U-DC ni hivi:U-DC ni cheo kikubwa na chenye heshima kwani ndiye mwakilishi wa Rais kwenye eneo husika.
Ndani ya miongo miwili iliyopita tulianza kushuhudia wakiteuliwa watu wa ajabu ajabu na ndiyo maana sasa tunashudia matukio ya ajabu ambayo hayajawahi kushuhudiwa tangu nchi yetu ipate Uhuru.
Hili limesababiswa na teuzi bila kuzingatia haiba na heshima ya cheo hicho kwa vigezo vya mipango-kando, slay queens, play boys nepotism nk na kufanya cheo hicho nyeti sana kupoteza heshima yake.
Enzi za akina Jakaya Mrisho Kikwete, Jenerali Ulimwengu na wengineo wakiwa wakuu wa wilaya, U-DC ulikuwa ni U-DC kweli kweli.
Ushauri wangu ingawa siyo nia yangu kuwamharibia MTU yeyote, niombe miongoni mwa vigezo vya uteuzi wa nafasi hyo, basi ndoa iwe ni kigezo muhimu sana kabla ya uteuzi.
Kuna mtu aliwahi kukosa nafasi kwenye kampuni fulani kubwa pamoja na kuwa na qualification zote, akakosa kwa sababu ya ndoa.
Nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Kazi iendeleee.
Uende JKT ili comment kama hizi zipumzike. Wewe unaonaje?U-DC ni hivi:
1. Sehemu ya kuwazawadia malaya/hawala/waunga juhudi asante.
2. Kuwatuza makada wa chama kama asante
3. Kuwapangia wauaji wa kisiasa kama akina Sabaya
4.............................. endelea
Hivyo lazima hadhi ife kama ilivyokufa hadhi ya bunge na Uspika
Alikuwa DC Nachingwea ndipo alitoka anakwenda kugombea ubunge Bagamoyo.JMK hajawahi kuwa DC ingawa alikuwa na vigezo tosha.
Muongo mmoja una miaka kumi kwa kimombo tunata decade. nikimaanisha kwamba mambo yalianza kuharibaka kwenye early 90sUnajua muongo mmoja una miaka mingapi.
Unaandika vitu hata mwenyewe huvielewi.
Wakinamama waliogombea uNec Taifa mwaka 2017 kupitia ccm wametelekezwa hata nafasi moja hawakupewa ndani au nje ya chama. Mama wakumbuke wamama hao.U-DC ni cheo kikubwa na chenye heshima kwani ndiye mwakilishi wa Rais kwenye eneo husika.
Ndani ya miongo miwili iliyopita tulianza kushuhudia wakiteuliwa watu wa ajabu ajabu na ndiyo maana sasa tunashudia matukio ya ajabu ambayo hayajawahi kushuhudiwa tangu nchi yetu ipate Uhuru.
Hili limesababiswa na teuzi bila kuzingatia haiba na heshima ya cheo hicho kwa vigezo vya mipango-kando, slay queens, play boys nepotism nk na kufanya cheo hicho nyeti sana kupoteza heshima yake.
Enzi za akina Jakaya Mrisho Kikwete, Jenerali Ulimwengu na wengineo wakiwa wakuu wa wilaya, U-DC ulikuwa ni U-DC kweli kweli.
Ushauri wangu ingawa siyo nia yangu kuwamharibia MTU yeyote, niombe miongoni mwa vigezo vya uteuzi wa nafasi hyo, basi ndoa iwe ni kigezo muhimu sana kabla ya uteuzi.
Kuna mtu aliwahi kukosa nafasi kwenye kampuni fulani kubwa pamoja na kuwa na qualification zote, akakosa kwa sababu ya ndoa.
Nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Kazi iendeleee.
Kibaya zaidi Mama hapindui kwa JK. Makalla alishasahaulika, Buriani alishapotea na bado wengi tu wa awamu ya nne watapeta awamu hii.Shida ilianzia kwa JK, mwendazake akaharibu kabisa hadhi na heshima DC ,RC.
Mama anadhamira njema Ila anahofu na pressure wafuasi mwendazake.
Katibu wa Chama wa Wilaya hilo ndolo nijualo.Alikuwa DC Nachingwea ndipo alitoka anakwenda kugombea ubunge Bagamoyo.
Go back to your history.
Sasa Mbona umemsifia Kikwete. Wakati tayari mambo yalishaharibika.Muongo mmoja una miaka kumi kwa kimombo tunata decade. nikimaanisha kwamba mambo yalianza kuharibaka kwenye early 90s
I stand to be corrected
Point nzito sana Mh. Rais wa JMT. Ndoa ndoa ndoa ndoa .......naiheshimiwe na watu woteU-DC ni cheo kikubwa na chenye heshima kwani ndiye mwakilishi wa Rais kwenye eneo husika.