haya niliwahi sema mapema na kwel yanatimia, hongera kwangu, nanukuu ''kutokana na uongozi wa rais samia kufuata uongozi wa kidiplomasia na kufuata sera za dunia jinsi zinavyotaka viongoz wa nchi wafanye nae anafanta basi tutegemee kuja kupendwa na mataifa ya uko uzunguni pia tegemeeni kuja kupongezwa ama kuzawadia heshima ama tuzo ya kiongoz bora.", si kwa chuki lakn ajipange maana hata waenga wetu wakiwai kusema hivi ''mkoloni akikusifia jua unakosea" , pia kuna rais aliwai kusema kwa kuwaambia wananch wake kuwa ''mkiona nimeanza kupendwa na wazungu juweni nimewasaliti" , na nikwel yule bwana alitenda mengi sana mazur na alichukiwa na wazungu mpka wakamuua kikatili bila huruma, kwa TZ pia ndvyo ilivyo.
ili upendw na dunia bas jiandae kuwaridhisha, kwa kukosa misimamo dhabiti, kufuata sera zote wnazozitaka wao, uachane na mambo ya pan Africanism, bal uwe mwanachama wa western diplomatic leadership, hapa hakika utapendwa na mzungu, pia ruhusu agenda zao zote, na mashirika yao yote ku operate ktk nchi yako kwa kuyaondolea vikwazo, hakika dunia za wazungu itakupenda, na kwakuwa wao ndio wanao control media zote mfano Bbc, VOA, aljazeera,CNN,VOA na mengineyo bas tegemea habar zako nzur nzur kusambaa kwa kasi dunia nzma, na yeyote anaekuwa kinyume nawew huandamwa ama kuchafuliwa cv kwa kutumia Western media hizo hizo, haya mambo ni kwel na yanatendeka dunian kote, lkn mujue kila mwanzo una mwisho, hakuna marefu yasiyo na ncha,..sijaandika kwa ubaya, bali ni ukwel ambao hata ukipingwa aubadirik utabaki kujisimamia wenyewe,,kila mtu akazane kuipigania familia yake na ndugu zake kujikomboa kimaisha, hakuna wakukukomboa kama wew hujajikomboa kwanza, serkali haina msaada kwa mtu asie na msaada....we shall meet 2025 if Creator wish.....
View attachment 1831358