Rais Samia na Familia yake Wachangia Milioni 100 Ujenzi wa kanisa la Mtakatifu Karoli jimbo kuu la katoliki Arusha

Mama Ana hela bana yuko vizuri
Sana hiyo mln 100 ni kama ananunua vocha tu ajiunge kifurushi cha wiki

Ova
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kushirikiana na Familia yake wamechangia kiasi cha Millioni 100 yaani mia moja ,ujenzi wa kanisa la Mtakatifu karoli Lwanga jimbo kuu la katoliki Arusha,Usa River wilayani Arumeru. Ambapo mchango huo kama sadaka umewasilishwa kanisani hapo na Mheshimiwa mkuu wa mkoa wa Arusha Mwamba Mwenyewe Paul Makonda.

Ambapo Mheshimiwa Makonda amesema ya kuwa Rais wetu Mpendwa katoa sadaka na mchango wake huo huku ukiambatana na maneno kuwa ukatumike kupatanisha,kuunganisha na kujenga umoja wa Taifa letu. Kwamba ukisimama katika ukuta au mabati basi ukawe kama sehemu ya upatanisho.

Ambapo kanisa zima lililipuka kwa shangwe na nderemo kushangilia na kuimba nyimbo za shukurani kwa Mheshimiwa Rais na kumshukuru Sana kwa moyo wake wa upendo na ukarimu ambao amekuwa nao wa kuchangia na kujitolea mara kwa mara.

Hii ndio sababu ya kuendelea kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania bila kujali madhehebu yao ,kwa kuwa Rais wetu kipenzi ameweke mikono yake na kupeleka michango yake kila sehemu bila kujali dhehebu. kama ambavyo tuliona akitoa zaidi ya shilingi milioni mia moja hamsini pale Mheshimiwa Mbowe alipomuomba awachangie kkkt.Rais SAMIA ni Mama wa Taifa,mlezi wa Taifa ,Rais na kiongozi wa wote ndio maana anawapenda watu wote na kuwatumikia wote bila ubaguzi kwa misingi ya aina yoyote ile. Ni mama mwenye huruma, unyenyekevu,ukarimu na upendo mkubwa sana kwa watanzania na Taifa letu kwa ujumla.

Rais wetu anataka watanzania tuishi kama Taifa na kushirikiana katika mambo yote bila kubaguana kwa itikadi za kisiasa au misingi ya kidini au ukabila au ukanda wala jinsia.ndio maana mikono yake imegusa watu wa dini zote na madhehebu yote.hii ndio maana ya kuitwa kiongozi na Mkuu wa Nchi,hii ndio maana ya kuitwa kiongozi wa wote,mfariji wa Taifa Na kiungaishi cha Taifa.

Rais Samia Anastahili pongezi na kuungwa mkono na kila mtanzania mwenye mapenzi mema na Taifa letu. Tumtie moyo na kumpa ushirikiano wa kutosha Mama yetu.tusimkatishe tamaa wala kumvunja moyo huu wa upendo alionao kwetu watanzania na Taifa letu.

Kazi iendelee,Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Pesa kutoka uarabuni hiyo.
Baada ya ngorongoro kuuzwa wana angalia ni nani wanabeekabweka ili watupiwe mfupa wanyamaze.
Hapo Ar kwa hao RC imetoka hiyo mmasai apambane na hali yake mwenyewe.
 
Habari ikiletwa na Lucas Muoshambwa basi hiyo kwangu ni
IMG_6223.jpg
 
Pesa kutoka uarabuni hiyo.
Baada ya ngorongoro kuuzwa wana angalia ni nani wanabeekabweka ili watupiwe mfupa wanyamaze.
Hapo Ar kwa hao RC imetoka hiyo mmasai apambane na hali yake mwenyewe.
Acha uzushi wako wewe na maneno yako ya uongo na upashikuna.
 
Mmh kutoa mln 100 siyo moyo mzee lazima uwe tajiri yaani una pesa mpaka imepitiliza
We una hela ya ngama kama hiyo ndiyo utoe hata moyo wako hauwezi kukubali

Ova
Kuna watu na wafanyabiashara wenye mapesa mengi sana lakini huwezi ukaona wakisaidia watu wala kuwashika mkono yatima.
 
