Uzi mahususi kabisa. Asante mleta uzi. Umewasemea vijana wengi sana.Waasalam!
Hili ni ombi muhimu sana kwa Rais wetu mpendwa, anairudisha nchi katika muelekeo sahihi basi na sie vijana tulio sekta binafsi ambao tunatamani kujiajiri tunatamani sana fao la kujitoa lirudi ili angalau tupate mtaji wa pa kuanzia.
Sio wote tunatamani kuajiriwa mpaka miaka 55 - 60+ huko, wengine tuna “entrepreneurial spirits” lakini mitaji ndio kikwazo na mifumo ya fedha ya nchi haiamini kuwekeza katika mawazo bunifu, ndio maana wengi tunakubali kuajiriwa kwa miaka 5 - 10 kwa ujira mdogo tuweze kuwekeza kwenye mafao yetu ili baada ya ajira tukaanzishe biashara zetu.
Lilipopitishwa suala la kuzuia fao la kujitoa “kibabe” pasipo kishirikisha wananchi, wengi tuliumia sana kwani mfumo huo unanyima vijana wenye mawazo ya kujiajiri nafasi ya kufanya hivyo na unawalizimisha kuajiriwa kwa maisha yao yote. Mfumo uliopo sasa hivi umetengeneza mwanya mkubwa sana wa rushwa ili mtu kupata hata hicho kiasi kidogo cha fao la kukosa ajira, kama hutoi rushwa utasugua sana soli NSSF na “maafisa” wanakuchora tu, mpaka unakata tamaa.
Tukilazimisha vijana wote kuajiriwa miaka 50+ pasipo kuwa na mbadala wa kufikiria kuanzisha biashara/kujiajiri ni kivipi tutaweza kuanzisha biashara mpya na kuongeza ajira zaidi nchini?
Ushauri wangu ni kurudisha uhuru wa fao la kujitoa ili kama kijana amechoka na ujira mdogo kibaruani, anaweza akajiajiri mwenyewe kwa kuwa tayari ana mtaji wa kuanzia.
Hoja ya kuwa vijana hawa wakizeeka watakua mzigo kwa serikali, inaweza kutazamwa upya kwa kuwndelea kuwawekea vijana hao waliojiri mazingira rafiki ya kuchangia mafao yao wakiwa kama wajasiriamali.
Shukrani.
Sitashangaa Awamu ya 5 ikihusishwa kwenye hili...Waasalam!

Sitashangaa Awamu ya 5 ikihusishwa kwenye hili...
Japo walilikuta!
Huu uzi usambazwe mpaka imfikie mamaWaasalam!

Ila we jamaa, kwa hiyo unataka kuitetea hiyo awamu kandamizi kuwa haikuleta huu ujinga? Upumbavu mwingi sana umefanyika awamu hiyo.Sitashangaa Awamu ya 5 ikihusishwa kwenye hili...
Japo walilikuta!
Magufuli alikuwa anafurahi na kupenda sana wananchi wake wawe maskini. Eti uchukue mafao uzeeni tena kwa awamu.Awamu ya kiboya ndo ilileta habari za kuchukua hela uzeeni tena kwa awamu
Point ya msingi Sana hii.Waasalam!
Hili ni ombi muhimu sana kwa Rais wetu mpendwa, anairudisha nchi katika muelekeo sahihi basi na sie vijana tulio sekta binafsi ambao tunatamani kujiajiri tunatamani sana fao la kujitoa lirudi ili angalau tupate mtaji wa pa kuanzia.
Sio wote tunatamani kuajiriwa mpaka miaka 55 - 60+ huko, wengine tuna “entrepreneurial spirits” lakini mitaji ndio kikwazo na mifumo ya fedha ya nchi haiamini kuwekeza katika mawazo bunifu, ndio maana wengi tunakubali kuajiriwa kwa miaka 5 - 10 kwa ujira mdogo tuweze kuwekeza kwenye mafao yetu ili baada ya ajira tukaanzishe biashara zetu.
Lilipopitishwa suala la kuzuia fao la kujitoa “kibabe” pasipo kishirikisha wananchi, wengi tuliumia sana kwani mfumo huo unanyima vijana wenye mawazo ya kujiajiri nafasi ya kufanya hivyo na unawalizimisha kuajiriwa kwa maisha yao yote. Mfumo uliopo sasa hivi umetengeneza mwanya mkubwa sana wa rushwa ili mtu kupata hata hicho kiasi kidogo cha fao la kukosa ajira, kama hutoi rushwa utasugua sana soli NSSF na “maafisa” wanakuchora tu, mpaka unakata tamaa.
