Rais Samia: Maridhiano si udhaifu

Wapumbavu ni nyinyi ambao badala ya kwenda kupuga kura mliingia mitaani kuvuruga uchaguzi, kuchoma miundombinu ya Serikali na kuiba mali za watu
Kapakatwe huko ,mbwa wewe .We kvma ule ulikuwa ni uchaguzi we fala ? ,unajua maana ya uchaguzi we kvma ?,kvma LA mamako
 
Maridhiano ni hatua ya juu kabisa ya majadiliano na makubaliano. Mashaka yangu ni kuwa ikiwa watu hawawezi tu kujadiliana kwa kawaida "social dialogue" wanaingiza chukichuki, unazi na maslahi binafsi kwenye maslahi ya Umma wataweza kweli kukaa kujadiliana na kukubaliana ili kuridhiana?.

Hili eneo la majadiliano, makubaliano ya pamoja na maridhiano ni eneo nililolifanyia utafiti wangu. Watu tuna uelewa mdogo sana juu ya majadiliano, makubaliano na maridhiano.

Meza ya majadiliano ikitumika kwa usahihi ni njia nzuri kila wakati, ila inahitaji watu kujua ni nini wanachopaswa kukifanya mezani.
 
Kapakatwe huko ,mbwa wewe .We kvma ule ulikuwa ni uchaguzi we fala ? ,unajua maana ya uchaguzi we kvma ?,kvma LA mamako
ulikuwa ni kvma la mama yako ? ,unajua maana ya uchaguzi we kvma ?,kvma LA mamako
 
tusipokubali tufanyeje? (kwa maslahi mapana ya taifa)
Hivi kwa 98,% unataka nini tena, 2% ndiyo iwasumbue? Ukisumbuka utawafanya waamini yako 2 nyingine ya wengine!!! Sijui nimeandika vitu gani wala sielewi...!!!
 
Hata kutoiba kura sio udhaifu pia.
 
Hivi kwa 98,% unataka nini tena, 2% ndiyo iwasumbue? Ukisumbuka utawafanya waamini yako 2 nyingine ya wengine!!! Sijui nimeandika vitu gani wala sielewi...!!!
na hivi Wadai haki wameanza kuitwa magaidi, huko tuendako ni Giza tupu!

msaada uliobaki ni kutoka kwa Mfalme wa wafalme. bhaaaaasi
 
Huyu mama walimtoa wapi?!
 
Polepole tunakukumbuka!
Ulishazungumzia hili, linatokea.
 
Mpumbavu mwenyewe
Hata huko znz, waliuliwa
Ulitaka ridhaa gani ewe kenge wa chadomoghasia? Alipigiwa kura na waliopga! Si tecdema mlizila na mlivyoleta upuuzi mkala misumari.. Nyau nyie
Na hamna la kufanya hadi 2030
Punguza jazba na ukubaliane na ukwel🤧 utakufa mapema ndgu😏
 
Ila maridhiano ya kinafiki ni udhaifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…