PreGE2025 Rais Samia na Rais Mwinyi wafuturu pamoja Ikulu Tunguu na Viongozi wa Siasa, Serikali na Dini

PreGE2025 Rais Samia na Rais Mwinyi wafuturu pamoja Ikulu Tunguu na Viongozi wa Siasa, Serikali na Dini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,499
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume kwenye Iftar aliyowaandalia Viongozi wa siasa, serikali, dini na makundi maalum katika viwanja vya Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar.

1742548111739.png


1742548190173.png

1742548129740.png

1742548177042.png
Pia, Soma
 
Hi ni habari au nini? Kwasababu hilo ni kawaida sanaa na linategemewa au unatafuta maneno kutoka kwa wenye chuki zao?
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume kwenye Iftar aliyowaandalia Viongozi wa siasa, serikali, dini na makundi maalum katika viwanja vya Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar.

Ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka.
 
Wamependeza sana. MUNGU awabariki sana waendelee na umoja huohuo. Rais dkt Hussein ni Rais mnyenyekevu sana mwenye utu na kuheshimu wengine.....hakika Zanzibar itapaaa kwa maendeleo.
 
Madon wanafuturishana
Bado sijaona wale wasiyojiweza
Wakapewa futari

Ova
 
Back
Top Bottom