Kwa hiyo anataka kidata akadate ikuluRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha viongozi wateule Ikulu ya Tunguu, Zanzibar, leo Julai 5, 2024
Rais Samia amewapongeza wateule wote kwa kupata nafasi mpya. Amemtaka Jafo kurejea Ilani ya chama cha Mapinduzi kwa kuwezesha kukua kwa biashara za watanzania pamoja na kusikiliza na kutatua changamoto za wafanyabiashara. Kariakoo ni eneo muhimu la biashara, akaifanye kariakoo kuwa kitovu cha biashara kwa masaa 24.
Amesema Kariakoo kuna siasa sana na wakati wa mgogoro alituma timu ya siri na amebaini hata huu mgomo baadhi ya wafanyabiashara walikuwa hata hawajui kwanini kuna mgomo zaidi ya kupewa maelezo na viongozi wao. Biashara sasa ni field, Jafo asikae Ofisini.
Akitolea mfano wa Video iliyosambaa mtandaoni ikihusisha mwanamke mtanzania na mwanaume raia wa China, Rais Samia amesema ipo pia migogoro inayotokea kati ya wageni na wenyeji sokoni Kariakoo, amemtaka Jafo kuangalia suala hili kwa undani kwanini inatokea.
Kuhusu uteuzi wa bosi mpya wa TRA, Yusuph Juma Mwenda Rais, Samia amesema chini ya Kidata mapato yalikua sana na amemuondoa hapo sababu aliona mwisho atadata maana kafanya kazi kubwa. Hivyo ameteua mtu mpya ili akapambane pia kuongeza mapato na kukusanya zaidi pamoja na kuziba mianya ya upigaji. Amesema Mwenda aisende kufanya kazi kwa kuridhisha watu bali amridhishe yeye aliyemteua.
Aidha, Rais Samia amesema ipo michezo mingi inafanywa na wafanyabiashara na wawekezaji ikiwemo mashine za EFD, msamaha wa kodi, VAT, PAYE n.k hivyo kamishna mpya anapaswa kufuatilia masuala haya kwa undani wake.
Kariakoo ni Jalala Kuu la takataka kutoka nchini China.Kariakoo ni Dampo la bidhaa za nje, asilimia 100 ni bidhaa za nje
Income hutokana na productivity,je mwazalisha nini?..wewe wazalisha nini,au wabet tu!?Expenditure vs income ni tatizo nchi zetu za Afrika
Mianya ya ukwepaji kodiina maana tra wanajulikana waziwazi ni wizi wanaiba hela, naona mama anamuagiza yussuf kama na yeye yumo kwenye hayo mambo sasa akazibe ile mianya
Wakuu nipo na swaliRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha viongozi wateule Ikulu ya Tunguu, Zanzibar, leo Julai 5, 2024
Rais Samia amewapongeza wateule wote kwa kupata nafasi mpya. Amemtaka Jafo kurejea Ilani ya chama cha Mapinduzi kwa kuwezesha kukua kwa biashara za watanzania pamoja na kusikiliza na kutatua changamoto za wafanyabiashara. Kariakoo ni eneo muhimu la biashara, akaifanye kariakoo kuwa kitovu cha biashara kwa masaa 24.
Amesema Kariakoo kuna siasa sana na wakati wa mgogoro alituma timu ya siri na amebaini hata huu mgomo baadhi ya wafanyabiashara walikuwa hata hawajui kwanini kuna mgomo zaidi ya kupewa maelezo na viongozi wao. Biashara sasa ni field, Jafo asikae Ofisini.
Akitolea mfano wa Video iliyosambaa mtandaoni ikihusisha mwanamke mtanzania na mwanaume raia wa China, Rais Samia amesema ipo pia migogoro inayotokea kati ya wageni na wenyeji sokoni Kariakoo, amemtaka Jafo kuangalia suala hili kwa undani kwanini inatokea.
