Rais Samia kuhusu 'SU Tv' umekosea, kwakuwa ni mwanzo tunakukumbusha na kukusamehe

Katika Mkutano wa kikazi kati ya Mh Rais wa AWAMU YA SITA na Waandishi wa habari/wamiliki wa vyombo vya habari na wanahabari, Mh Rais labda kwa kufahamu au kutofahamu alifanya PROMOTION/MARKETING ya biashara yake mwenyewe/binafsi...
Aaah ndio maana wahariri hawakumuuliza maswali yenye kichwa wala miguu. Walikuwa wanataka kazi. Hizi njaa jamani duuh
 
Rais kapotoka, aibu! Kwa nini rais amiliki chombo cha habari? Aweke mali zake zote hadharani? Watanzania tuna hasara sana na hawa waswahili waswahili na ujanja ujanja wao. Ndio sababu amegoma kuhamia Dodoma anaangalia interest zake zaidi.
Mtu pori ameshaenda...kuhamia Dodoma sio lazima. Mbona yule mtu wenu alihamia Chato?
 
Mama aliteleza alifanya kosa la kiufundi. Natumaini anaingilika na kushaurika.

Alidhani anaonyesha concern yake kwa wanahabari ambayo ni tabia ya Mama zetu kuonyesha kujali na kutambua shida za wengine.

Kumbe upande mwingine wa maongezi yale haupo vizuri kwa cheo chake.
Haya ndiyo matatizo yanapo anza, kufikiria, kutafakari, kuona/kutazama mbele
 
Mtoa hoja una unafiki mkubwa wa ukweli,tatizo lipo wapi hapo?kwanza ni vema viongozi wote watangaze mali zao hadharani including kama wana share kwenye biashara yeyote ili wananchi wajue,na sio mbaya kwa President kutangaza hadharani interest zake,hapo SA wana President ambaye ni billionaire but ametangaza zote hadharani na amejitoa kuwa director kwenye kampuni zake,ni vema all our leaders wakaweka hadharani hii issue,President Samia she is very honest katika maisha yake ,tusichukulie kuwa hii ni weaknesses yake,hii ni uaminifu wake.
Mwendazake tuliambiwa ana share voda lini ali-declare?
 
Mtoa hoja una unafiki mkubwa wa ukweli,tatizo lipo wapi hapo?kwanza ni vema viongozi wote watangaze mali zao hadharani including kama wana share kwenye biashara yeyote ili wananchi wajue,na sio mbaya kwa President kutangaza hadharani interest zake,hapo SA wana President ambaye ni billionaire but ametangaza zote hadharani na amejitoa kuwa director kwenye kampuni zake,ni vema all our leaders wakaweka hadharani hii issue,President Samia she is very honest katika maisha yake ,tusichukulie kuwa hii ni weaknesses yake,hii ni uaminifu wake.
Kuna utaratibu wa viongozi kutangaza mali zao
na utaratibu huo haujumuishi kiongozi kutangaza kuwa HANA MATANGAZO KWENYE KITUO CHAKE, au HANA UWEZO WA KULIPA MISHAHARA
Hizi statement mbili zinammanisha yafuatayo
1. Kiongozi anaomba wafanyabiashara na umma kwa ujumla wakatangaze katika chombo chake
2. Kiongozi anaalika wawekezaji katika biashara yake ili iweze kujiendesha
 
Wanafiki wakubwa,,mama muadilifu ndio anaweka miradi yake adhalani kila mtu ajue
Siku nyingine ukumbuke basi kuandika 'hadharani' na siyo adhalani!!

Halafu kwa taarifa yako, kuna njia zinazotumika kwa kiongozi kutaja mali zake anazo miliki! Na siyo kupitia mikutano na waandishi/wahariri wa vyombo vya habari.
 
