Hakuna nchi ya Africa inaweza kushindana na nchi ya ulaya kwenye uzalishaji wa bidhaa za viwandani. China wameua kabisa viwanda vyetu vya ndani kupitia wafanyabiashara wachuuzi kariakoo na wengine kama Vunja bei.Ushindani na the best in the industry ndiyo kitu bora kuliko kubakia tunashindana na the weakest. Haijalishi leo tuna vichache vya kuuza huko kama Majani ya chai na Kahawa ila tukiwa na akili ya kuona mbele tunaweza tuka export holticulture products, nyama za mbuzi na kondoo na live animals kama mijusi, vipepeo, vinyonga etc
Kwa mtazamo wangu Mama anaupiga mwingi, tumuunge mkono tu kwa kuzalisha vilivyo bora.
Lakini kama tumeamua kuwa wasindikizaji kwenye uchumi wa Dunia basi tuendelee kubeza juhudi za Rais SSH
Kama tumeshindwa ku compete na hizi bidhaa hafifu kutoka China ndio tutaweza ku compete na za Ulaya. Huo mkataba na Ulaya ni vigumu kuelewa unalenga kufanikisha nini kwa sababu sio rahisi kwa Watanzania wengi kununua bidhaa kutoka Ulaya waache za bei rahisi kutoka China.Ni wakati sasa wa serikali kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji ili wazalishaji wa ndani watoe products zinazoweza ku compete na hizo za kutoka ulaya. Ishu za umeme, na bei za pembejeo za uzalishaji hasa upande wa kilimo zinatakiwa kuangaliwa kwa umakini.
Na viwanda vya ndani tutaendelea kuvisikia tu kwenye radio.Hii ni nzuri kwa wwlaji(wananchi)
Bidhaa zikiwa nyingi na bei itakuwa cheap.
Kwa hiyo unaona ni sahihi kwa Nchi kuendelea kuwa chanzo cha mali ghafi kwa viwanda vya Ulaya! Tena wanunue kwa bei watakayo ipanga wao! Halafu wenyewe wakuletee mitumba ununue kwa bei kubwa!
Hivi kwa akili yako ilojaa maparechichi ya uozo..unategemea ulaya una import to kila takataka kama huko Tanganyika..Unijua ISO unaijua CAC..au una ropoka tu.Na wewe kwa akili zako mbovu unaamini hatuna cha kuuza Ulaya? Parachichi kwa mfano hatuwezi kuuza?
Inasikitisha mno hii tabia ya ku undo kila lilofanyika awamu ya tano.
Hata kama hatukumpenda Magufuli basi wakati tukiachana na mambo yake tuangalie kama alifanya kwa maslahi ya Taifa ama la.
EPA bado sana wananchi wetu hawajui ni nini, tatizo kubwa ni hilo.
Tunao-import from EU tunakuangalia huku tunasema nhiiiiiiii! Anyway kufa kufaana. Kwahio hii EPA inaondoa kodi bidhaa za EU nianze kushangilia?!!EU wenyewe juice anakunywa za mchina
EU watatuuzia nini, karibu kila kitu tunatoa Guangzhou? Au dubai?
Wewe kwa aki yako ya hovyo tunavyo export saizi vinatoka wapi?Hivi kwa akili yako ilojaa maparechichi ya uozo..unategemea ulaya una import to kila takataka kama huko Tanganyika..Unijua ISO unaijua CAC..au una ropoka tu.
#MaendeleoHayanaChama
Vingi tuu,tuna exports horticultural products na Mazao mengine mengi tuu ya kilimo kama korosho na mchele.Una nini cha ku export kwenda ulaya?
Wewe ulitaka waende wapi? Ulishawahi sikia bidhaa substandard kutoka Ulaya kama ilivyo china?Akili za chekechea, kwahiyo machinga badala ya kwenda China kununua bidhaa Sasa wataenda nchi za ulaya kuleta bidhaa na kuzimwaga kariakoo?
Kwani EPA ipo tuu kwa ajili ya kushindana? EPA ipo kwa ajili ya kufungua fursa pia.Hakuna nchi ya Africa inaweza kushindana na nchi ya ulaya kwenye uzalishaji wa bidhaa za viwandani. China wameua kabisa viwanda vyetu vya ndani kupitia wafanyabiashara wachuuzi kariakoo na wengine kama Vunja bei.
Ile Trade Agreement EPA iliyokuwa inapingwa kwa kila hali na CCM sasa kusainiwa na Raisi wa Tanzania Samia huko Brussels kwenye EU- Afrika Union summit.
EPA ni free trade Agreement Kati ya EU na Nchi za Afrika Mashariki zikiwemo Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda.
Tanzania walipinga EPA kwa maana hawakuona manufaa yoyote kwa nchi yetu kwani hatuna cha kuuza EU wakati EU wana kila kitu cha kuuza kwetu.
Je, Viwanda vyetu juice ya Azam na umeme wa mgao vita compete na EU products? Kama hapo Kenya tu au Uganda ni ngumu kushindana tutaweza EU ?
Ikumbukwe sukari kutoka Brazili ni cheaper kuliko ya Tanzania sasa EU products tax free Tanzania, tutaweza?
Tunategemea kuuza nini EU ? Vipi natural resources zetu ?
Kweli ni Vita ya Kiuchumi RIP Magu …
Unahisi mkapa na kikwete hawakua na vision? Maana waliikataa kabisa hii kituKumbe huyu mama ana VISION,
WaTanzania siyo kwamba Europe watauza tu kwetu , vile vile watatumia fursa hii kufanya investment, joint ventuures to process goods from our cottons, fruits, agro products, petrochemicals, metals etc ambavyo vita uzwa kama export kwenda kokote duniani, this is among the biggest achievements kwa huyu mama, kaona mbali!!