4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,515
- 13,353
MwafaaProf Shivji alichanganya BIT na IGA, akadhani wajibu na haki ni kwa pande zote mbili.
Mohamed Salum mwanasheria wa serikali alimuelewesha siku ile ya kikao cha Waziri Mbarawa na wahariri.
Lissu: Wanaotetea mkataba wa DP World ni either HAMNAZO or WAMEHONGWA,Prof Shivji alichanganya BIT na IGA, akadhani wajibu na haki ni kwa pande zote mbili.
Mohamed Salum mwanasheria wa serikali alimuelewesha siku ile ya kikao cha Waziri Mbarawa na wahariri.
Lissu hawezi kuwa na uzima kichwani baada ya zile risasi 17 kutolewa mwilini mwake.Lissu: Wanaotetea mkataba wa DP World ni either HAMNAZO or WAMEHONGWA,
Ndugu Steven, uko kundi lipi kati ya hayo mawili?
Wewe una HAKIKA na Uzima wako kichwani kabla ya kumuongelea Lissu?Lissu hawezi kuwa na uzima kichwani baada ya zile risasi 17 kutolewa mwilini mwake.
Labda kununua Magoli ya yangaWewe utakuwa una chuki binafsi na Magufuli, Magu alikuwa anaibuka kwenye mambo mengi yanayogusa nchi mfano issue ya sukari kupanda bei uliona kabisa serikali yake inapambana na kuwachukualia hatua wafanya biashara wote wanaoficha sukari kwenye magodown , issue ya corona uliona, korosho, mambo mengi ya kifisadi yeye ndio alikuwa anaibua tofauti na awamu za nyuma wapinzani ndio walikuwa wanaibua mambo mengi alikuwa lazima ayatolee ufafanuzi na alikuwa anatabia kila anapoenda mikoani hawezi kuondoka bila kutatua changamoto zao sambamba na kutumbua majibu.
Raisi wa sasa ndio ambaye hawezi kumkukuta anazungumzia masuala yanayogusa nchi na ni kwasababu uwezo wake mdogo kukabiliana na mambo yanagusa maslahi ya nchi
Sijamtukana Mwalimu Nyerere ndani ya ukumbi wa bunge. Sina mdomo mchafu kama mheshimiwa Lissu.Wewe una HAKIKA na Uzima wako kichwani kabla ya kumuongelea Lissu?
Itoshe tu kusema wewe huna hojaSijamtukana Mwalimu Nyerere ndani ya ukumbi wa bunge. Sina mdomo mchafu kama mheshimiwa Lissu.
Sijapigwa risasi na mtu asiyejulikana pale Dodoma. Lissu anavyoongea tu unajua huyu ni bomu linalotaka kulipuka, namna anavyoikunja midomo yake kwa dharau.
Wewe ni binadamu usiye na utu anpu fyuzi zimekata maana una ropoka kama mtoto mdogoLissu hawezi kuwa na uzima kichwani baada ya zile risasi 17 kutolewa mwilini mwake.
Kweli mkuuLissu: Wanaotetea mkataba wa DP World ni either HAMNAZO or WAMEHONGWA,
Ndugu Steven, uko kundi lipi kati ya hayo mawili?
Hana hoja Lissu anayekosa kabisa uungwana.Itoshe tu kusema wewe huna hoja
Fyuzi zimekata ni mkuu Lissu anayetukana watu ndani ya ukumbi wa bunge, pamoja na kutembelewa hospitalini na Makamu wa Rais bado anakosa heshima. Pamoja na kulipwa haki zake zote bado anakosa heshima.Wewe ni binadamu usiye na utu anpu fyuzi zimekata maana una ropoka kama mtoto mdogo
Hapo ulipo haujui tofauti kati ya BIT na IGA una ropoka tuProf Shivji alichanganya BIT na IGA, akadhani wajibu na haki ni kwa pande zote mbili.
Mohamed Salum mwanasheria wa serikali alimuelewesha siku ile ya kikao cha Waziri Mbarawa na wahariri.
Waibue Tena hiyo kesi lakini kuhusu bandari zetu hatuta POA kabisa hii nchi itavurugikaPumbavu wenda mna nia ya kuibua kesi ya kigaidi ya Mbowe kama mnavyo fanya kwa Wakili Madereka, alafu kama kesi inaanza upya rudisha pesa yake aliowalipa pumbavu
Waulize wanasheria wa serikali waliotoa hoja hiyo, mimi nimefanya kufikisha tu ujumbe.Hapo ulipo haujui tofauti kati ya BIT na IGA una ropoka tu
Katiba mpya je?Hata wewe leo hii tukikupa urais si ajabu utaishia kushupaza shingo maana hata wewe umezaliwa na kukulia katika mifumo ile ile ya kushupaza shingo.