Mbona hotel ya mwenda zake kijijini iliyokuwa inalazimisha kupokea viongozi wa kimataifa na fedha za serikali kulipwa hapo hamkuhoji
 
Mimi nashangaa hoja kama hizi za kipuuzi zinaletwa na wanaume...Kwani ni dhambi kumiliki kituo cha tv au ni dhambi kutoa mfano kwamba na yeye anamiliki kituo? Hivi mnaakili au matope badala ya kujadili hoja muhimu na za maana unakuja kuleta hoja za kitoto
 
sasa kama ni ya kitoto mbaona unaijadili, tena umepost mara mbili au zaidi...ha ha
 
mejichanganya kwa sababu juzi kabla ya hiyo 'press conference' alidai na yeye alikuwa na mpango wa kuzisha chombo cha habari kumbe tayari anacho.

Hii tabia ya viongozi kuwa na taasisi au kampuni zenye shughuli za kiuchumi kwa nafasi zao zina 'compromise' ustawi wa zingine za kiraia lakini pia kusababisha mgongano wa kimaslahi unaofundisha kwa wananchi kwamba kumbe huwa wanadanganywa kisiasa
 
Katika Mkutano wa kikazi kati ya Mh Rais wa AWAMU YA SITA na Waandishi wa habari/wamiliki wa vyombo vya habari na wanahabari, Mh Rais labda kwa kufahamu au kutofahamu alifanya PROMOTION/MARKETING ya biashara yake mwenyewe/binafsi

Promotion nini?? (the publicizing of a product, organization, or venture so as to increase sales or public awareness)

Watanzania bara na wengine visiwani, kwa wingi wetu hatukujua kuwa kuna kituo cha TV kinaitwa SU TV, tena hatukujua kuwa mmojawapo wa wamiliki wa kituo hiki ni Mh. Rais mwenyewe. Zaidi hatukujua kuwa kituo hiki hakina matangazo ya kutosha ? Zaidi ya hapo hatukujua kabisaaa kuwa Mh Rais anafanya biashara ya Habari.

Lakini katika wasaa wa kujibu maswali Mh Rais alitaja zaidi ya Mara Tatu kuhusu umiliki wake wa Kituo Husika, Lakini pia alitoa taarifa ambazo kwa namna moja au nyingine zinaelekea kama alikuwa anakinadi kituo hiki.

Mh Rais kwa wewe kusema tu unamiliki Kituo cha TV kwenye Public tena kwa kukitaja jina lake la kibiashara, unategemea taasisi za serikali wataacha kupeleka matangazo huko? Unategemea makampuni ya wawekezaji wataacha kufanya biashara na hicho kituo?

Kwa kusema tu kuwa kituo hakina uwezo wa kujiendesha na kuwalipa wafanyakazi mshahara, unategemea hapatatokea wafadhiri lukuki kukisaidia kituo hiki?

WAPI UMEKOSEA
  1. Kwa kuwa kikao kilikuwa cha kikazi na ulikua unaongea na watanzania kupitia wanahabari, cha kwanza hukupaswa kabisa kutaja kituo chako cha habari kwa kuwa hiyo tayari inakuwa Conflict of Interest
  2. Kwa kutambua kuwa wewe ni Taasisi, na Kiongozi wa Kitaifa, katika matukio ya kikazi si sawa kutangaza au kutaja kwa jina (brand name or business name) biashara ya mtu au bidhaa kwa uzuri au ubaya, kwani promotion/marketing inaweza kuwa negative au positive. Na neno lako kwetu sisi ni maagizo
  3. Ulipaswa tu kusema unamiliki kituo cha television tena bila kukitaja jina lake halisi, kwa kukitaja tu Jina hii ni Marketing/promotion direct, hivyo umetumia platform ya umma kufanya Tangazo Binafsi
  4. Pia ni vyema ungeanza mkutano kwa ku declare interest kwa wamiliki wenzio na Watanzania kwa Ujumla, lakini bila kutaja jina la chombo.
  5. Kwa kuwa umetuambia kuhusu umiliki wako sasa ni vyema pia tukajua share zako binafsi ni ngapi?
Natumai ushauri huu utauelewa

