Rais Samia Msibani kwa Ndugai

Rais Samia Msibani kwa Ndugai

The Supreme Conqueror

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2017
Posts
609
Reaction score
1,574
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waombolezaji kabla ya kuaga mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Yustino Ndugai katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma tarehe 10 Agosti, 2025.
1754822291385.png

Ina maana yule Bi Mkubwa mke wa ndoa hatambuliki kabisa jamani? Sijui mwenye shida alikuwa Job au Mke mkubwa?
 
Aisee Naiona Pisi Fulani Hapo.
Wote Wameolewa Hao ?
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waombolezaji kabla ya kuaga mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Yustino Ndugai katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma tarehe 10 Agosti, 2025.
Wote waliopewa nafasi ya kutoa Salam za rambirambi wamemtaja Dr Fatma na hawajamtaja kabisa huyu mama mwenye nguo nyeupe sijui kwann.
 
Sasa kama Marehemu alimtambulisha kote Dr. Fatuma, huyo mwingine anatokea wapi? Kwa nini hakujitokeza wakati Dr. Fatuma anatambulishwa, na kubisha kama yeye ndio Mke halali? Kwa nini mtu asubiri mtu afe, kisha ajitokeze? Ni muda sasa kwa Wanasheria kuyaangalia haya mambo...
 
Inashangaza!...Huyo Fatuma ndiye alitambulishwa na Marehemu.
 
Serikali kwanini inakumbatia mchepuko na kuacha mke halali?
 
Back
Top Bottom