Kuna mtawala wetu hata mmoja ambaye unaweza kusema kwamba aliwahi kusikiliza matakwa ya wananchi wake hasa kwenye masuala muhimu waliyokuwa wakiyalalamikia?
Mbaya zaidi alivuka mipaka na kuwadhuru, kuwapiga, kuwafungulia kesi za uongo, kuwatisha, na kuwaua wote waliokosoa. Mfano mzuri ni Tundu Lissu aliyemiminiwa risasi nyingi kwa kukosoa suala la Makinikia, lakini yote kwa yote aliishia kwenye aibu kubwa sana. [emoji419][emoji375]Kama mtakumbuka hata Rais wa Awamu ya Tano alishupaza shingo na kuziba masikio kwenye mambo mengi waliyoyalalamikia wananchi. Alikuwa hashauriki, inshu ya Makinikia aliziba masikio na hakusikiliza ushauri wa mtu yeyote.
Mbaya zaidi alivuka mipaka na kuwadhuru, kuwapiga, kuwafungulia kesi za uongo, kuwatisha, na kuwaua wote waliokosoa. Mfano mzuri ni Tundu Lissu aliyemiminiwa risasi nyingi kwa kukosoa suala la Makinikia, lakini yote kwa yote aliishia kwenye aibu kubwa sana.
Ninaona Rais Samia anaelekea njia hiyo hiyo ya mtangulizi wake. Kwenye hili suala la Bandari za Tanganyika watu wameanza kutishwa, wengine wamefunguliwa kesi kwa mgongo wa nyuma, wengine wanaitwa kuhojiwa, Rais amekataa kusikiliza maoni ya wananchi, wengine wanaoanzisha maandamano ya amani wanakamatwa, na tunaweza kushuhudia watu wanauwawa.
Watanzania tuliombee taifa letu na tumuombe Mungu kwa ajili ya bandari zetu wanazopewa bure hawa wajomba wa Dubai.
Raisi Samia ameshupaza shingo na kuziba masikio.
Endeleeni kumfariji sa100 kwamba wanasiasa ni wanafikiWanasiasa ni wanafiki wanatafuta millage tu Hila swala la bandari limeingiliwa na wanasiasa watafuta umaarufu na kasababisha kuonekana Lina chembechembe za udini na ubaguzi
Bandari zinafanya kazi chini ya kiwango? Na ziko chini ya serikali ya ccm kwa miaka 60+ je kama mmeshindwa kuendesha bandari zetu ni dhahiri kwamba nchi yetu mnaibaka sana kiuongozi. CCM achieni watanzania wenye akili waongoze nchi kwa ufanisiMtu kuachiwa na Mahakama siyo kwamba hajatenda kosa maana kule kuna mambo mengi ikiwemo Ujanja wa kisheria mfano rahisi ni Afande Rama aliyeliwa Tigo huko Zanzibar shaidi ambaye ni daktari amejibu maswali vibaya na siyo kiufundi wa kisheria Afande Rama kaachiwa huru haya sasa wewe unaamini Afande Rama hakuliwa jicho. Kuna muda mahakama zinataka ujibu kiufundi na ufuate taratibu zote kama sheria inavyoongoza kitu ambacho mara nyingi hukosewa kwakuwa milolongo ya sheria ni mingi sana ndiyo maana ni rahisi sana kushinda kesi kuliko kufungwa.
Bandari ibinafsishwe inafanya kazi chini ya viwango hivyo Nchi haifaidiki. Mfano ukiwa Arusha,Moshi,Manyara,Mara Biadhaa nyingi zinatokea Mombasa na sababu ni moja tu bandari inafanya kazi chini ya viwango
Watazitapiaka Hela za mwarabu hatutakubali kabisa bandari zetu kugawiwa kwa mwarabu kijuha namna hiiWafaa, watajua hawajui, ngoma nzito sana , kama kweli T5 sio mchezo wameyakanyaga Mungu wangu hatari sana mkuu, ila si anawabana kila aliepokea mgao au vipi?
Bandari na kilimo cha korosho vina uhusiano upi?Wananchi wa humu mitandaoni ndio wamekataa, wa kule Mtwara kwenye kilimo cha korosha wanautaka huu uwekezaji.
Wapiga domo wa humu JF huwa wanakataa kila kinachotaka kufanywa na serikali, ni mpaka waje kuona faida zake ndio katika hali ya unafiki wanajifanya kukubali kinachofanyika.