jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 651
- 2,246
...yeye ni MtanzaniaShida iko wapi hapo
Mtu kwao.kwani kuna ubaya?Ana tumia nguvu nyingi sana naza wazi kui favour zenji saivi..hatoboi mbari huyu
Zanzibar hakuna makabila eti?Basi Samia ni mmakonde
Sasa kama ni Mzanzibar si akatawale huko kwao Zanzibar?!Mtu kwao.kwani kuna ubaya?
...yeye ni Mtanzania
Zanzibar hakuna makabila eti!!??
Yeye ni kiongozi wa ujumla wa Watanzania.Hapo umeweka kwa ujumla.
kwani wewe haujui kuwa tunaongozwa na mzanzibari?Sasa kama ni Mzanzibar si akatawale huko kwao Zanzibar?!
Samia ni Mtanzania na ndicho alipaswa atamke.