Rais Samia: Ngorongoro ni urithi wa dunia

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Ngorongoro ni urithi wa Dunia sio tu wa Tanzania lakini ni urithi wa dunia na upo kwenye vitabu vya dunia chini ya Shirika la UNESCO, ni lazima sisi ambao tumeshushiwa Ngorongoro na Mwenyezi Mungu tulinde urithi huu wa Dunia.

Your browser is not able to display this video.
 
Kwa hiyo hili jambo lilitulia uchaguzi upite. Kazi sana
 
Lengo ni kutuambia kuwa waarabu ni haki yao kutwaa maeneo kwa sababu siyo urithi wa watanganyi....
 
Huu ni urithi wa Tanganyika.

Hili dubwasha sijui lina shida Gani kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…