Ameeeeeeen ***** zaoMagufuli anaichojoa nguo dunia nzima na chadema ndio kinazidi kufubaa.
NB:MIMI NI TIMU MAGUFULI JANA,LEO,KESHO NA HATA MILELE.ameni!
Unafiki ni mbaya sana, sukuma gangs hapa wanakenua meno yote mbele, mumbe mwenzenu anawagiribu tu
Anatengeneza mazingira ya pande zote kuepusha dhoruba huko mbele...SSH katoka kudungwa chanjo halafu anasema amekubaliana na falsafa ya Magufuli kuhusu covid 19!!
Waache wafu wawazike wafu wao, heko timu marehemuMagufuli anaichojoa nguo dunia nzima na chadema ndio kinazidi kufubaa.
NB:MIMI NI TIMU MAGUFULI JANA,LEO,KESHO NA HATA MILELE.ameni!
Tumetoka kuzi mfanyakazi mwenzetu juzi. Wa kwanza kaenda mwaka huu mwanzoni. Nyie endeleeni na siasa zenu kwenye maisha ya watu.Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan wakati akiwaapisha mabalozi Ikulu Dares salaam amesema kwenye hili janga la corona dunia nzima imekubaliana na philosophy ya hayati Magufuli kuwa ugonjwa wa Corona ni janga ambalo binadamu watalazimika kujifunza jinsi ya kuishi nao kwani haijulikani lini utaondoka.
Rais Samia amesema hata nchi walizokuwa wamefunga viwanda na kuweka lockdown wameamua sasa kwamba kazi iendelee na wamefungua viwanda vyote na kuanza uzalishaji tena kama zamani.
My take.
Corona ilipoingia hapa Tanzania wabunge wa chadema wakiongozwa na Mbowe walikimbia bunge na kwenda kujifungia ndani na kuwaacha wenzao wakiendelea kuchapa kazi chini ya spika shupavu Ndugai.
JPM kama viongozi wengine wote walioacha aakama ana mazuri na mabaya yake. Kul;iko hizi porojo tunazopiga bila kuchoka, tulimuhitaji JPM. Ila kuna mambo mengine kama vile hakujua nayo yapo. Ndio ubinadamu wetu..sidhani kama wanaweza kumsafisha Magufuli kwa misimamo, upotoshaji, na mizaha yake, kuhusu ugonjwa wa korona.
Timu gaidi mtanyooka tu
Vipi ID yako ya kijuu umeipumzisha tena?Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan wakati akiwaapisha mabalozi Ikulu Dares salaam amesema kwenye hili janga la corona dunia nzima imekubaliana na philosophy ya hayati Magufuli kuwa ugonjwa wa Corona ni janga ambalo binadamu watalazimika kujifunza jinsi ya kuishi nao kwani haijulikani lini utaondoka.
Rais Samia amesema hata nchi walizokuwa wamefunga viwanda na kuweka lockdown wameamua sasa kwamba kazi iendelee na wamefungua viwanda vyote na kuanza uzalishaji tena kama zamani.
My take.
Corona ilipoingia hapa Tanzania wabunge wa chadema wakiongozwa na Mbowe walikimbia bunge na kwenda kujifungia ndani na kuwaacha wenzao wakiendelea kuchapa kazi chini ya spika shupavu Ndugai.
JPM kama viongozi wengine wote walioacha aakama ana mazuri na mabaya yake. Kul;iko hizi porojo tunazopiga bila kuchoka, tulimuhitaji JPM. Ila kuna mambo mengine kama vile hakujua nayo yapo. Ndio ubinadamu wetu
RIP JPM.