Rais Samia kutunukiwa Udaktari wa heshima katika Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Ankara Uturuki

Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anatarajiwa hapo kesho kuisimamisha na kuiteka Dunia.

Hii ni katika sherehe na hafla itakayofanyika katika chuo kikuu cha Ankara miongoni mwa vyuo bora na kikubwa na cha pili kwa ubora nchini uturuki.ambacho kimeamua kumpatia Udaktari wa heshima katika Uchumi Rais wetu kipenzi Mama Samia Suluhu Hasssan.

Hii ni katika kutambua mchango wake katika kuchochea mageuzi na mapinduzi makubwa ya kiuchumi,kisiasa na kijamii .pamoja na kuiheshimisha nchi yetu katika siasa za kimataifa pamoja na diplomasia,ambapo kwa sasa nchi yetu imejipatia heshima ya kipekee kimataifa.

Viongozi mbalimbali wakiwepo mawaziri,wanadiplomasia ,wanafunzi na wadau mbalimbali wa maendeleo wanatarajiwa kuhudhuria katika sherehe hiyo.Dunia Inaendelea kuutambua mchango Chanya na wakipekee wa Rais wetu kipenzi katika kukuza uchumi na kugusa maisha ya mamilioni ya watanzania.

Tumeona namna ambavyo amefanya kazi kubwa ya kumaliza mgao wa umeme hapa nchini kwa kukamilisha ujenzi wa bwawa la mwalimu Nyerere,ambapo sasa mpaka mitambo mingine imezimwa na kukaa tu stand by,ujenzi wa vyumba vya madarasa kila kona ya nchi yetu,zahanati na vituo vya afya kila mahali,ujenzi na uwekaji wa mawe kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu mbalimbali ya barabara za lami.

Kuongeza mikoa ambayo ilikuwa haijaungaishwa katika grid ya umeme ya Taifa,kuongeza bajeti ya kilimo kufikia Billion mia tisa 70,kutoa maelfu ya ajira kwa vijana na hivi siku si nyingi ajira zaidi ya elfu 40 zinakwenda kumwagwa mitaani kuwaajiri ya vijana kunufaika nazo.uboreshaji wa mazingira ya biashara ,kuongeza mzunguko wa pesa mitaani kutokana na sera nzuri za fedha,ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo na mambo mengine mengi sana.

Afanye nini Rais wetu ndugu zangu? Nini ambacho hajafanya na kugusa mama huyu ambacho tulikuwa tunakitaka watanzania? Kwanini tunashindwa kuona kazi kubwa na ya kutukuka aliyoifanya mama huyu muungwana ,mpole,msikivu,mkarimu, mnyenyekevu, mzalendo mwenye upendo wa dhati kwa watanzania na mwenye moyo wa huruma kwa watu wote ,mpenda haki na mtenda haki. tumuungeni mkono Rais wetu na Jemedari wetu imara na hodari. Tusikubali mtu yeyote yule amvunje moyo na kumkatisha tamaa.tujivunie uwepo wake madarakani.tuendelee kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

Pia soma: Mama Samia Atunukiwa Udaktari wa Uchumi (Doctorate of Economics Degree) Uturuki

436485224_1033165131501774_5400878956278824376_n.jpg
 
Umewahi kusikia au kuona kiongozi wa nchi za Ulaya na Marekani wakipewa hizi shahada za heshima?ni viongozi wajinga tu ndio wanapewa
 
Hakuna kitu kinaitwa PhD ya heshima. Sema Honorary Doctorate/Udaktari wa Heshima.
Vyuo vikuu vinatoa aina 3 za Doctorate
1. PhD, 2. Doctorate na 3. Honorary Doctorate. Mfano wa hiyo Honorary Doctorate ndio hiyo Honoris Causa.

Ruto yeye tayari ana Doctoral Degree ya darasani ambayo ni PhD tena kwenye Botanical and Biodiversity.
 
Wewe umekatazwa kuuza vyombo mitaa ya Ankara huko Uturuki? Mbona Wachina wanauza vyombo na Kamati na hawajampa?

Acha wivu 😂😂
ChoiceVariable 🤣🤣🤣🤣
Ngoja niende gerezani nikasombe vikaanga vitumbua... Naogopa wanaweza juu silaha za jadi, kwako Bro Lucas 🤣🤣

Lukaa umepeenda alichoweka Variable 🤣🤣
 
U Dr wa heshima kitu Gani nchi Ina ma Dr wa kusomea darasani kabisa ila hawawezi kufikiri Wala kutatua changamoto za wananchi na nchi kwa ujumla
 
Back
Top Bottom