Rais Samia ondoa hawa watu

Miji imekuwa ya hovyo kila mahali maturubali.
 
Mtoa mada naomba ugongwe na gari ufe maana umenishika pabaya sana
 
"...Mimi na Magufuli ni kitu hiki....kimoja"
 
 
1 May 2021

Muonekana Mjini kati Posta jijini Dar es Salaam, Tanzania Mwaka 2021

Jiji letu la Dar es Salaam limebadilika sana. Tembea nasi katika video hii upate uhalisia wa maeneo ya katikati ya jiji hili kubwa kabisa Afrika Mashariki
Source : malango travels
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…