Kuhusu uteuzi wa bosi mpya wa TRA, Yusuph Juma Mwenda Rais, Samia amesema chini ya Kidata mapato yalikua sana na amemuondoa hapo sababu aliona mwisho atadata maana kafanya kazi kubwa. Hivyo ameteua mtu mpya ili akapambane pia kuongeza mapato na kukusanya zaidi pamoja na kuziba mianya ya upigaji. Amesema Mwenda aisende kufanya kazi kwa kuridhisha watu bali amridhishe yeye aliyemteua.
Aidha, Rais Samia amesema ipo michezo mingi inafanywa na wafanyabiashara na wawekezaji ikiwemo mashine za EFD, msamaha wa kodi, VAT, PAYE n.k hivyo kamishna mpya anapaswa kufuatilia masuala haya kwa undani wake.
kazi sio ndogo😂😂Kumbe sio kufuata sheria bali kumridhisha aliyemteua? Duuh kazi ipo
Hakika brother, kama hayo hapo juu yamesemwa na mh inatubidi tujitafakari kwa kweli!NB: Kiukweli 2025 tugangamale vingine tutakuja kuwa Zimbambwe iliyochangamka.
Kwani kuna shida gani katika maneno hayo? Na je reality ni ipi? Kwani hizo tekniki alizozisema hazipo?Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema amemuondoa aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Alphayo Kidata kwenye nafasi yake kwakuwa aliona atadata kwa jinsi anavyoandamwa lakini amekiri kuwa TRA chini ya Kidata imefanya vizuri na kuongeza mapato hadi kufikia Tsh. trilioni 27.64, ambayo ni sawa na ufanisi wa 97.67% ya lengo la kukusanya Tsh. trilioni 28.30 katika kipindi cha Mwaka wa Fedha 2023/24 ambalo ni ongezeko la 14.50% ikilinganishwa na makusanyo ya Tsh. trilioni 24.14 katika Mwaka wa Fedha uliopita, 2022/23.
Akiongea leo July 05,2024, Ikulu ya Tunguu, Zanzibar wakati akiwaapisha Viongozi Wateule, Rais Samia amesema “Yusuph Mwenda kwanza hongera kwa kazi nzuri uliyofanya Zanzibar, tunakupeleka TRA (kuwa Kamishna mpya), TRA chini ya Kidata imefanya vizuri sana, mapato yamekua sana, sitegemei kama utashuka, kwanini nimemuondoa Kidata?, Kidata nimemuondoa niliona mwisho atadata, kazi kafanya nzuri sana lakini niliona atadata jinsi anavyoandamwa , sasa nakupeleka wewe Kijana wa Dar es salaam
Mtoto wa Mjini, uhuni wote ulioko TRA kule umefanywa na wewe ukiwa mulemule pengine uli-participate”
“Mipango yote mule ya kupenya, ya kufanyaje na Bandari mnatoa wapi mnapenyeza wapi unaijua Yusuph nenda kaizibe, nenda kaizibe, tunachohitaji ni mapato, tunachohitaji ni kupungua kukopa, tunakopa tunajichetua kila anayekuja akija European Bank yes yes, akija huyu Yes, World Bank wanatunyanyasa tumo tu, nini?, tuna miradi ya maendeleo inataka pesa, pesa hatuna tunakopa, tunakopa tunanyanyasika, je tukiwaomba itakuwaje?, kwahiyo twende tukanyanyue za kwetu”
“Serikali imefanya yote, tumeweka mazingira mazuri ya kufanya biashara, mazingira mazuri ya kufanya uwekezaji, Wawekezaji wanakuja, biashara zinafanyika kodi hazilipwi, Kariakoo pale tatizo ni kulipa kodi ukienda leo wanakuambia hiki kesho wanakuambia hiki, Kariakoo pekee yake kuna mapato kama yatakusanywa vizuri kwa mwaka yanaendesha Wizara tatu lakini hamkusanyi kuingia Serikalini, inawezekana mnakusanya kuingia mfukoni lakini hamkusanyi kuingiza Serikalini nenda kazibe hilo”
“Mwenda unaijua vizuri TRA ulikuwa sijui Mkurugenzi wa kodi zipi lakini ulikuwa unajua mnaibia vipi na wenzio kwahiyo yale mliokuwa mkiiba vichochoro vile nenda kazibe tunahitaji fedha, nimekuamini na najua utakwenda kufanya kazi”
#MillardAyoUPDATES
NB: Kiukweli 2025 tugangamale vingine tutakuja kuwa Zimbambwe iliyochangamka.