Tukilazimisha vijana wote kuajiriwa miaka 50+ pasipo kuwa na mbadala wa kufikiria kuanzisha biashara/kujiajiri ni kivipi tutaweza kuanzisha biashara mpya na kuongeza ajira zaidi nchini?
Ushauri wangu ni kurudisha uhuru wa fao la kujitoa ili kama kijana amechoka na ujira mdogo kibaruani, anaweza akajiajiri mwenyewe kwa kuwa tayari ana mtaji wa kuanzia.
Hoja ya kuwa vijana hawa wakizeeka watakua mzigo kwa serikali, inaweza kutazamwa upya kwa kuwndelea kuwawekea vijana hao waliojiri mazingira rafiki ya kuchangia mafao yao wakiwa kama wajasiriamali.
Shukrani.
Wabadilishe jinsia afu vikojoleo uviweke usoni mamamamaae zao.NSSF wana viburi hao. Wameniomba rushwa ya milioni moja ili wanipatie fao langu la kujitoa. Bado nawaza niwatendee nini....
Hakuna fao la kujitoa ktk mifuko ya hifadhi ya jamii duniani kote.Waasalam!
Hili ni ombi muhimu sana kwa Rais wetu mpendwa, anairudisha nchi katika muelekeo sahihi basi na sie vijana tulio sekta binafsi ambao tunatamani kujiajiri tunatamani sana fao la kujitoa lirudi ili angalau tupate mtaji wa pa kuanzia.
Sio wote tunatamani kuajiriwa mpaka miaka 55 - 60+ huko, wengine tuna “entrepreneurial spirits” lakini mitaji ndio kikwazo na mifumo ya fedha ya nchi haiamini kuwekeza katika mawazo bunifu, ndio maana wengi tunakubali kuajiriwa kwa miaka 5 - 10 kwa ujira mdogo tuweze kuwekeza kwenye mafao yetu ili baada ya ajira tukaanzishe biashara zetu.
Lilipopitishwa suala la kuzuia fao la kujitoa “kibabe” pasipo kishirikisha wananchi, wengi tuliumia sana kwani mfumo huo unanyima vijana wenye mawazo ya kujiajiri nafasi ya kufanya hivyo na unawalizimisha kuajiriwa kwa maisha yao yote. Mfumo uliopo sasa hivi umetengeneza mwanya mkubwa sana wa rushwa ili mtu kupata hata hicho kiasi kidogo cha fao la kukosa ajira, kama hutoi rushwa utasugua sana soli NSSF na “maafisa” wanakuchora tu, mpaka unakata tamaa.
Tukilazimisha vijana wote kuajiriwa miaka 50+ pasipo kuwa na mbadala wa kufikiria kuanzisha biashara/kujiajiri ni kivipi tutaweza kuanzisha biashara mpya na kuongeza ajira zaidi nchini?
Ushauri wangu ni kurudisha uhuru wa fao la kujitoa ili kama kijana amechoka na ujira mdogo kibaruani, anaweza akajiajiri mwenyewe kwa kuwa tayari ana mtaji wa kuanzia.
Hoja ya kuwa vijana hawa wakizeeka watakua mzigo kwa serikali, inaweza kutazamwa upya kwa kuwndelea kuwawekea vijana hao waliojiri mazingira rafiki ya kuchangia mafao yao wakiwa kama wajasiriamali.
Shukrani.
My friend kama unadhani kuna kitu kinaitwa fao la kijitoa hamia kwenye nchi inayotoa hilo faoNi ujinga sana,unaacha kazi au kuachishwa kazi,huko NSSF una pesa zako ulizochangia kwa miaka kadhaa,ukiwaambia wakupe zote hawataki eti wanakupigia mahesabu wakupe kidogokidogo kwa miezi sita eti ukipata Ajira utaendelea kuchangia,nani aliyewaambia anataka kuendelea kuajiriwa??kati ya vitu vya kipumbavu nchi hii ni pamoja na suala hilo,halafu hao wafanyakazi wa NSSF wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wao Maka Mshomba wana viburi utadhani watashika hizo nafasi mpaka kaburini
Hapo umempaisha atapandishwa cheo soon,KUNA MTU MMOJA PALE UBUNGO PLAZA ANAITWA ALLY MTOLEA ANAZUIA FEDHA ZANGU WAZI WAZI ILA KITAKACHOMPATA ATAJADILIANA NA MUNGU WAKE. MWAKA WA PILI HUU KAZIKALIA PASI SABABU.
Magifuli hakuhusika kabisaaa na hilo suala.Magufuli alikuwa anafurahi na kupenda sana wananchi wake wawe maskini. Eti uchukue mafao uzeeni tena kwa awamu.