Rais Samia ni komandoo aliyeiva

Rais Samia ni komandoo aliyeiva

Mimi Ni msema kweli, sihitaji na Wala sipendi kuuficha ukweli,kiongozi akifanya vyema Ni lazima watanzania Tuwe na utamaduni wa kupongeza na kumtia moyo na faraja mhusika. Tusipende kuwakatisha Tamaa viongozi aina ya Rais Samia walio jitoa na kujitolea maisha Yao Kama sadaka kwa ajili ya kuwasaidia na kuwatumikia watanzania kwa moyo wa upendo, unyenyekevu na uzalendo wa usiopimika katika kuona kila mmoja wetu Ni mwenye Tabasamu,furaha na matumaini katika moyo na paji lake la uso wake
Mganga ajigangi
 
Mtoto wa kiume unaishi kwa kujipendekeza pendekeza tu kummk.. hivi hili li nchi sijui lini wavijana yatakua na akili
 
Nakupongeza kwa kazi nzuri unayoifanya ,lakini ningependa kukushauri uwe unaleta evidence ya Mambo yaliyofanyika ,ili yaweze kuthibitisha uhalisia wa unachokiandika .(Chema chajiuza kibaya chajitembeza)

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Ndy maana hateuliwi kwenye ulaji ,mana unapokuwa Praise team, unayempraise toa na mifano ya mafanikio yake...Tantalilaaa wee uzee unaingia Wakumbozi unalamba joka tu.
 
Kuzaliwa nchi yenye wajinga wengi kuliko wenye akili timam ni sawa na kupewa adhabu kwa kosa ambalo hujalifanya!!
 
Ndugu zangu watanzania,

Mtu kufikia hatua ya ukomandoo anakuwa amepitia mafunzo mengi Sana magumu,yenye kuhitaji nguvu na akili,maarifa na upeo,ufahamu na utambuzi,uvumilivu na ujasiri,ukakamavu na ushupavu,Dhamira na malengo,Dira na muelekeo.

Komandoo Ni mpambanaji na Jasiri Sana,mkakamavu na mvumilivu wa Hali ya juu katika magumu na mateso yote apitiayo.Hakati Tamaa mpaka atimize lengo ,yupo tayari kuishi na kukaa katika mazingira ya aina yoyote yale,hatazami nyuma kwa hofu Bali hutazama mbele kwa matumaini na moyo wa ushindi kwa Taifa lake,yupo Tayari kuhatarisha maisha yake kwa ajiri ya Taifa lake ,Ni mtu aliye jitoa na kujitolea Kama sadaka kwa ajili ya maisha na uhai wa Taifa lake na watu wake.

Kamandoo hachoki kupigana,hachoki kupambana,kazi yake ni kusonga mbele kwa maarifa ,akili,ujuzi,ujasiri, ushupavu,ukakamavu na umadhubuti wa Hali ya juu Sana

Hivi Ndivyo alivyo Rais wetu mama Samia suluhu Hassani,Ni kiongozi mpambanaji Sana,Jasiri, mkakamavu,Hodari, mvumilivu, aliyejitoa na kujitolea kuwatumikia watanzania,hatazami nyuma kwa hofu Bali hutazama mbele kwa matumaini makubwa Sana,hateteleki Wala kuteteleshwa.hayaogopi matatizo ya kiuongozi Bali huyakabili kwa moyo wa ujasiri na ushupavu,hayakwepi matatizo Bali hutazama na kuyamaliza kiweledi Sana.

Ndio maana tumefika hapa Kama Taifa ,ndio maana tumeshinda Vita vyote vya kiuchumi,ndio maana tumevuka mitihani yote migumu,ndio maana tumewashinda maadui wote waliojitokeza mbele yetu Kama Taifa. kwa kuwa mbele yetu alikuwepo na yupo Rais wetu mpendwa na Jasiri mama Samia suluhu Hassani kipenzi Cha watanzania na Tumaini la wanyonge.ni kwa kuwa mbele yetu Kama Taifa alikuwepo mama yetu na Rais wetu alietushika mkono,kutufariji,kututia moyo,kutuunganisha,kutufuta machozi ,kutushauri,kutupa maneno ya ujasiri,kutuongoza,kutupatia matumaini,kutupa Tabasamu na matumaini pamoja na kutujengea ujasiri wa kusonga mbele pasipo kukata Tamaa.

Ndio maana Leo hii watanzania Wanatazama Mbele kwa matumaini na siyo hofu,ndio maana watanzania wanasonga mbele kwa ujasiri pasipo Shaka,ndio maana Taifa Lina amani, utulivu na upendo huku likiwa limeshikamana.ndio maana uchumi wetu unaendelea kupaa na kumgusa kila mtanzania,ndio maana kila mtanzania Anayo matumaini makubwa ya kutimiza Ndoto zake, ndio maana watanzania tunazungumza lugha moja,ndio maana watanzania tunapendana ,kuheshimiana,kusaidiana , kushirikiana na kuvumiliana tunapotofautiana kimtizamo,ndio maana kila mmoja wetu anaiona kesho iliyo Bora zaidi ya Leo na kila mmoja anaiona nuru machoni pake.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
Komandoo wa tozo.
 
Komandoo wa tozo.
Tozo Ni kwa maendeleo ya Taifa letu,ndio maana kupitia tozo hozo tuliweza kujenga vituo vya Afya zaidi ya 234,vyumba vya madarasa zaidi ya elfu 20,kutoa Elimu bure Hadi kidato Cha sita,kutoa Ruzuku ya billion Mia moja hamsini katika mbolea pamoja na Ruzuku ya billion Mia moja kila mwezi katika mafuta.
 
