PostGE2025 Rais Samia: Majaji simamieni Haki kwa kuzingatia Katiba bila upendeleo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema hayo leo Januari 13, 2026 wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma.

"Nitoe msisitizo kwamba kwa upande wetu Serikali, tutatimiza wajibu wetu wakuendelea kuimarisha huduma za Mahakama, lakini niwatake nanyi kutimiza wajibu wenu ndugu zangu Majaji na Mahakimu ambao ni kusimamia HAKI kwa kuzingatia KATIBA, SHERIA na MAADILI bila hofu, huba wala upendeleo na hiki ndicho kiapo chenu"
Your browser is not able to display this video.
 
Ninazidi kukasirika kila nikisikia upuuzi kama huu toka kwa hawa wanafiki wakubwa!
 
Haki inaifahamu huyo mropokaji
 

Hawa maCCM kwa kujifanya kuongea vizuri wakati matendo yao ni MACHAFU na MAOVU.

Wanachokisema siyo wanachokifanya. Hivi hawa watu wana MOYO WA NYAMA kama watu wengine....!!?
 
anatuona wananchi kama matak* yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…