Hivi mfano ukifika hapo chuo ukaona takataka.. nimpigie simu Jakaya Kikwete?! Mkuu wa Mkoa anahusika na issue zozote ndani ya mkoa wake ... Na ikibidi atakapoona kuna tishio la kiusalama ana mamlaka ya kuchukua hatua akiwa kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa .. sijaelewa saga Lao ..Nchi hii inashindwa kufika mahali ilipotakiwa kufika kwa sababu ya kuongozwa na watu wasiojitambua, wasiojua wajibu wao wala mipaka ya mamlaka yao.
Kuna habari zinazunguka mitandaoni kuwa eti DC wa Nzega ameamuru mkuu wa Chuo Cha Madini Nzega awekwe ndani kwa sababu alishindwa kumjibu mkuu wa Mkoa wa Tabora alipotembelea chuo hicho.
Kwanza, hawa viongozi, wote wawili ni dhahiri inaonekana hawana uelewa wa chochote kwenye mifumo ya utawala.
Chuo cha madini Nzega kipo chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kama kuna matatizo kwenye branch hiyo ya UDSM, walitakiwa kuwasilidha malalamiko yao kwa mkuu wa Chuo Kikuu, UDSM, ambaye ni Rais Mstaafu Jakaya Kikwete au Vice Chancelor wake.
Bila shaka hawa viongozi ni wale malimbukeni wa madaraka. Kwa vile tu sheria inatamka kuwa wanaweza kutoa amri ya kumweka mtu ndani kwa muda usiozidi masaa 48, kwa ujinga wa kutojua mantiki ya sheria hiyo, wanaichukulia kumweka mtu ndani ni kama adhabu, wakati lengo la sheria hiyo lilikuwa kwa kuzingatia mazingira ya nyakati na mahali. Mathalani mtu anaonekana akiwa huru anaweza kuendelea kudhuru au kudhuriwa, na vyombo vya kisheria vya udhibiti havipo eneo la karibu, basi mkuu wa mkoa au wilaya, alipewa mamlaka hayo ili kipindi hicho akiwa ndani, kitumike kuwasiliana na mamlaka husika. Unajiuliza, huyo mkuu wa hiyo branch ya UDSM alikuwa anamdhuru nani hadi awekwe ndani, jibu linakuwa moja tu, kuwa huyo DC inaonekana ni empty kabisa kichwani kwa masuala ya utawala na sheria.
Rais anapoteua watu kwenye nafasi fulani, hasa kwa nchi iliyojaa machawa, rushwa na vyombo dhaifu vya vetting, inakuwa ni kubahatisha, lakini inapodhihirika, kama ilivyo kwa hawa watu, kuwa wateule ni watu duni kiutendaji, inatakiwa kuwafukuza mara moja kabla hawajaleta madhara makubwa zaidi.
Tathmini ya Hali ya Sekta ya Madini Nchini TanzaniaNchi hii inashindwa kufika mahali ilipotakiwa kufika kwa sababu ya kuongozwa na watu wasiojitambua, wasiojua wajibu wao wala mipaka ya mamlaka yao.
Kuna habari zinazunguka mitandaoni kuwa eti DC wa Nzega ameamuru mkuu wa Chuo Cha Madini Nzega awekwe ndani kwa sababu alishindwa kumjibu mkuu wa Mkoa wa Tabora alipotembelea chuo hicho.
Kwanza, hawa viongozi, wote wawili ni dhahiri inaonekana hawana uelewa wa chochote kwenye mifumo ya utawala.
Chuo cha madini Nzega kipo chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kama kuna matatizo kwenye branch hiyo ya UDSM, walitakiwa kuwasilidha malalamiko yao kwa mkuu wa Chuo Kikuu, UDSM, ambaye ni Rais Mstaafu Jakaya Kikwete au Vice Chancelor wake.