Ndugu zangu watanzania,

Mtu kufikia hatua ya ukomandoo anakuwa amepitia mafunzo mengi Sana magumu,yenye kuhitaji nguvu na akili,maarifa na upeo,ufahamu na utambuzi,uvumilivu na ujasiri,ukakamavu na ushupavu,Dhamira na malengo,Dira na muelekeo.

Komandoo Ni mpambanaji na Jasiri Sana,mkakamavu na mvumilivu wa Hali ya juu katika magumu na mateso yote apitiayo.Hakati Tamaa mpaka atimize lengo ,yupo tayari kuishi na kukaa katika mazingira ya aina yoyote yale,hatazami nyuma kwa hofu Bali hutazama mbele kwa matumaini na moyo wa ushindi kwa Taifa lake,yupo Tayari kuhatarisha maisha yake kwa ajiri ya Taifa lake ,Ni mtu aliye jitoa na kujitolea Kama sadaka kwa ajili ya maisha na uhai wa Taifa lake na watu wake.

Kamandoo hachoki kupigana,hachoki kupambana,kazi yake ni kusonga mbele kwa maarifa ,akili,ujuzi,ujasiri, ushupavu,ukakamavu na umadhubuti wa Hali ya juu Sana

Hivi Ndivyo alivyo Rais wetu mama Samia suluhu Hassani,Ni kiongozi mpambanaji Sana,Jasiri, mkakamavu,Hodari, mvumilivu, aliyejitoa na kujitolea kuwatumikia watanzania,hatazami nyuma kwa hofu Bali hutazama mbele kwa matumaini makubwa Sana,hateteleki Wala kuteteleshwa.hayaogopi matatizo ya kiuongozi Bali huyakabili kwa moyo wa ujasiri na ushupavu,hayakwepi matatizo Bali hutazama na kuyamaliza kiweledi Sana.

Ndio maana tumefika hapa Kama Taifa ,ndio maana tumeshinda Vita vyote vya kiuchumi,ndio maana tumevuka mitihani yote migumu,ndio maana tumewashinda maadui wote waliojitokeza mbele yetu Kama Taifa. kwa kuwa mbele yetu alikuwepo na yupo Rais wetu mpendwa na Jasiri mama Samia suluhu Hassani kipenzi Cha watanzania na Tumaini la wanyonge.ni kwa kuwa mbele yetu Kama Taifa alikuwepo mama yetu na Rais wetu alietushika mkono,kutufariji,kututia moyo,kutuunganisha,kutufuta machozi ,kutushauri,kutupa maneno ya ujasiri,kutuongoza,kutupatia matumaini,kutupa Tabasamu na matumaini pamoja na kutujengea ujasiri wa kusonga mbele pasipo kukata Tamaa.

Ndio maana Leo hii watanzania Wanatazama Mbele kwa matumaini na siyo hofu,ndio maana watanzania wanasonga mbele kwa ujasiri pasipo Shaka,ndio maana Taifa Lina amani, utulivu na upendo huku likiwa limeshikamana.ndio maana uchumi wetu unaendelea kupaa na kumgusa kila mtanzania,ndio maana kila mtanzania Anayo matumaini makubwa ya kutimiza Ndoto zake, ndio maana watanzania tunazungumza lugha moja,ndio maana watanzania tunapendana ,kuheshimiana,kusaidiana , kushirikiana na kuvumiliana tunapotofautiana kimtizamo,ndio maana kila mmoja wetu anaiona kesho iliyo Bora zaidi ya Leo na kila mmoja anaiona nuru machoni pake.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
Kumbe boss wewe bado ni kijana mdogo tu. Juzi nimeona clip yako unamsema Lisu, ha ha ha haaa.

Ulikuwa unajitahidi sana kupangilia maneno. Kwa level yako umejitahidi sana. Baada ya miaka 32 utakuwa umekomaa vizuri.

Hongera sana hoja zako huwa zinatukosha sana sisi wenye akili
 
Ndio hata Mimi nakula kwa jasho langu,nakula baada ya kufanya kazi kwa kutumia mikono yangu pasipo kumnyonya mtu kwa Aina yoyote Ile,nawajibika juu ya kupata chakula changu.huo Ni wajibu wangu ninao utimiza kwa uaminifu na kujituma kwa bidii,juhudi na maarifa
Jinga tu
 
UshakulA national cake nini
 
Komandoo ambaye hajawahi hata kuruka kamba au kucheza mdako !
 
Huwezi ukaelewa chochote maana umeshindwa hata kuelewa Ni kwanini mmeshindwa kujenga au kupaka hata rangi tu ya ofisi zenu za kupanga pale ufipa licha ya kupokea mamilioni ya Ruzuku kwa miaka mingi
 
Kumbe boss wewe bado ni kijana mdogo tu. Juzi nimeona clip yako unamsema Lisu, ha ha ha haaa.

Ulikuwa unajitahidi sana kupangilia maneno. Kwa level yako umejitahidi sana. Baada ya miaka 32 utakuwa umekomaa vizuri.

Hongera sana hoja zako huwa zinatukosha sana sisi wenye akili
Mimi nawasilisha hoja zangu kupitia jukwaa hili na siyo clip
 
Huwezi ukaelewa chochote maana umeshindwa hata kuelewa Ni kwanini mmeshindwa kujenga au kupaka hata rangi tu ya ofisi zenu za kupanga pale ufipa licha ya kupokea mamilioni ya Ruzuku kwa miaka mingi
Jikite kwenye uzi wako
 
Back
Top Bottom