KAZI IENDELEEEEEE

Rais kapotoka, aibu! Kwa nini rais amiliki chombo cha habari? Aweke mali zake zote hadharani? Watanzania tuna hasara sana na hawa waswahili waswahili na ujanja ujanja wao. Ndio sababu amegoma kuhamia Dodoma anaangalia interest zake zaidi.
Acheni ushamba!
Heri yeye kasema wazi.
Kuna viongozi wana kampuni za ujenzi hamsemi, wana malori kibao nje ya nchi yanafanya biashara.
 
kama unawafahamu kwa nini usianzishe UZI wako uwaseme pia mkuu
 
Katika Mkutano wa kikazi kati ya Mh Rais wa AWAMU YA SITA na Waandishi wa habari/wamiliki wa vyombo vya habari na wanahabari, Mh Rais labda kwa kufahamu au kutofahamu alifanya PROMOTION/MARKETING ya biashara yake mwenyewe/binafsi

Promotion nini?? (the publicizing of a product, organization, or venture so as to increase sales or public awareness)

Watanzania bara na wengine visiwani, kwa wingi wetu hatukujua kuwa kuna kituo cha TV kinaitwa SU TV, tena hatukujua kuwa mmojawapo wa wamiliki wa kituo hiki ni Mh. Rais mwenyewe. Zaidi hatukujua kuwa kituo hiki hakina matangazo ya kutosha ? Zaidi ya hapo hatukujua kabisaaa kuwa Mh Rais anafanya biashara ya Habari.

Lakini katika wasaa wa kujibu maswali Mh Rais alitaja zaidi ya Mara Tatu kuhusu umiliki wake wa Kituo Husika, Lakini pia alitoa taarifa ambazo kwa namna moja au nyingine zinaelekea kama alikuwa anakinadi kituo hiki.

Mh Rais kwa wewe kusema tu unamiliki Kituo cha TV kwenye Public tena kwa kukitaja jina lake la kibiashara, unategemea taasisi za serikali wataacha kupeleka matangazo huko? Unategemea makampuni ya wawekezaji wataacha kufanya biashara na hicho kituo?

Kwa kusema tu kuwa kituo hakina uwezo wa kujiendesha na kuwalipa wafanyakazi mshahara, unategemea hapatatokea wafadhiri lukuki kukisaidia kituo hiki?

WAPI UMEKOSEA
  1. Kwa kuwa kikao kilikuwa cha kikazi na ulikua unaongea na watanzania kupitia wanahabari, cha kwanza hukupaswa kabisa kutaja kituo chako cha habari kwa kuwa hiyo tayari inakuwa Conflict of Interest
  2. Kwa kutambua kuwa wewe ni Taasisi, na Kiongozi wa Kitaifa, katika matukio ya kikazi si sawa kutangaza au kutaja kwa jina (brand name or business name) biashara ya mtu au bidhaa kwa uzuri au ubaya, kwani promotion/marketing inaweza kuwa negative au positive. Na neno lako kwetu sisi ni maagizo
  3. Ulipaswa tu kusema unamiliki kituo cha television tena bila kukitaja jina lake halisi, kwa kukitaja tu Jina hii ni Marketing/promotion direct, hivyo umetumia platform ya umma kufanya Tangazo Binafsi
  4. Pia ni vyema ungeanza mkutano kwa ku declare interest kwa wamiliki wenzio na Watanzania kwa Ujumla, lakini bila kutaja jina la chombo.
  5. Kwa kuwa umetuambia kuhusu umiliki wako sasa ni vyema pia tukajua share zako binafsi ni ngapi?
Natumai ushauri huu utauelewa

KAZI IENDELEEEEEE
Namshauri pia atumie "mass medium" hiyo ku-promote mchakato wa KATIBA MPYA. Tutachangia garama ya kufanya hivyo.
 