Bila shaka hawa viongozi ni wale malimbukeni wa madaraka. Kwa vile tu sheria inatamka kuwa wanaweza kutoa amri ya kumweka mtu ndani kwa muda usiozidi masaa 48, kwa ujinga wa kutojua mantiki ya sheria hiyo, wanaichukulia kumweka mtu ndani ni kama adhabu, wakati lengo la sheria hiyo lilikuwa kwa kuzingatia mazingira ya nyakati na mahali. Mathalani mtu anaonekana akiwa huru anaweza kuendelea kudhuru au kudhuriwa, na vyombo vya kisheria vya udhibiti havipo eneo la karibu, basi mkuu wa mkoa au wilaya, alipewa mamlaka hayo ili kipindi hicho akiwa ndani, kitumike kuwasiliana na mamlaka husika. Unajiuliza, huyo mkuu wa hiyo branch ya UDSM alikuwa anamdhuru nani hadi awekwe ndani, jibu linakuwa moja tu, kuwa huyo DC inaonekana ni empty kabisa kichwani kwa masuala ya utawala na sheria.
Rais anapoteua watu kwenye nafasi fulani, hasa kwa nchi iliyojaa machawa, rushwa na vyombo dhaifu vya vetting, inakuwa ni kubahatisha, lakini inapodhihirika, kama ilivyo kwa hawa watu, kuwa wateule ni watu duni kiutendaji, inatakiwa kuwafukuza mara moja kabla hawajaleta madhara makubwa zaidi.
Alikuwa kalewa ..Mkuu wa Chuo kafanya nn?
Kwaiyo mkuu wa chuo aje amelewa kazini harafu aachwe tu?Nchi hii inashindwa kufika mahali ilipotakiwa kufika kwa sababu ya kuongozwa na watu wasiojitambua, wasiojua wajibu wao wala mipaka ya mamlaka yao.
Kuna habari zinazunguka mitandaoni kuwa eti DC wa Nzega ameamuru mkuu wa Chuo Cha Madini Nzega awekwe ndani kwa sababu alishindwa kumjibu mkuu wa Mkoa wa Tabora alipotembelea chuo hicho.
Kwanza, hawa viongozi, wote wawili ni dhahiri inaonekana hawana uelewa wa chochote kwenye mifumo ya utawala.
Chuo cha madini Nzega kipo chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kama kuna matatizo kwenye branch hiyo ya UDSM, walitakiwa kuwasilidha malalamiko yao kwa mkuu wa Chuo Kikuu, UDSM, ambaye ni Rais Mstaafu Jakaya Kikwete au Vice Chancelor wake.
Bila shaka hawa viongozi ni wale malimbukeni wa madaraka. Kwa vile tu sheria inatamka kuwa wanaweza kutoa amri ya kumweka mtu ndani kwa muda usiozidi masaa 48, kwa ujinga wa kutojua mantiki ya sheria hiyo, wanaichukulia kumweka mtu ndani ni kama adhabu, wakati lengo la sheria hiyo lilikuwa kwa kuzingatia mazingira ya nyakati na mahali. Mathalani mtu anaonekana akiwa huru anaweza kuendelea kudhuru au kudhuriwa, na vyombo vya kisheria vya udhibiti havipo eneo la karibu, basi mkuu wa mkoa au wilaya, alipewa mamlaka hayo ili kipindi hicho akiwa ndani, kitumike kuwasiliana na mamlaka husika. Unajiuliza, huyo mkuu wa hiyo branch ya UDSM alikuwa anamdhuru nani hadi awekwe ndani, jibu linakuwa moja tu, kuwa huyo DC inaonekana ni empty kabisa kichwani kwa masuala ya utawala na sheria.
Rais anapoteua watu kwenye nafasi fulani, hasa kwa nchi iliyojaa machawa, rushwa na vyombo dhaifu vya vetting, inakuwa ni kubahatisha, lakini inapodhihirika, kama ilivyo kwa hawa watu, kuwa wateule ni watu duni kiutendaji, inatakiwa kuwafukuza mara moja kabla hawajaleta madhara makubwa zaidi.
Lile jamaa sijui likuu la chuo lina kiburi sana halafu ni lishamba. Unajibu vipi kiholrla tu mamlaka. Kama umekuja huku kulitetea liambie liache upuuziKama wanaamini kuna kosa amefanya wanatakiwa kupeleka malalamiko yao kwa mwajiri wake, ambaye ni UDSM.
