figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,655
- 59,078
Rais Samia, Kwanini Masheikh wa awamu ya sita wanatukataza kushiriki Vyakula vya Christmas?
Watanzania hatujazoea. Na rais ni mtu wa. Dini zote. Mbona hukemei?
Rais ni wa wote, haijalishi umezaliwa makunduchi, Mchambawima, Kizimkazi au Kanyamahela
Hata rais Samia katika awamu yake ya sita 2025, hajajishughulisha na Christmas.
Asanteni Waislam kwa kutususia vyakula🙏