Kesho kunani
Member
- Sep 10, 2023
- 72
- 196
Wanaomtetea sa100 ni watumishi wa serikali wachache sana, na viongozi wa kuteuliwa. Hata kwenye makundi ya whatsapp, wanaomtetea wengi wao ni viongozi au wanaotegemea kupata teuzi (chawa)Samia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga.
Leo baada ya kutoka church niliamua kwenda sokoni kununua mahitaji ya home, nikiwa sokoni katika story za hapa na pale wamama wauza nyanya wakaanza kulalamika ugumu wa maisha na kumtupia lawama Samia.
" Yaani kila kitu anapeleka kwao Zanzibar,na kazi za maana zote anawapa wazanzibar.. huyu mwanamke hatujali kabisaaa..
Kwasasa songea,majengo mnadani.
Ahsante mkuu, ila nimekoma.. sitakuja kurudia Tena huu ujinga.Wanaomtetea sa100 ni watumishi wa serikali wachache sana, na viongozi wa kuteuliwa. Hata kwenye makundi ya whatsapp, wanaomtetea wengi wao ni viongozi au wanaotegemea kupata teuzi (chawa)
Pole sana kwa yaliyokukuta!😄
Anapeleka kazi zipi Zanzibar?Samia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga.
Leo baada ya kutoka church niliamua kwenda sokoni kununua mahitaji ya home, nikiwa sokoni katika story za hapa na pale wamama wauza nyanya wakaanza kulalamika ugumu wa maisha na kumtupia lawama Samia.
" Yaani kila kitu anapeleka kwao Zanzibar,na kazi za maana zote anawapa wazanzibar.. huyu mwanamke hatujali kabisaaa.. na tusipokuwa makini atauza kila kitu.." aliongea mama aliyekuwa ananiuzia nyanya.
Licha ya kutokubaliana na Samia kwa Mambo mengi lakini kauli hii sikuiona Kama sahihi,hivyo Bila kusita nilianza kumtetea.
" Haipo hivyo Mama zangu.. unajua Samia anania nzuri ila......."
Paaaaaa...Kabla sijamaliza kuongea nilipigwa konde la ajabu Sana, mpaka Sasa sielewi Kama yule mama alinipiga na mkono wake au alitumia tofali.
Muda huu nipo home,japo masikio Hadi Sasa hayasikii vizuriii kutokana na lile konde.
Upande mmoja wa nafsi unaniambia nikakichafue ,lakini kila nikikumbuka lile konde miguu inakosa nguvu kabisaaa.
Samia umeniponza, Kama upo humu na unasoma hili mtume chawa wako afanye muamala chap nikatulize haya maumivu la chaz.
Kesho kunani
Kwasasa songea,majengo mnadani.
🤣🤣🤣Tulia tu yatazibuka,Ila kurudi kule usijaribu kabisaa,maana ukitundikwa jingine itakuwa kiziwi kabisaa,nilikuona Ila ikanibidi nijifiche.
Huyu mama kama unaweza pata connection zake nijulishe inbox nimtumie angalau laki aongezee kweny mtaji wake!! Nakala iende kwa Lucas mwashamba, natumai nae atakumbana na sekeseke kama lako mtoa mada!!Paaaaaa...Kabla sijamaliza kuongea nilipigwa konde la ajabu Sana, mpaka Sasa sielewi Kama yule mama alinipiga na mkono wake au alitumia tofali.
Ndo ukomeSamia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga.
Leo baada ya kutoka church niliamua kwenda sokoni kununua mahitaji ya home, nikiwa sokoni katika story za hapa na pale wamama wauza nyanya wakaanza kulalamika ugumu wa maisha na kumtupia lawama Samia.
" Yaani kila kitu anapeleka kwao Zanzibar,na kazi za maana zote anawapa wazanzibar.. huyu mwanamke hatujali kabisaaa.. na tusipokuwa makini atauza kila kitu.." aliongea mama aliyekuwa ananiuzia nyanya.
Licha ya kutokubaliana na Samia kwa Mambo mengi lakini kauli hii sikuiona Kama sahihi,hivyo Bila kusita nilianza kumtetea.
" Haipo hivyo Mama zangu.. unajua Samia anania nzuri ila......."
Paaaaaa...Kabla sijamaliza kuongea nilipigwa konde la ajabu Sana, mpaka Sasa sielewi Kama yule mama alinipiga na mkono wake au alitumia tofali.
Muda huu nipo home,japo masikio Hadi Sasa hayasikii vizuriii kutokana na lile konde.
Upande mmoja wa nafsi unaniambia nikakichafue ,lakini kila nikikumbuka lile konde miguu inakosa nguvu kabisaaa.
Samia umeniponza, Kama upo humu na unasoma hili mtume chawa wako afanye muamala chap nikatulize haya maumivu la chaz.
Kesho kunani
Kwasasa songea,majengo mnadani.
🤣🤣🤣🙌Tulia tu yatazibuka,Ila kurudi kule usijaribu kabisaa,maana ukitundikwa jingine itakuwa kiziwi kabisaa,nilikuona Ila ikanibidi nijifiche.
Mkuu hata mimi mwanzoni nilikuwa wanamwunga mkono sana! Lakini baada ya kugundua brain yake nimekoma na sitaki tena! Cha kufia nini?Kuna wakati huwa napima upepo. Navaa joho la kumtetea samia. Ninachokutana nacho ni hatari.
Wabongo labda uwaletee malaika awe rais wao. Hakuna rais aliyependwa nchi na wote hayupo na hatakuwepo.Taifa la walalamishi ova watoto wa kambo. Tangu mwalimu Nyerere, kisha Mwinyi, halafu Mkapa akaja Jakaya baadaye Magufuli na sasa Samia ni kulalamika tu kama watoto waliolelewa na bibi.
Na atakayekuja baada ya Samia atalalamikiwa tu kama kawaida. Tunaishi kwa mazoea mno!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaulize hao wamama wa sokoniAnapeleka kazi zipi Zanzibar?