Ni lini uliwahi kusikia RC wa Dar au Dodoma, walienda UDSM au UDOM kuwafukuza wafanyakazi au kuwaweka ndani kwa sababu wameshindwa kutekeleza wajibu wao.
Huyo DC na RC, ni limbukeni wa madaraka wasiojua ukomo wa madaraka yao.
Ndio aende amelewa? Au wewe hukuliona lilivokuaKazi yao mkuu wa mkoa na wilaya pia ni kusimamia maadili ya viongozi wa taasisi za umma kwenye maeneo yao
Kwa hiyo ikitokea hata chuo kinaungua moto wawasiliane na UDSM waje kuzima et?Kama wanaamini kuna kosa amefanya wanatakiwa kupeleka malalamiko yao kwa mwajiri wake, ambaye ni UDSM.
Ni lini uliwahi kusikia RC wa Dar au Dodoma, walienda UDSM au UDOM kuwafukuza wafanyakazi au kuwaweka ndani kwa sababu wameshindwa kutekeleza wajibu wao.
Huyo DC na RC, ni limbukeni wa madaraka wasiojua ukomo wa madaraka yao.
DuhNchi hii inashindwa kufika mahali ilipotakiwa kufika kwa sababu ya kuongozwa na watu wasiojitambua, wasiojua wajibu wao wala mipaka ya mamlaka yao.
Kuna habari zinazunguka mitandaoni kuwa eti DC wa Nzega ameamuru mkuu wa Chuo Cha Madini Nzega awekwe ndani kwa sababu alishindwa kumjibu mkuu wa Mkoa wa Tabora alipotembelea chuo hicho.
Kwanza, hawa viongozi, wote wawili ni dhahiri inaonekana hawana uelewa wa chochote kwenye mifumo ya utawala.
Chuo cha madini Nzega kipo chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kama kuna matatizo kwenye branch hiyo ya UDSM, walitakiwa kuwasilidha malalamiko yao kwa mkuu wa Chuo Kikuu, UDSM, ambaye ni Rais Mstaafu Jakaya Kikwete au Vice Chancelor wake.
Bila shaka hawa viongozi ni wale malimbukeni wa madaraka. Kwa vile tu sheria inatamka kuwa wanaweza kutoa amri ya kumweka mtu ndani kwa muda usiozidi masaa 48, kwa ujinga wa kutojua mantiki ya sheria hiyo, wanaichukulia kumweka mtu ndani ni kama adhabu, wakati lengo la sheria hiyo lilikuwa kwa kuzingatia mazingira ya nyakati na mahali. Mathalani mtu anaonekana akiwa huru anaweza kuendelea kudhuru au kudhuriwa, na vyombo vya kisheria vya udhibiti havipo eneo la karibu, basi mkuu wa mkoa au wilaya, alipewa mamlaka hayo ili kipindi hicho akiwa ndani, kitumike kuwasiliana na mamlaka husika. Unajiuliza, huyo mkuu wa hiyo branch ya UDSM alikuwa anamdhuru nani hadi awekwe ndani, jibu linakuwa moja tu, kuwa huyo DC inaonekana ni empty kabisa kichwani kwa masuala ya utawala na sheria.
Rais anapoteua watu kwenye nafasi fulani, hasa kwa nchi iliyojaa machawa, rushwa na vyombo dhaifu vya vetting, inakuwa ni kubahatisha, lakini inapodhihirika, kama ilivyo kwa hawa watu, kuwa wateule ni watu duni kiutendaji, inatakiwa kuwafukuza mara moja kabla hawajaleta madhara makubwa zaidi.
Angekuwa china angenyogwa, north Korea angenyogwa sisi huku tunamchekea na wananchi wanamteteaNdio aende amelewa? Au wewe hukuliona lilivokua
Naunga mkono hoja kwa asilimia miaNchi hii inashindwa kufika mahali ilipotakiwa kufika kwa sababu ya kuongozwa na watu wasiojitambua, wasiojua wajibu wao wala mipaka ya mamlaka yao.
Kuna habari zinazunguka mitandaoni kuwa eti DC wa Nzega ameamuru mkuu wa Chuo Cha Madini Nzega awekwe ndani kwa sababu alishindwa kumjibu mkuu wa Mkoa wa Tabora alipotembelea chuo hicho.