Hakuwa na approach nzuri Kwa wafanyabiashara, yaani wakileta kwere hajali hana dialogue ni kukausha tuu.Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema amemuondoa aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Alphayo Kidata kwenye nafasi yake kwakuwa aliona atadata kwa jinsi anavyoandamwa lakini amekiri kuwa TRA chini ya Kidata imefanya vizuri na kuongeza mapato hadi kufikia Tsh. trilioni 27.64, ambayo ni sawa na ufanisi wa 97.67% ya lengo la kukusanya Tsh. trilioni 28.30 katika kipindi cha Mwaka wa Fedha 2023/24 ambalo ni ongezeko la 14.50% ikilinganishwa na makusanyo ya Tsh. trilioni 24.14 katika Mwaka wa Fedha uliopita, 2022/23.
Akiongea leo July 05,2024, Ikulu ya Tunguu, Zanzibar wakati akiwaapisha Viongozi Wateule, Rais Samia amesema “Yusuph Mwenda kwanza hongera kwa kazi nzuri uliyofanya Zanzibar, tunakupeleka TRA (kuwa Kamishna mpya), TRA chini ya Kidata imefanya vizuri sana, mapato yamekua sana, sitegemei kama utashuka, kwanini nimemuondoa Kidata?, Kidata nimemuondoa niliona mwisho atadata, kazi kafanya nzuri sana lakini niliona atadata jinsi anavyoandamwa , sasa nakupeleka wewe Kijana wa Dar es salaam
Mtoto wa Mjini, uhuni wote ulioko TRA kule umefanywa na wewe ukiwa mulemule pengine uli-participate”
“Mipango yote mule ya kupenya, ya kufanyaje na Bandari mnatoa wapi mnapenyeza wapi unaijua Yusuph nenda kaizibe, nenda kaizibe, tunachohitaji ni mapato, tunachohitaji ni kupungua kukopa, tunakopa tunajichetua kila anayekuja akija European Bank yes yes, akija huyu Yes, World Bank wanatunyanyasa tumo tu, nini?, tuna miradi ya maendeleo inataka pesa, pesa hatuna tunakopa, tunakopa tunanyanyasika, je tukiwaomba itakuwaje?, kwahiyo twende tukanyanyue za kwetu”
“Serikali imefanya yote, tumeweka mazingira mazuri ya kufanya biashara, mazingira mazuri ya kufanya uwekezaji, Wawekezaji wanakuja, biashara zinafanyika kodi hazilipwi, Kariakoo pale tatizo ni kulipa kodi ukienda leo wanakuambia hiki kesho wanakuambia hiki, Kariakoo pekee yake kuna mapato kama yatakusanywa vizuri kwa mwaka yanaendesha Wizara tatu lakini hamkusanyi kuingia Serikalini, inawezekana mnakusanya kuingia mfukoni lakini hamkusanyi kuingiza Serikalini nenda kazibe hilo”
“Mwenda unaijua vizuri TRA ulikuwa sijui Mkurugenzi wa kodi zipi lakini ulikuwa unajua mnaibia vipi na wenzio kwahiyo yale mliokuwa mkiiba vichochoro vile nenda kazibe tunahitaji fedha, nimekuamini na najua utakwenda kufanya kazi”
#MillardAyoUPDATES
NB: Kiukweli 2025 tugangamale vingine tutakuja kuwa Zimbambwe iliyochangamka.
Uislamu unakataza mwanamke kuwa mtawala. madhara yake ndiyo haya johnthebaptist“Mwenda unaijua vizuri TRA ulikuwa sijui Mkurugenzi wa kodi zipi lakini ulikuwa unajua mnaibia vipi na wenzio kwahiyo yale mliokuwa mkiiba vichochoro vile nenda kazibe tunahitaji fedha, nimekuamini na najua utakwenda kufanya kaz