watamsaidia sana kuliko kuokoteza hayo matakataka yaliyoibuliwa na JPM
Nashangaa kusikia hizi habari za Samia hakujiandaa. Hivi mna maana gani kusema hakujiandaa. Hivi yeye ni Mungu kujua yajayo. Unapoteuliwa kuwa makamu unateuliwa kwa sababu una uwezo wa kutenda kazi za kiraisi ikiwa ni pamoja na maamuzi wakati hayupo. Unakuwa na uwezo wa kumwakilisha raisi kikamilifu, siyo nusu nusu. Mimi niadhani Mama Samia alipokubali kuwa mgombea mwenza Magufuli alikubali kama ana uwezo wa kufanya kazi za raisi kama raisi hayupo, kwa hiyo nuna imani alikuwa tayari kuvaa viatu vya Magufuli.Lakini usiishie kuangalia kwenye katiba kwamba Inasema nini kuhusu Majukumu ya Makamu wa Rais ila tambua kua Makamu ni mtu wa karibu sana wa Rais,sa kwa kuangalia pia kwa wakati kama huu Rais alieachiwa mamlaka ya kuongoza nchi pasipo kujiandaa kwa sababu naamin Kiuhalisia Samia hakujiandaaa kwahio atahitaji mtu wa karibu (VP) ambae atakua na positive influence kwenye chama chake pia kwenye utawala wake.
Ramli chonganishi hizoWilliam Lukuvi anafaa kuwa makamu wa Rais.
Na yeye ameshasema Kia yeye ndiye rais wa Jamhuri ya Muungano hivyo wenye wasiwasi wao watulie.Nashangaa kusikia hizi habari za Samia hakujiandaa. Hivi mna maana gani kusema hakujiandaa. Hivi yeye ni Mungu kujua yajayo. Unapoteuliwa kuwa makamu unateuliwa kwa sababu una uwezo wa kutenda kazi za kiraisi ikiwa ni pamoja na maamuzi wakati hayupo. Unakuwa na uwezo wa kumwakilisha raisi kikamilifu, siyo nusu nusu. Mimi niadhani Mama Samia alipokubali kuwa mgombea mwenza Magufuli alikubali kama ana uwezo wa kufanya kazi za raisi kama raisi hayupo, kwa hiyo nuna imani alikuwa tayari kuvaa viatu vya Magufuli.
Habari za ufisadi kipindi cha JPM kama zipi zikiwekwa wazi na vyombo vya habari kuna iwezekano huo mtazamo wa watanzania usiwepo.
Moja ya kasoro za utawala wake ni uhuru wa kutoa taarifa au tetesi na hakuna binadamu asiye na mapungufu hivyo lazima kulikuwa na mapungufu kipindi cha utawala wake.Kwanivkuna aliye wazuia kuweka wazi. Hebu wekene wazi maana Marehemu alikuwa muumini wa ukweli sasa kwa nini mnatishia kuwa zikiweka. Wekeni msisite hata kidogo.
Moja ya kasoro za utawala wake ni uhuru wa kutoa taarifa au tetesi na hakuna binadamu asiye na mapungufu hivyo lazima kulikuwa na mapungufu kipindi cha utawala wake.
Wanaita mabaki ya jiweHuyu ana vitabia kama vya bosi wake aliyepita! Hivyo hafai.
Mm sijui kama anapigwa vita. Mawakala wa mafisadi pia siwajui ni kina nani. Ninachofahamu tuna mahakama za kifisadi ambazo mafisadi wanatakiwa wawe wamepelekwa huko.Kwa nini PM anapigwa vita na Mawakala wa Mafisadi na Majizi ya Taifa hili kwa kufanikisha Mazishi ya Heshima ya huyu Rais aliye kuwa kipenzi na Mtetezi wa walalahoi wa Taifa la Tanzania aka Mmachinga No 1 Magu!!??
Mm sijui kama anapigwa vita. Mawakala wa mafisadi pia siwajui ni kina nani. Ninachofahamu tuna mahakama za kifisadi ambazo mafisadi wanatakiwa wawe wamepelekwa huko.
Nchi inaongozwa kwa sheria. Mambo mengine ni porojo.Kumbe unavutaalamu wa kujibaraguza. Vita vya mafisadi vilitumia njia nyingi mbadala za wazi na za kificho. Na rudi pale pale Kiongozi mwenye kuongozwa na hekima ya Mungu hatumii sheria tu. Hutumia na hekima ile itokayo kwa Mungu.
Si shangai kwa wewe na wenye upeo finyu wa aina yako kufikiria na kujirithisha kwamba vita dhidi ufisadi ilikuwa ya one front eti eti eti Mahakama ya Mafisadi tu. Hukuona mikataba ya kifisadi, kishenzi na dhuluma kuvunjwa na kuandikwa upya??
Nchi inaongozwa kwa sheria. Mambo mengine ni porojo.
Hekima ya kuongoza nchi itoke kwa mungu yupi?
Ww unafahamu viongozi wanachoabudu nje ya macho yako?
Kila binadamu ana imani yake ndo maana ni sheria za nchi na katiba ndiyo tunayotakiwa kuifata.