Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 562
- 526
So what? Inatusaidia nini wewe muuaji? Kukutana na Putin ni sifa? Umekosa kitu cha kufanya?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Rais wa Shirikisho la Urusi Mhe. Vladmir Putin katika Ikulu ya Kremlin Jijini Moscow, tarehe 03 Juni, 2026.View attachment 3600661View attachment 3600663View attachment 3600664View attachment 3600665
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Rais wa Shirikisho la Urusi Mhe. Vladmir Putin katika Ikulu ya Kremlin Jijini Moscow, tarehe 03 Juni, 2026.View attachment 3600661View attachment 3600663View attachment 3600664View attachment 3600665
Ebu mwambie huyo hippopotumus mtoto. Yaani ma hippo yanaona dili...So what? Inatusaidia nini wewe muuaji? Kukutana na Putin ni sifa? Umekosa kitu cha kufanya?
wafuata mkumbo na wafadhili wao akina tedi kruzi waatakua anaumia moyo sana wakiona hivi dah!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Rais wa Shirikisho la Urusi Mhe. Vladmir Putin katika Ikulu ya Kremlin Jijini Moscow, tarehe 03 Juni, 2026.View attachment 3600661View attachment 3600663View attachment 3600664View attachment 3600665
Dah mkuu siyo poa hayo matusi aseeEbu mwambie huyo hippopotumus mtoto. Yaani ma hippo yanaona dili...
Punguza povu. Rais yuko Kremlin ukitaka usitake.So what? Inatusaidia nini wewe muuaji? Kukutana na Putin ni sifa? Umekosa kitu cha kufanya?
Hongera mama Samia kutupambania watanzania, ubarikiwe!
Punguza povu. Rais yuko Kremlin ukitaka usitake.
wafuata mkumbo na wafadhili wao akina tedi kruzi waatakua anaumia moyo sana wakiona hivi dah!