Rais Samia kuziba masikio?

Rais Samia kuziba masikio?

Moyo wa nchi

Member
Joined
Jun 21, 2023
Posts
81
Reaction score
127
Kama mtakumbuka hata Rais wa Awamu ya Tano alishupaza shingo na kuziba masikio kwenye mambo mengi waliyoyalalamikia wananchi. Alikuwa hashauriki, inshu ya Makinikia aliziba masikio na hakusikiliza ushauri wa mtu yeyote.

Mbaya zaidi alivuka mipaka na kuwadhuru, kuwapiga, kuwafungulia kesi za uongo, kuwatisha, na kuwaua wote waliokosoa. Mfano mzuri ni Tundu Lissu aliyemiminiwa risasi nyingi kwa kukosoa suala la Makinikia, lakini yote kwa yote aliishia kwenye aibu kubwa sana.

Ninaona Rais Samia anaelekea njia hiyo hiyo ya mtangulizi wake. Kwenye hili suala la Bandari za Tanganyika watu wameanza kutishwa, wengine wamefunguliwa kesi kwa mgongo wa nyuma, wengine wanaitwa kuhojiwa, Rais amekataa kusikiliza maoni ya wananchi, wengine wanaoanzisha maandamano ya amani wanakamatwa, na tunaweza kushuhudia watu wanauwawa.

Watanzania tuliombee taifa letu na tumuombe Mungu kwa ajili ya bandari zetu wanazopewa bure hawa wajomba wa Dubai.

Raisi Samia ameshupaza shingo na kuziba masikio.
 
Wanasiasa ni wanafiki wanatafuta millage tu Hila swala la bandari limeingiliwa na wanasiasa watafuta umaarufu na kasababisha kuonekana Lina chembechembe za udini na ubaguzi
 
Wewe utakuwa una chuki binafsi na Magufuli, Magu alikuwa anaibuka kwenye mambo mengi yanayogusa nchi mfano issue ya sukari kupanda bei uliona kabisa serikali yake inapambana na kuwachukualia hatua wafanya biashara wote wanaoficha sukari kwenye magodown , issue ya corona uliona, korosho, mambo mengi ya kifisadi yeye ndio alikuwa anaibua tofauti na awamu za nyuma wapinzani ndio walikuwa wanaibua mambo mengi alikuwa lazima ayatolee ufafanuzi na alikuwa anatabia kila anapoenda mikoani hawezi kuondoka bila kutatua changamoto zao sambamba na kutumbua majibu.

Raisi wa sasa ndio ambaye hawezi kumkukuta anazungumzia masuala yanayogusa nchi na ni kwasababu uwezo wake mdogo kukabiliana na mambo yanagusa maslahi ya nchi
 
Vp kuhusu MAKANIKIA? Mkuu
 
Hata wewe leo hii tukikupa urais si ajabu utaishia kushupaza shingo maana hata wewe umezaliwa na kukulia katika mifumo ile ile ya kushupaza shingo.

Kuna mtawala wetu hata mmoja ambaye unaweza kusema kwamba aliwahi kusikiliza matakwa ya wananchi wake hasa kwenye masuala muhimu waliyokuwa wakiyalalamikia?
 
Kwenye lolote nitakalo shupaza shingo nitahakikisha Wananchi wako nyuma yangu na Nina shupaza kwa maslahi yao
 
Kama mtakumbuka hata Rais wa Awamu ya Tano alishupaza shingo na kuziba masikio kwenye mambo mengi waliyoyalalamikia wananchi. Alikuwa hashauriki, inshu ya Makinikia aliziba masikio na hakusikiliza ushauri wa mtu yeyote.

Mbaya zaidi alivuka mipaka na kuwadhuru, kuwapiga, kuwafungulia kesi za uongo, kuwatisha, na kuwaua wote waliokosoa. Mfano mzuri ni Tundu Lissu aliyemiminiwa risasi nyingi kwa kukosoa suala la Makinikia, lakini yote kwa yote aliishia kwenye aibu kubwa sana.

Ninaona Rais Samia anaelekea njia hiyo hiyo ya mtangulizi wake. Kwenye hili suala la Bandari za Tanganyika watu wameanza kutishwa, wengine wamefunguliwa kesi kwa mgongo wa nyuma, wengine wanaitwa kuhojiwa, Rais amekataa kusikiliza maoni ya wananchi, wengine wanaoanzisha maandamano ya amani wanakamatwa, na tunaweza kushuhudia watu wanauwawa.

Watanzania tuliombee taifa letu na tumuombe Mungu kwa ajili ya bandari zetu wanazopewa bure hawa wajomba wa Dubai.

Raisi Samia ameshupaza shingo na kuziba masikio.
Semeni weeeee mwisho wa siku mtachoka tu
 
Kwenye lolote nitakalo shupaza shingo nitahakikisha Wananchi wako nyuma yangu na Nina shupaza kwa maslahi yao
Hata miaka miwili hutamaliza.

Utaliwa kichwa!

You are so naive kwa kudhani kwamba ukiwa rais ndiyo unakuwa na madaraka ya mwisho. Kuna watu wenye nguvu wako nyuma ya baadhi ya mambo na ukicheza unakwenda na maji.

Unafikiri mama hajui kuwa huu mkataba ni mbovu? Kwa nini hachukui hatua? Unamwona anavyoongea kwa uchungu hapa chini?

Hawa watu wakisema urais ni kazi ngumu muwe mnaelewa!

View attachment 2691827
View attachment 2691828
Kama ni kazi ngumu kwani wamelazimishwa SI waliomba kura wenyewe kwani hawakujua ugumu wa kazi
 
Mikono ya mama ni salama hajamwaga damu ya mtu ukome kumfananisha na yule mwendazake.
 
Back
Top Bottom