Rais Samia kwenye bango kubwa Jengo jipya la CRDB

Rais Samia kwenye bango kubwa Jengo jipya la CRDB

Memento

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2021
Posts
4,417
Reaction score
10,014
Nimeona picha ya mama Samia kwenye bango kubwa jengo jipya la makao makuu ya crdb.

Haya ni mabadiliko makubwa sana kwa maana ndio bank ya kwanza yenye bango kubwa la Rais nje ya jengo. Kwa maana ukiwa hata mbali sana utaiona

Kongole kwa huu ubunifu
20220305_130032.jpg
 
Kwamba tavutiwa na yeye na sio interest rates? Binafsi hata uwe na ofisi uswahilini just give me affordable interest rates
 
Nimeona picha ya mama Samia kwenye bango kubwa jengo jipya la makao makuu ya crdb.

Haya ni mabadiliko makubwa sana kwa maana ndio bank ya kwanza yenye bango kubwa la raisi nje ya jengo. Kwa maana ukiwa hata mbali sana utaiona

Kongole kwa huu ubunifu
View attachment 2139916
Hilo limewekwa kwasababu ni siku ya uzinduzi wa hilo jengo, na usiwe na hofu litaondolewa, maana hapo ni mahala pa kuweka mabango ya matangazo
 
Nimeona picha ya mama Samia kwenye bango kubwa jengo jipya la makao makuu ya crdb.

Haya ni mabadiliko makubwa sana kwa maana ndio bank ya kwanza yenye bango kubwa la raisi nje ya jengo. Kwa maana ukiwa hata mbali sana utaiona

Kongole kwa huu ubunifu
View attachment 2139916
Kuwa nalo yapo manufaa Kwa benk au no Yale mambo ya mapambio🤔
 
Nimeona picha ya mama Samia kwenye bango kubwa jengo jipya la makao makuu ya crdb.

Haya ni mabadiliko makubwa sana kwa maana ndio bank ya kwanza yenye bango kubwa la raisi nje ya jengo. Kwa maana ukiwa hata mbali sana utaiona

Kongole kwa huu ubunifu
View attachment 2139916
Kichaa wenu mnalazmisha akubalike lakin ng'ooooo
 
Picha inatusaidia nini?? sisi tunataka the best interest rates. Akili zetu wabongo bhana.
Picha imewekwa jengo refu duniani Uzi. Picha kubwa ya rais Uzi. Mambo ya msingi no discussion. SMH!!
 
apunguze makali ya maisha, vitu vinapanda bei kiholela mxxxxxxiiiiiiiuuus😏😏😏
 
Watz wengi ni Punguani bado tunasafari ndefu ya ukombozi wa fikra
 
Back
Top Bottom