ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,487
- 88,625
- Thread starter
- #21
Lipa Kodi ndio wajibu wako ,achana na mambo ya chawaMbona chawa wako wanadai fedha ya maendeleo yote unatoa wewe?
Lipa Kodi ndio wajibu wako ,achana na mambo ya chawaMbona chawa wako wanadai fedha ya maendeleo yote unatoa wewe?
Unafanya assumption za kijingaIdadi ya chini kabisa msafara una gari 140.
Kwa idadi hiyo ya magari, chukua gari 110 halafu let’s assume kwamba gari hizo 110 kila moja ilibeba abilia watatu (3), that means 110*3 ambayo ni sawa na 330.
Idadi hiyo ya watu 330 katila mkutano ndiyo wale huwa tunasmbiwa mamia wajitokeza kumlaki rais. Chukua mamia hao, jumlisha na UVCCM, Jumuiya ya Wazazi, Umoja wa akina mama ambao kutoka wilaya kata na matawi mbalimbali na wote wamelipiwa kufika hapo.
Hayo anayozindua huko ni maendeleo ya Hollywood?Tulipeni tozo wasanii wapelekwe Hollywood
Huu uzushi wa Machadema Kwa nini mna entertain? Kama Serikali yenyewe Huwa haitumii zaidi ya Bilioni 500 Kwa Ajili hiyo ,hiyo yenu mumeitoa wapi?Hakuna asiyependa kulipa kodi mkuu, shida kubwa ni kwamba kodi zetu zinagharamia anasa za wanasiasa. Mwaka huu wametenga bilioni 980 kunua magari, mwaka jana walitenga bilioni 550. Haya ni matumizi mabaya ya kodi, kwa nini wasinunue magari ya bei rahisi ambayo ni manageable? Bajeti ya mishahara ni kubwa kuliko ile ya maendeleo, why? Mean tunakula sana kuliko kuzalisha
Sasa hapa kwenye msafara ndio Kuna matumizi.makubwa yapi?Amesemaje kuhusu matumizi makubwa ya serikali yake? Huu ni msafara wake hii leo.
View attachment 3043793
Kungekuwa hakuna raha wasingekuwa wanazunguka nchi nzima kuomba kuongezewa muda huku wakiomba wapewe awamu nyingine.Urais hauna Raha gani? Una heshima sio Raha ,Ikulu hakuna Raha ni risk
Usingeleta ujinga, ukileta ujinga utajibiwa ujingaUnafanya assumption za kijinga
Dada angu wewe hudumia familia ako mengine achana nayoUna ushahidi wa kuloga? Ikulu Kuna heshima ya kutumika Wananchi.
Lipa tozo na Kodi uletewe maendeleo na Samia.Dada angu wewe hudumia familia ako mengine achana nayo
Mimi siyo mjinga kama nyie UWT, maendeleo najiletea mwenyewe, kwani Samia mshahara wake unakatwa kodi? shame on you, lipe mimi aendelee kuishi maisha ya anasa yeye mimi nibaki na shida zangu?Lipa tozo na Kodi uletewe maendeleo na Samia.
Ndio unakatwa.Huwezi jijengea Barabara wewe nyumbuMimi siyo mjinga kama nyie UWT, maendeleo najiletea mwenyewe, kwani Samia mshahara wake unakatwa kodi? shame on you, lipe mimi aendelee kuishi maisha ya anasa yeye mimi nibaki na shida zangu?
Onyesha dada angu, ifike saa uwe na akili kidogo uache kutumia na cm ya shemeji akoNdio unakatwa.Huwezi jijengea Barabara wewe nyumbu
Huna hoja unaongea pumbaOnyesha dada angu, ifike saa uwe na akili kidogo uache kutumia na cm ya shemeji ako
Nakubali sababu unabisha upumbavu badala ya hojaHuna hoja unaongea pumba
Yeye anapiga Organic Food Imported jutoka kwenye makampuni makubwa ya Organic Duniani wakati wafuasi wake wanashindia Chai ya rangi na vitumbua na mbaya zaidi msafara wake una Magari ya total billion 15Watu wanaoambiwa walipe tozo wengi wao sidhani kama hata mchana wamekula.