Syndicate ya Rushwa ya Trafiki Barabarani

ANAUPIGA MWINGI

JF-Expert Member
Apr 14, 2022
389
753
Rushwa ya Trafiki Barabarani ina Syndicate kubwa sana kiasi kwamba ni ngumu sana hii Rushwa kuisha, Kwa kutegemea Wakuu wa Police,

Chain ya wanao nufaika na ile rushwa ni kubwa sana ndani ya Jeshi la Police na nje ya Jeshi la Police.

Ndani ya Jeshi la Police ile rushwa inapanda hadi kwa IGP mwenyewe ambaye ni mnufaika wa rushwa ya Police Barabarani, mtu kama AGP ananufaika in kaind badala ya Cash, IGP na mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarabi nchini wao hulipwa in Kaind hapa nazani naeleweka na hawa in Kaind yao sana ni ya Kujengewa nyumba, wao sana wamekuwa wana jengewa nyumba, trafiki lets say wa Mkoa wa Mwanza wanakusanya zile pesa wananua kiwanja wanajenga nyumba na wanakuja kumkabidhi Mkuuu wao kama zawadi.

In Kaind zinafanywa sana na Trafiki walio miji mikubwa hasa zile sehemu zenye pesa kama Dar, Mwanza, Arusha, Morogoro, Kahama, Mbeya, Sinhida huko na kadhalika, na maeneo ambayo wao sana hawawezi in kaind wamekuwa wanachanga wanatoa cash.

Matrafiki kulingana na maeneo waliopo wamekuwa na malipo ya in Kaind tofauti yofauti pia, Mfano Trafiki wa Kahama wanaweza nunua hata Mchele lori zima na wakatuma Dar kwa mabosi wao, kuna ambao huchanga na kunua Mbuzi lori zima na kuwatuma Dar hii hutokea nyakati za sikukuu.

Kwa Mabosi wa Jeshi la Police wa Mkoa na Wilaya wao sana wamekuwa wanalipwa Cash plus in kaind hawa hulipwa moja kwa moja Cash ingawa pia hulipwa in kaind.

Watu nje ya Jeshi la Police ambao huwa wako kwenye Dafatali la Trafiki la mgao ni pamoja na Mkuu wa wilaya kwa ngazi ya wilaya na Mkuu wa Mkoa na Katibu tawala kwa ngazi ya mkoa, hawa hulipwa Cash na maofisa wa Police wa Mkoa ingawa pia kuna Maoifisa wa Police wa Wilaya ambao huwaruka mabosi wao wa Mkoa na kwenda moja kwa moja kuwahonga hawa wa Mkoa.

Mkuu wa wilaya naye sana hunufaika kwa In kaind na cash kuna wakati hununuliwa mafuta ya Gari.

Kwa Makao Makauu ya Jeshi la Police kule wanafaika huwa ni wengi sana ukiachana na IGP na Bosi wa Trafiki makao makuu pia kuna maoifisa wengine ngazi ya Taifa ambao ni wanufaikaji ambao mgao wa rushwa hizi huwa unawafikia kwa njia tofauti kulingana na vitengo vyao huko juu.

Ukiangalia hii Syndicateni dhahiri hakuna mtu ndani ya Jeshi la Police anaye weza kukemea rushwa ya Trafiki, kwa sababu wanananufaika sana na ile rushwa na hata vingozi wa nje ya Police kama Mkuu wa wilaya na Mkoa pia wananufaika na Rushwa zile.

Ukiona trafiki kafukuzwa kwa rushwa ujue ni alionekana live akipokea rushwa, bila kuonekana live hakuna anaye weza fukuzwa kazi kwa Rushwa.Ukiona wako kwenye TV wanakemea rushwa ujue ni kilio cha Mamba tu hakuan uhalisisia kwa sababu wananufaika.

Bila mabosi ngazi ya Taifa kunufaika wangeisha washikikisha adabu hawa Trafiki siku nyingi sana, na ndo maana pia Trafiki wanajiamini vilivyo kwa sababu wana Backup kubwa sana, wale sio wajinga wajiamini hivi hivi tu.
images - 2022-04-26T091240.717.jpg
 
Bila mabosi ngazi ya Taifa kunufaika wangeisha washikikisha adabu hawa Trafiki siku nyingi sana, na ndo maana pia Trafiki wanajiamini vilivyo kwa sababu wana Backup kubwa sana, wale sio wajinga wajiamini hivi hivi tu.View attachment 2200956
Nchi ikishakuwa Masikini Rushwa innakithiri mno, tutaacha Rushwa siku tutakapoacha kuwa masikini
 
Nchi kama Rwanda ni masikini hata kutuzidi ila Rushwa kwa askari wao aiseee ni very minimal au hakuna kabisa, hii ni tabia tu na kuto wajibika kwa viongozi hakuna cha sababu ya umasikini
 
Hao wanachukua hela ya kubrash viatu tu hebu waacheni tuienzi legacy ya mwendazake
 
Madhara yake unayajua lakini? Kuna ajaLi nyingi ambazo huenda zinge epukwa lakini unakuta watu wana hongwa na magari hada mabasi yanatembea na mwisho yanaleta maafa makubwa sana.
 
Rushwa haiwezi kuisha sababu ajira ni za kujuana. Ukimuajiri ndugu, jamaa au rafiki yako utamuwajibisheje?
 
Madhara yake unayajua lakini? Kuna ajari nyingi ambazo huenda zinge epukwa lakini unakuta watu wana hongwa na magari hada mabasi yanatembea na mwisho yanaleta maafa makubwa sana,
Hili swali likuwa vizuri sana ungelimwuliza Mwendazaje wakati alipotoa hiyo kauli
 
Back
Top Bottom