Rais Samia: Maridhiano si udhaifu

Exactly...

Hawa jamaa waovu sana...
 
Waliyakataa maridhiano mpka akawaua watanzania kwa uwingi ule sio wa kumsikiliza huyu
Silaha yake ni lugha laini, sura ya upole na kujitia ana huruma..

Lakini deep down huyu ni katili vibaya sana..

Na kawachota akili wengi sana wanaomzunguka na walio ndani ya serikali.. ndio namna yake ya kujilinda.. ana hizo kauli utasikia "mwanangu, niambie mimi mama yako"... ana vikauli flani ambavyo huwa vinawachota akili watu...

Hata Melo wa Jf kuna wakati alisema "Mwanangu Melo"..

Ana namna flani ya kuwachota watu akili, lakini ni mbwa mwitu huyo...
 
Mpumbavu mwenyewe
Hata huko znz, waliuliwa
Ulitaka ridhaa gani ewe kenge wa chadomoghasia? Alipigiwa kura na waliopga! Si tecdema mlizila na mlivyoleta upuuzi mkala misumari.. Nyau nyie
Na hamna la kufanya hadi 2030
Acha kulopoka alipigiwa kura wapi njoo na takwimu. Mm nilikuwa kimara kati ya watu waliojiandikisha 360 walipga kura watu 6 tu. Binafsi nilijiandikisha kurasini karibu na uhamiaji. Juzi nilimkuta nimepigiwa
Mjinga
 
thank you Mama,
Rais Dr Samia Suluhu Hassan 🔥
 
Sikuliona hili tukio maana nilikuwa kwenye usafi wa chumba changu,je maridhiano hayo yameleta kitu gani kipya?Je kuna mtu analo hilo tamko aliweke hapa nisome?
 
Walikataa maridhiano kabla ya uchaguzi, wakajichagua wenyewe na kuua maelfu ya Watanganyika sasa wanataka maridhiano, hawa ni mashetani kabisa.
 
Ila hayo maridhiano ni lazima ccm wakae madarakani hata kwa mauaji.
 
Sikuliona hili tukio maana nilikuwa kwenye usafi wa chumba changu,je maridhiano hayo yameleta kitu gani kipya?Je kuna mtu analo hilo tamko aliweke hapa nisome?
Yale majinga yametapeliwa tena
 
Acha kulopoka alipigiwa kura wapi njoo na takwimu. Mm nilikuwa kimara kati ya watu waliojiandikisha 360 walipga kura watu 6 tu. Binafsi nilijiandikisha kurasini karibu na uhamiaji. Juzi nilimkuta nimepigiwa
Mjinga
Kwani ili ionekane kuwa kashnda ilitakiwa apate kura ngapi?

Mnajipa umhimu wa tecdema kujiona mpo wengi wakati hakuna kitu!
 
Nashauri Rais ajaye naye atokee zanzibar, maana bara imetoa Marais mara 5.
 
Walikataa maridhiano kabla ya uchaguzi, wakajichagua wenyewe na kuua maelfu ya Watanganyika sasa wanataka maridhiano, hawa ni mashetani kabisa.
Usichanganye mambo,mambo ya wazanzibari wewe huyajui,mara baada ya uchaguzi act wazalendo walisusia kushiriki kwenye serikali ya umoja wa kitaifa kwa mujibu wa katiba yao.Baada ya hapo iliundwa kamati ya kutafuta maridhiano baina ya ccm na act wazalendo,kamati hiyo imefanya majadiliano kwa zaidi ya miezi 5 na sasa wamekubaliano ndio wametoka hadharani kutiliana saini maridhiano hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…