Rais Samia na Dkt. Tulia wajengewe sanamu

Matusi ni dalili ya kuishiwa hoja na kushindwa cha kujibu. Mwenye busara na hekima hujibu hoja kwa hoja tu.
Endelea kumdharau baba yako tu maana tunasema umheshimishe baba yako unasema tunakutukana.kweli hujielewi.
 
“Afrika bara la Giza” dark continent, kwa akili izi açha muafrika aitwe nyani tena atupiwe ndizi zilizooza
 
Bila shaka ww ni mwana CCM kindakindaki. Ingependeza xana kama Ndg Lucas ungetoa fedha mfukoni kwako kw ajli ya pendekezo lako kuonyesha uzalendo. Kuna wagonjwa kw maelfu wanafia majmbn mwao hawana misaada, kna maeneo hayafikiki kw kkosa brbr ...nk halaf mtu analeta pendkezo hapa serikali itumie kodi za wananchi kujengea watu masanamu!! Ni jana tu wameptisha kw kshindo mswada kutumia kodi za waTz kulipia wake na waume wa vgogo pensheni bila kufanya kazi, ss mnaleta kioja kingne! Nikushauri Lucas, hoja yako umeileta ktk kipindi watu wana hasira na matumizi mabaya ktk serikali, leta mwakani, huenda watu watakua wamesahau, wamepungza hasira, naamini utafanikiwa. Dah, Tz ina "wazalendo"
 
🐒🐒🐒
Your browser is not able to display this video.
 
Ni Samia tu.
Huyo mwingine kamjengee wewe.
Maana mnafahamiana kule kwenu Mbeya.
 
Ila bro! Uchawa wako ni wa karne ijayo! Utumie pesa ya Umma kujenga sanamu la viongozi hawa wasio na akili!
Kipindi hiki ambacho maisha ni magumu! Bro wewe huna hata ndugu aliye maliza chuo aliyepo mtaani kwa kukosa ajira? Je huna ndugu hata mmoja kijana anayepigika na kazi za kishenzi wakati ana vyeti vya chuo amefaulu vzr tu?
We ni kenge bro
 
Eti wajengee sanamu. AKili yako iko kwenye sanamu badala ya kacha historia ichukue mkondo wake. Viongozi wazuri huwa hawajengewi sanamu wakiwa madarakani au wakiwa hai. Vinginevyto zitabaki kama zile sanamu za Saddam Hussein
 
Hata kama nina ndugu ambao hawana ajira lakini haiondoi ule ukweli kuwa viongozi wetu hawa wanafanya kazi kubwa sana. Ikiwepo kutoa ajira kwa vijana.mfano Dr Samia ndani ya muda mfupi wa uongozi wake ametoa maelfu ya ajira kwa vijana mbalimbali nchini ,japo siyo wote waliopata lakini vijana waliobakia wanamatumaini kuwa watapata tu katika uongozi wa Rais samia.ukija kwa Dr Tulia naye amewawezesha vijana wengi sana mkoani Mbeya kwa kuwapatia mitaji ya kutosha kupitia vikundi vyao.amewapatia pia vijana bodaboda na bajaji bure kabisa ambazo zinawasaidia vijana kujipatia kipato kila siku na kuendesha maisha yao na hivyo kuondoa utegemezi wa kipato.
 

Hivi umeoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…