Moyo wa nchi
Member
- Jun 21, 2023
- 81
- 127
- Thread starter
- #81
Heti tuwaajiri sisi halafu watuelimisheKati ya MWAJIRI na MWAJIRIWA, nani anapaswa amuelimishe mwenzie?
Wananchi wamekataa, msijitie maruhani!!!
Heti tuwaajiri sisi halafu watuelimisheKati ya MWAJIRI na MWAJIRIWA, nani anapaswa amuelimishe mwenzie?
Wananchi wamekataa, msijitie maruhani!!!
ACHA undumilakuwili wewe,kama haufanyi makusudi Tena kwa visent vya kuhongwa kuutetea huu ujinga unao itwa mkataba wa bandari basi akili zako ni afadhali za kukuWewe ambaye huelewi chochote ndio tatizo kubwa zaidi.
Watajua hawajui hii Ngoma imekaa vibaya sanaNa huyu UWT wampeleke kibra tu, akasaidiane kuongoza malaika polepole na Magu fool. Hatuwezi kuruhusu mzanzibar kuchezea mali za taifa kiasi hiki
Samia amepanick anahamishia familia yake uarabuni!!!Amedanganywa kadanganyika na kujifika bomu mwenyewe hapo busara ni kukaa kimya na baadae kuufuta huo mkataba wa hovyo.
Kama mtakumbuka hata Rais wa Awamu ya Tano alishupaza shingo na kuziba masikio kwenye mambo mengi waliyoyalalamikia wananchi. Alikuwa hashauriki, inshu ya Makinikia aliziba masikio na hakusikiliza ushauri wa mtu yeyote.
Mbaya zaidi alivuka mipaka na kuwadhuru, kuwapiga, kuwafungulia kesi za uongo, kuwatisha, na kuwaua wote waliokosoa. Mfano mzuri ni Tundu Lissu aliyemiminiwa risasi nyingi kwa kukosoa suala la Makinikia, lakini yote kwa yote aliishia kwenye aibu kubwa sana.
Ninaona Rais Samia anaelekea njia hiyo hiyo ya mtangulizi wake. Kwenye hili suala la Bandari za Tanganyika watu wameanza kutishwa, wengine wamefunguliwa kesi kwa mgongo wa nyuma, wengine wanaitwa kuhojiwa, Rais amekataa kusikiliza maoni ya wananchi, wengine wanaoanzisha maandamano ya amani wanakamatwa, na tunaweza kushuhudia watu wanauwawa.
Watanzania tuliombee taifa letu na tumuombe Mungu kwa ajili ya bandari zetu wanazopewa bure hawa wajomba wa Dubai.
Raisi Samia ameshupaza shingo na kuziba masikio.
Aliyehongwa ni yule wakili Mwabukusi anayetumia nguvu kubwa kuwakashifu mawaziri ili eti wakasirike na kufanya maamuzi ya jazba!, mpuuzi kweli kweli huyo wakili.ACHA undumilakuwili wewe,kama haufanyi makusudi Tena kwa visent vya kuhongwa kuutetea huu ujinga unao itwa mkataba wa bandari basi akili zako ni afadhali za kuku
Masoko ya korosha baada ya kuvunwa. Sisi tunapiga makelele tu humu mitandaoni. Huko mikoani wanatafuta masoko ya bidhaa zao tena kwa bei zenye kueleweka.Bandari na kilimo cha korosho vina uhusiano upi?
Waarabu wa DP world ndio waliokuambia wanakuja kununua korosho?Masoko ya korosha baada ya kuvunwa. Sisi tunapiga makelele tu humu mitandaoni. Huko mikoani wanatafuta masoko ya bidhaa zao tena kwa bei zenye kueleweka.
Connections za biashara naongelea, ukiwa ni mtu wa karibu na kinachofanyika pale bandarini huwezi kuuliza maswali ya kitoto namna hii.Waarabu wa DP world ndio waliokuambia wanakuja kununua korosho?
WamekwishaWatazitapiaka Hela za mwarabu hatutakubali kabisa bandari zetu kugawiwa kwa mwarabu kijuha namna hii
Mkataba unasema uwekezaji kwenye bandari wewe unazungumzia koroshoConnections za biashara naongelea, ukiwa ni mtu wa karibu na kinachofanyika pale bandarini huwezi kuuliza maswali ya kitoto namna hii.
Na hili ni tatizo letu kitaifa, wanaoponda uwekezaji pale TPA hawana biashara yoyote na masuala mazima ya bandari.
Msaliti mkubwa huyu mamaHuyo mama amefanya uhaini
Bandari na biashara viunganishe pamoja.Mkataba unasema uwekezaji kwenye bandari wewe unazungumzia korosho
Na wanaoleta udini ndio waligawa bandari zetu Bure kabisaWanasiasa ni wanafiki wanatafuta millage tu Hila swala la bandari limeingiliwa na wanasiasa watafuta umaarufu na kasababisha kuonekana Lina chembechembe za udini na ubaguzi
Yote aliyogusa ndio aliharibu zaidi.Wewe utakuwa una chuki binafsi na Magufuli, Magu alikuwa anaibuka kwenye mambo mengi yanayogusa nchi mfano issue ya sukari kupanda bei uliona kabisa serikali yake inapambana na kuwachukualia hatua wafanya biashara wote wanaoficha sukari kwenye magodown , issue ya corona uliona, korosho, mambo mengi ya kifisadi yeye ndio alikuwa anaibua tofauti na awamu za nyuma wapinzani ndio walikuwa wanaibua mambo mengi alikuwa lazima ayatolee ufafanuzi na alikuwa anatabia kila anapoenda mikoani hawezi kuondoka bila kutatua changamoto zao sambamba na kutumbua majibu.
Raisi wa sasa ndio ambaye hawezi kumkukuta anazungumzia masuala yanayogusa nchi na ni kwasababu uwezo wake mdogo kukabiliana na mambo yanagusa maslahi ya nchi