thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,270
- 9,116
Acheni ujinga basi,mmerogwa?Simple, ni isssue ya kumuita DPP na kumpa mawazo yake na ambavyo angelipenda hili la Mbowe liishe maana kuna ushahidi usio na ubishi kuwa amesingiziwa . Ana dictate kuwa futa hii..... wakiwa wawili na huyu anatekeleza
Ila kachomekewa awamu yake lengo ni ili lile aliloligutukia kuihujumu awamu yake, asione wazee wa pgo wanamdanganya kuwa waliyembambikia sii malaika akawaamini, wanamchimbia shimo la kumwangushia jumba bovu.Swala la Mbowe ni la muhimili wa mahakama!
Ajabu sanambona mnaingilia mambo ya mbowe acheni mahakama iamue chaga chadema mbona mnakiherehere mbowe mbowe wwlikamatwa mashekh walikaa miaka 8 na hakuna mtu wa kutetea huyu nabii yupo miezi tu kelele nyingi
Rubbish , hii ndio style ya kumtongoza mama samia ?,too lowHata asipotokea yeye in person AG anaweza kutokea kwa niaba wakayamaliza na DPP.
Suala zima anapaswa kujua siasa ni mchezo mchafu na kuanguashiana majumba mabovu ni sehemu ya mchezo huo.
Mahakama ndo imeandaa na kufungua mashtaka ya UONGO ?!!!Swala la Mbowe ni la muhimili wa mahakama!
Swala na Mbowe inakuwa je aangushiwe wakati ni ya wakati wake, na DPP alimteua yeye na akamuagiza atupilie mbali makesi ya hovyo, if any, ilikuwa jeDPP mpya wake alilibeba file la Mbowe na kuendelea nalo?
Mbowe anatuhuma za ugaidi,muacheni ajitetee,Mbona Mandela alikaa miaka 27 jela akawa rais wa A.kusini ,kwanini upande wa Mbowe mnaogopa ?Iko hivi timu yote ya jiwe iko relatively intact kwenye system.
Yumkini kuzima sekeseke la katiba mpya Mama alishauriwa kuanzisha kesi hii kwa maana ya kuwa ilikuwapo, pending tu.
Naye kaingia mzima mzima. Hii ni kama alivyoshauriwa kuhusu katiba mpya, madai kuwa si kipaumbele chake.
Kaingizwa chaka. Mambo yakifikia hatua mbaya kuhusu kesi hii, jumba bovu lote litakuwa lake.
Hii ni kama unavyojisikia dadavua sasa.
Kikinuka wala hao vinara wa ushauri huo hawatakuwapo karibu hata kumpa pole tu.
Rubbish ndio style ya kumtongoza mama samia hiyo?,too low
Iko hivi timu yote ya jiwe iko relatively intact kwenye system.
Yumkini kuzima sekeseke la katiba mpya Mama alishauriwa kuanzisha kesi hii kwa maana ya kuwa ilikuwapo, pending tu.
Naye kaingia mzima mzima. Hii ni kama alivyoshauriwa kuhusu katiba mpya, madai kuwa si kipaumbele chake.
Kaingizwa chaka. Mambo yakifikia hatua mbaya kuhusu kesi hii, jumba bovu lote litakuwa lake.
Hii ni kama unavyojisikia dadavua sasa.
Kikinuka wala hao vinara wa ushauri huo hawatakuwapo karibu hata kumpa pole tu.
Yaani nyie chadema mlimpigia kelele sana magufuli hafuati sheria kwanini mnamlazimisha mama samia afanye yale yale aingilie uhuru wa mahakama
Mawazo ya kijinga sana haya,nchi ikiendeshwa namna hiyo ujue hakuna serikali hapo .
Acheni Mbowe ajibu tuhuma zinazomkabili
Unamkumbuka Chacha wangwe?
Hiyo System ya jiwe unaongelea watumishi wa umma ama wanasiasa wa kuteuliwa?
Sukuma gang walitaka awe na speed angalau nusu ya Magufuli tu
Kumbe ana wewe ni Rubbish! such a poor resoning! sasa analalamika nin na jumba bovu? Likiangika na la Mbowe you will not be there!
the the jumba bovu has to befall on her!
jana niliyafeel maumivu ya rais samia japo sikumkubali, kuna kitu hajakijua hilo kundi linalomuunga wanamchezesha mchezo wa kisiasa ili awaone sukuma gang ni maadui zake wao wanufaike kisiasa, mama anapaswa kua makini sana na kundi linalomuunga mkono kuliko hata sukuma gang.
Aliyeshtaki anaweza kuiondoa,ila kwa jinsi CCM na Serikali yake inavyopulizwa kwenye huu mtanange tunaomba iendelee kwa maslahi mapana ya nchi.Swala la Mbowe ni la muhimili wa mahakama!
Wewe hujitambui,kabadilishe hiyo pampas kwanza.mbona mnaingilia mambo ya mbowe acheni mahakama iamue chaga chadema mbona mnakiherehere mbowe mbowe wwlikamatwa mashekh walikaa miaka 8 na hakuna mtu wa kutetea huyu nabii yupo miezi tu kelele nyingi