Mkuu sasa baada ya kujua kuwa kipo umepeleka matangazo mangapi?
 
Namshauri pia atumie "mass medium" hiyo ku-promote mchakato wa KATIBA MPYA. Tutachangia garama ya kufanya hivyo.
Kama mapenzi ya jinsia moja ndiyo chanzo cha madai ya katiba mpya mbona tayari mnafanya tabu ya nini?
 
Katika Mkutano wa kikazi kati ya Mh Rais wa AWAMU YA SITA na Waandishi wa habari/wamiliki wa vyombo vya habari na wanahabari, Mh Rais labda kwa kufahamu au kutofahamu alifanya PROMOTION/MARKETING ya biashara yake mwenyewe/binafsi

Promotion nini?? (the publicizing of a product, organization, or venture so as to increase sales or public awareness)

Watanzania bara na wengine visiwani, kwa wingi wetu hatukujua kuwa kuna kituo cha TV kinaitwa SU TV, tena hatukujua kuwa mmojawapo wa wamiliki wa kituo hiki ni Mh. Rais mwenyewe. Zaidi hatukujua kuwa kituo hiki hakina matangazo ya kutosha ? Zaidi ya hapo hatukujua kabisaaa kuwa Mh Rais anafanya biashara ya Habari.

Lakini katika wasaa wa kujibu maswali Mh Rais alitaja zaidi ya Mara Tatu kuhusu umiliki wake wa Kituo Husika, Lakini pia alitoa taarifa ambazo kwa namna moja au nyingine zinaelekea kama alikuwa anakinadi kituo hiki.

Mh Rais kwa wewe kusema tu unamiliki Kituo cha TV kwenye Public tena kwa kukitaja jina lake la kibiashara, unategemea taasisi za serikali wataacha kupeleka matangazo huko? Unategemea makampuni ya wawekezaji wataacha kufanya biashara na hicho kituo?

Kwa kusema tu kuwa kituo hakina uwezo wa kujiendesha na kuwalipa wafanyakazi mshahara, unategemea hapatatokea wafadhiri lukuki kukisaidia kituo hiki?

WAPI UMEKOSEA
  1. Kwa kuwa kikao kilikuwa cha kikazi na ulikua unaongea na watanzania kupitia wanahabari, cha kwanza hukupaswa kabisa kutaja kituo chako cha habari kwa kuwa hiyo tayari inakuwa Conflict of Interest
  2. Kwa kutambua kuwa wewe ni Taasisi, na Kiongozi wa Kitaifa, katika matukio ya kikazi si sawa kutangaza au kutaja kwa jina (brand name or business name) biashara ya mtu au bidhaa kwa uzuri au ubaya, kwani promotion/marketing inaweza kuwa negative au positive. Na neno lako kwetu sisi ni maagizo
  3. Ulipaswa tu kusema unamiliki kituo cha television tena bila kukitaja jina lake halisi, kwa kukitaja tu Jina hii ni Marketing/promotion direct, hivyo umetumia platform ya umma kufanya Tangazo Binafsi
  4. Pia ni vyema ungeanza mkutano kwa ku declare interest kwa wamiliki wenzio na Watanzania kwa Ujumla, lakini bila kutaja jina la chombo.
  5. Kwa kuwa umetuambia kuhusu umiliki wako sasa ni vyema pia tukajua share zako binafsi ni ngapi?
Natumai ushauri huu utauelewa

KAZI IENDELEEEEEE
Unajua huyu mama anafikiri urais ni kupata faida. Hii itatupa shida na tulivyozoea kuona rais anayechukulia kazi hiyo kujitolea maisha. Mama ameanza hivyo utaona mambo ya kishikaji yanarudi kwa nguvu na rushwa itapanda tena kichwa. Natamani sana afanye term moja tu kisha tuombe mungu chama cha mapinduzi watuletee mtu mwanamapinduzi aina ya magufuli.
 
Back
Top Bottom