Kwanza, hawa viongozi, wote wawili ni dhahiri inaonekana hawana uelewa wa chochote kwenye mifumo ya utawala.
Chuo cha madini Nzega kipo chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kama kuna matatizo kwenye branch hiyo ya UDSM, walitakiwa kuwasilidha malalamiko yao kwa mkuu wa Chuo Kikuu, UDSM, ambaye ni Rais Mstaafu Jakaya Kikwete au Vice Chancelor wake.
Bila shaka hawa viongozi ni wale malimbukeni wa madaraka. Kwa vile tu sheria inatamka kuwa wanaweza kutoa amri ya kumweka mtu ndani kwa muda usiozidi masaa 48, kwa ujinga wa kutojua mantiki ya sheria hiyo, wanaichukulia kumweka mtu ndani ni kama adhabu, wakati lengo la sheria hiyo lilikuwa kwa kuzingatia mazingira ya nyakati na mahali. Mathalani mtu anaonekana akiwa huru anaweza kuendelea kudhuru au kudhuriwa, na vyombo vya kisheria vya udhibiti havipo eneo la karibu, basi mkuu wa mkoa au wilaya, alipewa mamlaka hayo ili kipindi hicho akiwa ndani, kitumike kuwasiliana na mamlaka husika. Unajiuliza, huyo mkuu wa hiyo branch ya UDSM alikuwa anamdhuru nani hadi awekwe ndani, jibu linakuwa moja tu, kuwa huyo DC inaonekana ni empty kabisa kichwani kwa masuala ya utawala na sheria.
Rais anapoteua watu kwenye nafasi fulani, hasa kwa nchi iliyojaa machawa, rushwa na vyombo dhaifu vya vetting, inakuwa ni kubahatisha, lakini inapodhihirika, kama ilivyo kwa hawa watu, kuwa wateule ni watu duni kiutendaji, inatakiwa kuwafukuza mara moja kabla hawajaleta madhara makubwa zaidi.
Acha kuleta ubishi mkuu. DC na RC ni wakuu wa maeneo husika sheria inawaruhusu.Kama wanaamini kuna kosa amefanya wanatakiwa kupeleka malalamiko yao kwa mwajiri wake, ambaye ni UDSM.
Ni lini uliwahi kusikia RC wa Dar au Dodoma, walienda UDSM au UDOM kuwafukuza wafanyakazi au kuwaweka ndani kwa sababu wameshindwa kutekeleza wajibu wao.
Huyo DC na RC, ni limbukeni wa madaraka wasiojua ukomo wa madaraka yao.
Ni KWELI kwa 100%Nchi hii inashindwa kufika mahali ilipotakiwa kufika kwa sababu ya kuongozwa na watu wasiojitambua, wasiojua wajibu wao wala mipaka ya mamlaka yao.
Kuna habari zinazunguka mitandaoni kuwa eti DC wa Nzega ameamuru mkuu wa Chuo Cha Madini Nzega awekwe ndani kwa sababu alishindwa kumjibu mkuu wa Mkoa wa Tabora alipotembelea chuo hicho.
Kwanza, hawa viongozi, wote wawili ni dhahiri inaonekana hawana uelewa wa chochote kwenye mifumo ya utawala.
Chuo cha madini Nzega kipo chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kama kuna matatizo kwenye branch hiyo ya UDSM, walitakiwa kuwasilidha malalamiko yao kwa mkuu wa Chuo Kikuu, UDSM, ambaye ni Rais Mstaafu Jakaya Kikwete au Vice Chancelor wake.
Bila shaka hawa viongozi ni wale malimbukeni wa madaraka. Kwa vile tu sheria inatamka kuwa wanaweza kutoa amri ya kumweka mtu ndani kwa muda usiozidi masaa 48, kwa ujinga wa kutojua mantiki ya sheria hiyo, wanaichukulia kumweka mtu ndani ni kama adhabu, wakati lengo la sheria hiyo lilikuwa kwa kuzingatia mazingira ya nyakati na mahali. Mathalani mtu anaonekana akiwa huru anaweza kuendelea kudhuru au kudhuriwa, na vyombo vya kisheria vya udhibiti havipo eneo la karibu, basi mkuu wa mkoa au wilaya, alipewa mamlaka hayo ili kipindi hicho akiwa ndani, kitumike kuwasiliana na mamlaka husika. Unajiuliza, huyo mkuu wa hiyo branch ya UDSM alikuwa anamdhuru nani hadi awekwe ndani, jibu linakuwa moja tu, kuwa huyo DC inaonekana ni empty kabisa kichwani kwa masuala ya utawala na sheria.
