Rais Samia: Ili kudhibiti rushwa barabarani, trafiki waondoke barabarani, kamera na taa ndio zifanye kazi

Rais Samia ameagiza kuanza kuondolewa Kwa Matrafiki ambao walijigeuza Wala Rushwa Barabarani badala yake ametaka zifungwe Kamera na Taa Ili Kuongoza magari.

---
Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika kukabiliana na rushwa nchini, trafiki barabarani wanapaswa kuondolewa badala yake taa na kamera zitatumika kuongoza barabarani.

Rais Samia ameyasema hayo leo, Ikulu jijini Dar es Salaam katika hafla ya kuapisha viongozi wateule wa ngazi mbalimbali za uongozi nchini

“Usalama barabarani, tunataka kuondoa trafiki barabarani kukomesha rushwa. Tuyaache mambo ya pita wewe nenda wewe”

My Take
Naunga mkono hoja ya Mh.Rais.

Trafiki waligeuza usalama Barabarani kuwa mradi wa kuvuna pesa za Rushwa Kwa maderva huku ajali na makosa mengine yakizidi kuongezeka.

Kenya wameweza na sisi tuanze maana tulichepewa sana.

Tukitoka hapo tufungue kamela kwenye Mahospitali na kuwavalisha kamela maafisa wa TRA.
Hilo lilishaamuliwa kitambo au huwa hausomi maagizo ya serikali badala yake unaishia kusima nyizi za Mwashambwa
 
Fumua mfumo mzima wa jeshi la polisi, walipe vizuri ndio uje na hayo mabadiliko. Ni wapi uliona camera sikachukua nafasi ya binadamu. Hata nc hi zilizoendlea na ambazo kuna camera kila kona, lakini traffic polisi lazma wawepo. Camera kazi zake ni kusaidia kazi ya inayofanywa na binadamu, vinginevyo unataka kuvuruga mambo.

Madereva wanakuwa na nidhamu wanapoona uniform au gari la polisi. Garila polisi ndio kabisa, hata kama lipo empty, likionekana sehemu, watu wanakuwa na nidhamu ya hali ya juu.
 
Matraffic watavunja na kuua hizo taa na cameras usiku mnene, Mh. Rais inabidi uweke camera latest za kisasa ili kudhibiti taa na camera za barabarani zisiibiwe!!! Traffic barabarani wengi hadi kero sana yaani, watolewe kabisa

Very good point..!!
 
Fumua mfumo mzima wa jeshi la polisi, walipe vizuri ndio uje na hayo mabadiliko. Ni wapi uliona camera sikachukua nafasi ya binadamu. Hata nc hi zilizoendlea na ambazo kuna camera kila kona, lakini traffic polisi lazma wawepo. Camera kazi zake ni kusaidia kazi ya inayofanywa na binadamu, vinginevyo unataka kuvuruga mambo.

Madereva wanakuwa na nidhamu wanapoona uniform au gari la polisi. Garila polisi ndio kabisa, hata kama lipo empty, likionekana sehemu, watu wanakuwa na nidhamu ya hali ya juu.
Ndio kazi inaendelea hiyo
 
Polisi hawafutwi. Wanapunguziwa majukumu. Badala ya kusimama na camera za mwendo kasi, camera zinakuwepo wakati wote hata usiku. Badala ya kuzungumza na wewe ili usilipe fain ya overspeed, fain inaingia moja kwa moja kwenye bili ya gari lako. Badala ya kusimamisha simamisha magari na kuomba kuangalia fain, akikusimamisha tayari anajua una fain. Mambo mazuri haya si ya kupinga.
 
Rais Samia ameagiza kuanza kuondolewa Kwa Matrafiki ambao walijigeuza Wala Rushwa Barabarani badala yake ametaka zifungwe Kamera na Taa Ili Kuongoza magari.

---
Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika kukabiliana na rushwa nchini, trafiki barabarani wanapaswa kuondolewa badala yake taa na kamera zitatumika kuongoza barabarani.

Rais Samia ameyasema hayo leo, Ikulu jijini Dar es Salaam katika hafla ya kuapisha viongozi wateule wa ngazi mbalimbali za uongozi nchini

“Usalama barabarani, tunataka kuondoa trafiki barabarani kukomesha rushwa. Tuyaache mambo ya pita wewe nenda wewe”

My Take
Naunga mkono hoja ya Mh.Rais.

Trafiki waligeuza usalama Barabarani kuwa mradi wa kuvuna pesa za Rushwa Kwa maderva huku ajali na makosa mengine yakizidi kuongezeka.

Kenya wameweza na sisi tuanze maana tulichepewa sana.

Tukitoka hapo tufungue kamela kwenye Mahospitali na kuwavalisha kamela maafisa wa TRA.
 
Ni uamuzi mzuri na mgumu. Kwa upande mwingine watanzania wengi hawazingatii sheria za barabara kabisa kwahiyo tunaweza epusha rushwa kwa kuongeza ajali.
Ajali haziwezi kuongezeka,vinginevyo walimu wa madereva hawajitabui,ni bora kuliko mdudu rushwa anayelelewa na binaaadamu tena mwenye akili timamu☺️
 
Rais Samia ameagiza kuanza kuondolewa Kwa Matrafiki ambao walijigeuza Wala Rushwa Barabarani badala yake ametaka zifungwe Kamera na Taa Ili Kuongoza magari.

---
Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika kukabiliana na rushwa nchini, trafiki barabarani wanapaswa kuondolewa badala yake taa na kamera zitatumika kuongoza barabarani.

Rais Samia ameyasema hayo leo, Ikulu jijini Dar es Salaam katika hafla ya kuapisha viongozi wateule wa ngazi mbalimbali za uongozi nchini

“Usalama barabarani, tunataka kuondoa trafiki barabarani kukomesha rushwa. Tuyaache mambo ya pita wewe nenda wewe”

My Take
Naunga mkono hoja ya Mh.Rais.

Trafiki waligeuza usalama Barabarani kuwa mradi wa kuvuna pesa za Rushwa Kwa maderva huku ajali na makosa mengine yakizidi kuongezeka.

Kenya wameweza na sisi tuanze maana tulichepewa sana.

Tukitoka hapo tufungue kamela kwenye Mahospitali na kuwavalisha kamela maafisa wa TRA.
KIgoma waliahidiwa itakua kama singapore ni miaka 30 sasa wakina baba levo wameamua kuifuata singapore dar!
 
Ni uamuzi mzuri na mgumu. Kwa upande mwingine watanzania wengi hawazingatii sheria za barabara kabisa kwahiyo tunaweza epusha rushwa kwa kuongeza ajali.
Ajali zinaweza kupungua. Dreva wa lori anakimbia sababu anajua ikitokea kasimamishwa atatoa elfu kumi.

Sasa imagine kila ukipita kwenye camera fain ya elfu thelathini inaingia kwenye gari. Kuna nchi nasikia Huzuiwi kukimbia, ila kimbia kwa malipo. Ni camera tu, waaaa, waaaaa, waaaa. Kila waaa ni pesa.
 
Back
Top Bottom