Rais Samia na hili la mfumuko wa bei ulilolikalia kimya nalo ni tatizo la awamu zilizopita?

Ni mtete Raisi kweli hili mfumuko wa bei upo Duniani nzima kwa sasa. Hapa USA mfumuko wa bei ni 6% kutoka 2.2% mwaka 2019. Bei ya Mafuta juu, upungufu wa maligjafi kama za kutengeneza mbolea, vifaa vinavyotumika kwenye kutengeneza magari hasa computer za magari haya yote yameleta mfumuko wa bei na itaanza kushuka mwaka kesho.
Kwa hiyo hapa Afrika Mashariki huo mfumuko umeamua kupiga Tanzania tu!? Acha porojo.
 
Bomoa bomoa, mfumko wa bei, upigaji, kusimama kwa miradi mikubwa mikubwa mbona umeanza baada ya mwezi wa tatu?
Sukari ilipanda kutoka 1800 hadi 2400 awamu ya ngapi?

Wananchi wa kimara walibomolewa Awamu ya ngapi? Na mwanza ikasemwa wasibomolewe Kwa sababu walimpa kura ?
 
Ni mtete Raisi kweli hili mfumuko wa bei upo Duniani nzima kwa sasa. Hapa USA mfumuko wa bei ni 6% kutoka 2.2% mwaka 2019. Bei ya Mafuta juu, upungufu wa maligjafi kama za kutengeneza mbolea, vifaa vinavyotumika kwenye kutengeneza magari hasa computer za magari haya yote yameleta mfumuko wa bei na itaanza kushuka mwaka kesho.
Mange Kimambi kazini
 
Kwa mara ya kwanza nimeona unajihami kwa kusema matatizo ya awamu zilizopita yanaangushiwa awamu yako hivyo hutakubali ,na utasimama upande wa wananchi.

Swali langu kwako ,hili la mfumuko wa bei,kupanda holela kwa bidhaa karibu zote nchini nalo umeangishiwa jumba bovu?

Awamu iliyopita ,ya tano,pamoja na kovidi kuwa kikwazo mfumuko wa bei ulikuwa stable sana,kwanini sasa bei zinapanda kiholela na wewe kama mfariji namba moja nchini upo kimyaaa!!
Urais si lelemama ,kaza buti,vinginevyo historia itakuhukumu
Habari ya Burundi kwanza?

Nikuulize tu mafuta ya kula yalianza kupanda bei Awamu wa ngapi?

Sukari ilipanda bei kutoka 1800 Hadi 2400 Awamu ya ngapi?

Biashara ya korosho iliharibiwa Awamu ya ngapi?
 
Walifikiri watafuta legacy ya Magufuli kwa kuajiri vijana wa kuanzisha thread za matusi na wao kupambwa,kumbe ng'o!
Wazee wa legacy fake, mnajitahid sana kulazimisha magufuli wenu aonekane mtu kumbe kilikuwa kituko kabisa kuwahi kutokea tangu kupata uhuru wa nchi hii. Wasukuma wajinga sana aisee
 
Kwa mara ya kwanza nimeona unajihami kwa kusema matatizo ya awamu zilizopita yanaangushiwa awamu yako hivyo hutakubali ,na utasimama upande wa wananchi.

Swali langu kwako ,hili la mfumuko wa bei,kupanda holela kwa bidhaa karibu zote nchini nalo umeangishiwa jumba bovu?

Awamu iliyopita ,ya tano,pamoja na kovidi kuwa kikwazo mfumuko wa bei ulikuwa stable sana,kwanini sasa bei zinapanda kiholela na wewe kama mfariji namba moja nchini upo kimyaaa!!
Urais si lelemama ,kaza buti,vinginevyo historia itakuhukumu
Naona anatafuta huruma za wananchi. Hali ni mbaya bado mama yuko honeymoon....lol
 
Wazee wa legacy fake, mnajitahid sana kulazimisha magufuli wenu aonekane mtu kumbe kilikuwa kituko kabisa kuwahi kutokea tangu kupata uhuru wa nchi hii. Wasukuma wajinga sana aisee
Mkuu wasukuma walikukosea nini?
Magufuli alikuwa na mapungufu yake kama binadamu wengine,
N way magufuli ameacha alama kwa taifa na atakumbukwa na vizazi....huyo mzuri wenu akijitahidi sana labda azindue miradi ya magufuli otherwise miaka yake itaisha akiwa safarini.
 
Sukari ilipanda kutoka 1800 hadi 2400 awamu ya ngapi?

Wananchi wa kimara walibomolewa Awamu ya ngapi? Na mwanza ikasemwa wasibomolewe Kwa sababu walimpa kura ?
Tunaongelea 2400 hadi 3000, kubomolewa kwa machinga, kusimama kwa miradi,lita ya korie kuuzwa 26,000 badala ya 15,000, kipande cha sabuni kuuzwa 500 badala ya 250, saruji kuuzwa 24, badala ya 19,500 tusizibe masikio kisa kutetea mtu.
Awamu hii hata nyama, mboga za majani na matunda vinapanda kwa 5G.
Kifupi awamu hii inajizingua yenyewe asilaumu mtu kumhujumu hali mamlaka zote na teuzi zote muhimu anafanya yeye.
 
Anajilizaliza halafu anakuja jukwaani kuchabo wapambe wake wanateteaje machozi yake
 
Na hawana uwezo wa kumtetea kabisa kwa mfumuko huu wa bei.
Mvua nayo haiko upande wake hivyo mfumuko huu wa bei na njaa inayienda kulikumba hapo mwakani lazima aombe pooo
 
Kwa ivo Mama yeye hakua kwenye awamu iliyopita. Dah ama kweli

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Nisawa sawa na waziri mkuu alalamike kuwa ni matatizo ya awamu iliyo pita, nchi ikiwa chini ya raisi mpumbavuu ni shida sana baada ya kufokasi kwenye kunyoosha nchi ili mambo yazidi kuwa vizuri yeye anapiga mayowe yasiyo na vitendo
 
Wazee wa legacy fake, mnajitahid sana kulazimisha magufuli wenu aonekane mtu kumbe kilikuwa kituko kabisa kuwahi kutokea tangu kupata uhuru wa nchi hii. Wasukuma wajinga sana aisee
Nakuona fisadi papa sasa unakula na kujaza choo bila ya mashaka chini ya mama ngoja jeshi lichukue nchi ndiyo mtajua kuwa sisiemu ni mafii
 
Back
Top Bottom