Rais Samia kiukweli wewe ndio utupishe ung'atuke

😒😒😒Daaah
 
😒😒😒Daaah
Unajua haya mambo ni sawa na mama mjane akiachiwa Mali na mmewe akajifanya mjuaji na kuona alivyokuwa anafanya mumewe ili kuendesha miradi au biashara ni vibaya na kuanzisha njia zake mambo lazima yagome na Mali kupukutika lakini Mama mwerevu huchukua mazuri yote ya kiutendaji ya mumewe!
Ukiwa nje uataona mwenzako mjinga ila ukiingia wewe unaweza kushindwa pia!
 
Jiangalie Mdomo usije ukaponza kichwa....wewe unadhani yeye anafurahia haya yanayofanyika?
Kama hafurahii anasubiri nini? kujiweka katikati ya wapigaji kwann asiwawajibishe mbona anafanya teuzi kila siku kwani hawezi kutengua na kuwabana warudishe. Au ni raisi jina yupo kama sanamu la kuchonga halifanyi chochote? Kama ataweza muwajibisha mwana jf anaetoa mawazo yake humu basi awawajibishe na waizi wanaofuja hela za mikopo na kodi onevu zinazokusanywa na serikali yake.
 
Sawa mkuu
 
Kilichomponza ni unafiki wa kujifanya mwema ill watu wamuone yeye wa maana kuliko Jpm! Mwache apambane na hali yake na hapo wanamdanganya agombee Urais 2025! Ili iweje sijui maana nachofanya hakijulikani ngoja liende!
Hapana hakujifanya ila ni asili yake ,namna ya uongozi huwezi kujifanya .Yeye ndoo asili yake hawezi kuwa kama Magufuli katika ukali ,udikteita na ukatili wa kuua kwa yeyote anaempinga.Mama anaamini anao wachagua watamuakilisha vyema ndoo maana anakuwa hivyo ,alafu ana hofu ya Mungu sana

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Mambo yamekuwa magumu 😔😔
 
Angekuwa hafurahii , asingeruhusu matumizi holela ya fedha za umma. Mara safari za nje za viongozi ni yeye anaidhinisha misafara, hafla nk. Unadhani fedha zingetoka wapi? Ndio maana JPM alizuia hayo!

Subiri kama utaona kuna mtu atachukuliwa hatua!
JPM nani alimchukulia hatua ? Tueleze mahakama ya ufisadi ni kiongozi gani alifungwa?

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Hiyo dawa ya wajinga lazima itakuwa inafuta hata hiyo akili kidogo uliyo nayo
 
Ni lini maisha yaliwahi kuwa marahisi

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Acha kukimbia petty issue za wanasiasa wanafiki! Mbona watu miaka yote wanakufa! Akina Dr Ulimboka,Mwandishi Mwangosi ,Askofu mstaafu wa Agalikani Mwanza,mauaji vituo vya polisi nk!
Nyinyi kinachowaponza ni unafiki na udini wenu akiwepo Mwislam hamkosoi kama Ndugu yako Zitto!
 
Ni lini maisha yaliwahi kuwa marahisi

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Ni kweli maisha ni kupambana. Cha muhimu hapo ni kuonesha ushirikiano toka serikali kuu kwa kubana matumizi, kuzuia ziara za nje zisizo na tija kwa taifa. Angalau inaonesha kujali.

Sasa wenzetu birthday marekani, kila kukicha wanabadili magari, posho za safari na bado wanasema uchumi unayumba! Hiyo ni danganya toto ili kuendelea kuwakandamiza wananchi wanyonge kwa kuwaongezea mzigo wa kodi na tozo ilihali wao serikali kuu wanakula bata kwa safari za ulaya!
 
Ili aingie mamako? Shwain
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…