Rais anapoteua watu kwenye nafasi fulani, hasa kwa nchi iliyojaa machawa, rushwa na vyombo dhaifu vya vetting, inakuwa ni kubahatisha, lakini inapodhihirika, kama ilivyo kwa hawa watu, kuwa wateule ni watu duni kiutendaji, inatakiwa kuwafukuza mara moja kabla hawajaleta madhara makubwa zaidi.
Hizo akili zako zinatuchelewesha sanaaa.Kama wanaamini kuna kosa amefanya wanatakiwa kupeleka malalamiko yao kwa mwajiri wake, ambaye ni UDSM.
Ni lini uliwahi kusikia RC wa Dar au Dodoma, walienda UDSM au UDOM kuwafukuza wafanyakazi au kuwaweka ndani kwa sababu wameshindwa kutekeleza wajibu wao.
Huyo DC na RC, ni limbukeni wa madaraka wasiojua ukomo wa madaraka yao.
Huna point kwa hili.Nchi hii inashindwa kufika mahali ilipotakiwa kufika kwa sababu ya kuongozwa na watu wasiojitambua, wasiojua wajibu wao wala mipaka ya mamlaka yao.
Kuna habari zinazunguka mitandaoni kuwa eti DC wa Nzega ameamuru mkuu wa Chuo Cha Madini Nzega awekwe ndani kwa sababu alishindwa kumjibu mkuu wa Mkoa wa Tabora alipotembelea chuo hicho.
Kwanza, hawa viongozi, wote wawili ni dhahiri inaonekana hawana uelewa wa chochote kwenye mifumo ya utawala.
Chuo cha madini Nzega kipo chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kama kuna matatizo kwenye branch hiyo ya UDSM, walitakiwa kuwasilidha malalamiko yao kwa mkuu wa Chuo Kikuu, UDSM, ambaye ni Rais Mstaafu Jakaya Kikwete au Vice Chancelor wake.
Bila shaka hawa viongozi ni wale malimbukeni wa madaraka. Kwa vile tu sheria inatamka kuwa wanaweza kutoa amri ya kumweka mtu ndani kwa muda usiozidi masaa 48, kwa ujinga wa kutojua mantiki ya sheria hiyo, wanaichukulia kumweka mtu ndani ni kama adhabu, wakati lengo la sheria hiyo lilikuwa kwa kuzingatia mazingira ya nyakati na mahali. Mathalani mtu anaonekana akiwa huru anaweza kuendelea kudhuru au kudhuriwa, na vyombo vya kisheria vya udhibiti havipo eneo la karibu, basi mkuu wa mkoa au wilaya, alipewa mamlaka hayo ili kipindi hicho akiwa ndani, kitumike kuwasiliana na mamlaka husika. Unajiuliza, huyo mkuu wa hiyo branch ya UDSM alikuwa anamdhuru nani hadi awekwe ndani, jibu linakuwa moja tu, kuwa huyo DC inaonekana ni empty kabisa kichwani kwa masuala ya utawala na sheria.
Rais anapoteua watu kwenye nafasi fulani, hasa kwa nchi iliyojaa machawa, rushwa na vyombo dhaifu vya vetting, inakuwa ni kubahatisha, lakini inapodhihirika, kama ilivyo kwa hawa watu, kuwa wateule ni watu duni kiutendaji, inatakiwa kuwafukuza mara moja kabla hawajaleta madhara makubwa zaidi.
Hili suala unalijua vizuri au unalidandia tu?Nchi hii inashindwa kufika mahali ilipotakiwa kufika kwa sababu ya kuongozwa na watu wasiojitambua, wasiojua wajibu wao wala mipaka ya mamlaka yao.