Mtu yeyote anayeamua kugombea urais amekubali kuambiwa mjinga.

Ujinga ni ignorance, kutokujua kitu. Sasa ukisema Samia si mjinga una maana gani? Una maana kwamba Samia anafanya kuvunja separation of church and state kwa makusudi, si kwa ujinga?

Usipoelewa hilo, kwamba ukigombea urais umekubali kuitwa mjinga, wewe ni mjinga zaidi.

Na hapo ndipo tatizo la Watanzania wengi lilipo.

Mjinga anawaongoza wajinga zaidi.

Rais ni mtu anayetakiwa kuwa na the least protection against kuitwa mjinga.

Yani ni hivi, inatakiwa iwe vigumu kumsema raia wa kawaida mjinga kuliko kumsema rais.

Kwa sababu mwananchi wa kawaida hajachagua public life, kwa sababu mwananchi wa kawaida hajachukua dhamana ya maisha ya watu wengi.

Ila, kwa ujinga wenu mmemfanya rais kama Mungu mtu, yeye ndiye anakuwa na protection zaidi ya raia wa kawaida.

Backasswards bumpkins.
Watanzania wengi walifilisika kisiasa siku nyingi.
Ushahidi ni kwenye mikusanyiko ya kisiasa utasikia salamu kama "Tumsifu Yesu Kristo, Bwana Yesu Asifiwe, Assalaamu Alaikum, hata hotuba za kikabila.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kushirikiana na Familia yake wamechangia kiasi cha Millioni 100 yaani mia moja ,ujenzi wa kanisa la Mtakatifu karoli Lwanga jimbo kuu la katoliki Arusha,Usa River wilayani Arumeru. Ambapo mchango huo kama sadaka umewasilishwa kanisani hapo na Mheshimiwa mkuu wa mkoa wa Arusha Mwamba Mwenyewe Paul Makonda.

Ambapo Mheshimiwa Makonda amesema ya kuwa Rais wetu Mpendwa katoa sadaka na mchango wake huo huku ukiambatana na maneno kuwa ukatumike kupatanisha,kuunganisha na kujenga umoja wa Taifa letu. Kwamba ukisimama katika ukuta au mabati basi ukawe kama sehemu ya upatanisho.

Ambapo kanisa zima lililipuka kwa shangwe na nderemo kushangilia na kuimba nyimbo za shukurani kwa Mheshimiwa Rais na kumshukuru Sana kwa moyo wake wa upendo na ukarimu ambao amekuwa nao wa kuchangia na kujitolea mara kwa mara.

Hii ndio sababu ya kuendelea kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania bila kujali madhehebu yao ,kwa kuwa Rais wetu kipenzi ameweke mikono yake na kupeleka michango yake kila sehemu bila kujali dhehebu. kama ambavyo tuliona akitoa zaidi ya shilingi milioni mia moja hamsini pale Mheshimiwa Mbowe alipomuomba awachangie kkkt.Rais SAMIA ni Mama wa Taifa,mlezi wa Taifa ,Rais na kiongozi wa wote ndio maana anawapenda watu wote na kuwatumikia wote bila ubaguzi kwa misingi ya aina yoyote ile. Ni mama mwenye huruma, unyenyekevu,ukarimu na upendo mkubwa sana kwa watanzania na Taifa letu kwa ujumla.

Rais wetu anataka watanzania tuishi kama Taifa na kushirikiana katika mambo yote bila kubaguana kwa itikadi za kisiasa au misingi ya kidini au ukabila au ukanda wala jinsia.ndio maana mikono yake imegusa watu wa dini zote na madhehebu yote.hii ndio maana ya kuitwa kiongozi na Mkuu wa Nchi,hii ndio maana ya kuitwa kiongozi wa wote,mfariji wa Taifa Na kiungaishi cha Taifa.

Rais Samia Anastahili pongezi na kuungwa mkono na kila mtanzania mwenye mapenzi mema na Taifa letu. Tumtie moyo na kumpa ushirikiano wa kutosha Mama yetu.tusimkatishe tamaa wala kumvunja moyo huu wa upendo alionao kwetu watanzania na Taifa letu.

Kazi iendelee,Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sawa ila rais anapata wapi fedha nyingi hivyo?
 
Back
Top Bottom