Rais Samia ni komandoo aliyeiva

Rais Samia ni komandoo aliyeiva

Nakupongeza kwa kazi nzuri unayoifanya ,lakini ningependa kukushauri uwe unaleta evidence ya Mambo yaliyofanyika ,ili yaweze kuthibitisha uhalisia wa unachokiandika .(Chema chajiuza kibaya chajitembeza)

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Democracy kushamili
Hakuna kutekana na kuuana
Kila mtu Yuko huru kuripoti chochote (jpm alisema you are not free and added watch it)
Ajira kila pahara
Miradi yote ilivyoanzishwa kwa papara inakamilika na almost over.
Katiba mpya on the way to thrive.
Watu wanapumua
Ukwasi mwingi
Vitu vinashuka bei kwa Kasi sana
 
Haya mambo mnayoyafanya ya kuwapamba viongozi hata mahala ambapo hapastahili,kwa masilahi yenu au kwa sababu mnaguswa kupitia utawala wao hayana afya kabisa ,kwasababu watakaokuja kuteseka ni watoto wenu /wetu ,pale ambapo mtu alifanya makosa lakini akapambwa Mwisho Madhara yatatokea mbeleni na vizazi vijavyo vitateseka.Leo hii ni miaka 61 ya uhuru lakini hatujaweza hata kuhimili level 1 ya sactfactory need ,(maji,umeme,madarasa)

Kila kiongozi ana Mazuri yake na Mabaya yake sema wengi wanaoleta mazuri mara nyingi uguswa na utawala husika,mbona sijawahi kuona mnaleta strength na weakness? Ina maana hakuna hata weakness moja ? Na mkamsaidia kupropose the way forward!
 
Weakness yake ni moja tu kushindwa kuwakamata mafisadi
 
Machawa bwana hata mbuzi meee akiwa raisi leo yatasifia mpaka mate yawakauke. Sasa eti Sa100 ni komandoo
Rais wetu Anastahili pongezi kutoka kwa watanzania wote wanaojitambua,kujielewa na wazalendo wa Taifa letu,kwa kuwa kazi alizofanya mh Rais Ni kubwa Sana katika ujenzi wa Taifa letu
 
Back
Top Bottom