The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,586
- 14,138
Tega sikio siku ya 8/8Wapi huko.tukaombe vibarua
Na walengwa ni Vijana haswaa na Wamama kama ulivyosema maana ni waaminifu.Hizo skimu kama pangefanyika utaratibu iangaliwe namna bora ya kuwapa vijana/wanawake kwa kuwakodishia kwa masharti nafuu, zingekuwa na maana sana kwenye kuwainua kiuchumi.
Lakini sio mwisho wa siku matajiri wakiwemo wanasiasa waende huko kujimilikisha mamia ya hekari, halafu vijana wasio na ajira wageuzwe manamba, zitakuwa hazina maana wala hazitapunguza tatizo la umaskini.
Kila Wilaya tena? Unaangalia sehemu productive zenye mabonde na maji ya kutosha ambazo hazitatumia gharama kubwaWafanye kila wilaya itapendeza.
Naunga mkono hoja, itakuwa ni sehemu ya uwekezaji. Kilimo cha umwagiliaji hata ma bank ni rahisi kutoa mikopoWafanye kila wilaya itapendeza.
Una mtaji? Utaweza kumudu usimamizi?Hizo skimu kama pangefanyika utaratibu iangaliwe namna bora ya kuwapa vijana/wanawake kwa kuwakodishia kwa masharti nafuu, zingekuwa na maana sana kwenye kuwainua kiuchumi.
Lakini sio mwisho wa siku matajiri wakiwemo wanasiasa waende huko kujimilikisha mamia ya hekari, halafu vijana wasio na ajira wageuzwe manamba, zitakuwa hazina maana wala hazitapunguza tatizo la umaskini.
Yaani nawaza hii kitu inashindikana nini sipati majibu. Uimara na legacy ya mama Samia ipo hapa bila chenga.......vijana wangejiajiri na tungenunua nyanza mpaka 100; afya na vicheko vingerejea!Wafanye kila wilaya itapendeza.
Yes. Upo sawa.Kila Wilaya tena? Unaangalia sehemu productive zenye mabonde na maji ya kutosha ambazo hazitatumia gharama kubwa
Kwani aiwezekani? Tunaweza sana kila wilaya nchini kuwa na bwawa na irrigation system sema bongo zimelala tu kwa mfano pesa za yale mandege ya Magufuli yasiyo na tija yangeweza kuchimba mabwawa au kutengeneza hizo system nchi nzima, na hapo tungeweza kupunguza ajira kwa vijana.Kila Wilaya tena? Unaangalia sehemu productive zenye mabonde na maji ya kutosha ambazo hazitatumia gharama kubwa
Kwa Bashe na Mama naona kuna mwanga wa kimatendo kabisaaaTukitaka kuinua Kilimo seriously,ni lazima 10-15% ya bajeti ya nchi iende kwenye Kilimo.Kilimo siyo Irrigation schemes tu,kuna mbegu bora,mbolea,viuatilifu, miundombinu ya barabara vijijini, Research and Development, huduma za ugani,Agro machineries nk.Sasa hiyo Bajeti ya sasa inakidhi mahitaji?
1/3 ya chakula Duniani inazalishwa na wakulima wadogo,Sasa hizo schemes wakipewa wakulima wadogo,niiteni fisi!
Tutaishia kubadili slogan na mipango hewa,mara siasa ni Kilimo, Kilimo uti wa mgongo,Kilimo kwanza na wasa 10/30.
🤣🤣🤣🤣kweliKwa CCM hii ni billion 100 tu ndio zita enda kwenye mradi
Serikali haiwezi kufanya kwa tija kilimo cha umwagiliaji badala yake, iweke mazingira mazuri na kuwaleta wakulima kabambe toka SA na wale waliofukuzwa Zimbabwe waje wafanye mambo yao, na wala sio kuweka siasa tu kila siku kwenye kilimo...Tukitaka kuinua Kilimo seriously,ni lazima 10-15% ya bajeti ya nchi iende kwenye Kilimo.Kilimo siyo Irrigation schemes tu,kuna mbegu bora,mbolea,viuatilifu, miundombinu ya barabara vijijini, Research and Development, huduma za ugani,Agro machineries nk.Sasa hiyo Bajeti ya sasa inakidhi mahitaji?
1/3 ya chakula Duniani inazalishwa na wakulima wadogo,Sasa hizo schemes wakipewa wakulima wadogo,niiteni fisi!
Tutaishia kubadili slogan na mipango hewa,mara siasa ni Kilimo, Kilimo uti wa mgongo,Kilimo kwanza na wasa 10/30.
Hapo kwenye wamama sasa, wamama hao ni wale ambao hupewa mikopo isiyorejesheka ya pesa za halmashauri wanazotengewa wake wa viongozi wa CCM.Na walengwa ni Vijana haswaa na Wamama kama ulivyosema maana ni waaminifu.