Rais Samia hautafanikiwa kuipoteza CHADEMA, nakuhakikishia hilo

Zoezi la kuiua CHADEMA alilianza Hayati Magufuli na kaondoka Duniani hajafanikiwa kuiua CHADEMA. Kwa maneno mengine rahisi, aliyetaka CHADEMA ife kafa yeye na kuiacha CHADEMA ikiwa hai.

Mbowe alikuwa hana tuhuma zozote za Ugaidi hapo kabla, lakini alipoanza vuguvugu la kudai Katiba Mpya mkamkamata na kumbambikia kesi ya kigaidi.

Police wanatoa hoja za kitoto za kuwafanya watu wote hawana akili. Eti walikuwa wakimchunguza na sasa wamepata ushahidi na kumkamata.

Swali kwa Police: Utamchunguzaje suspect huku akiwa huru? What if akitoroka?

Rais Samia, tunakuheshimu sana kama Rais wetu, lakini hatukuogopi. Tunayemwogopa ni mmoja tu, naye ni MUNGU.

Hakuna wa kututisha kuhusu kudai Katiba Mpya, tutaendelea kuidai kwa njia nyingi tofauti hadi tutaipata, na njia kubwa kuliko zote tumeanza kukushtakia kwa MUNGU. Kama utaweza kushindana na MUNGU basi CHADEMA itakufa, lakini kwa sababu Mungu huwa ni wa haki,atasimama kwenye haki.

Rais Samia, hautafanikiwa kwenye njama zako za kuiua CHADEMA, Mbowe siyo CHADEMA. Nyie mfanyeni vyovote vile mnavyojua, lakini mtakapoanza kulipa ghadhabu ya MUNGU msikimbiane humo.

Huwa mnajiona mna haki sana ya kufanya lolote, wakati ni ukuta, iko siku hamtavuka.
Samia anaupiga mwingi kiutopolotoplo. Heshima yake inashuka kwa kasi ya kutisha. Hata goli hajui lipo wapi.
 
Wana mpango wa kuifuta.... wameona inawasumbua mno - process zote za kuidhoofisha hazikufanikiwa sasa dawa ni moja tu iliyobaki ni KUIFUTA kama chama cha siasa nchini.

Stay turned, kesi ya ugaidi ndiyo daraja la kuisahau CDM kama chama cha upinzani.

Huu ni mpango mkakati wa CCM na washirika wake.
 
Zoezi la kuiua CHADEMA alilianza Hayati Magufuli na kaondoka Duniani hajafanikiwa kuiua CHADEMA. Kwa maneno mengine rahisi, aliyetaka CHADEMA ife kafa yeye na kuiacha CHADEMA ikiwa hai.

Mbowe alikuwa hana tuhuma zozote za Ugaidi hapo kabla, lakini alipoanza vuguvugu la kudai Katiba Mpya mkamkamata na kumbambikia kesi ya kigaidi.

Police wanatoa hoja za kitoto za kuwafanya watu wote hawana akili. Eti walikuwa wakimchunguza na sasa wamepata ushahidi na kumkamata.

Swali kwa Police: Utamchunguzaje suspect huku akiwa huru? What if akitoroka?

Rais Samia, tunakuheshimu sana kama Rais wetu, lakini hatukuogopi. Tunayemwogopa ni mmoja tu, naye ni MUNGU.

Hakuna wa kututisha kuhusu kudai Katiba Mpya, tutaendelea kuidai kwa njia nyingi tofauti hadi tutaipata, na njia kubwa kuliko zote tumeanza kukushtakia kwa MUNGU. Kama utaweza kushindana na MUNGU basi CHADEMA itakufa, lakini kwa sababu Mungu huwa ni wa haki,atasimama kwenye haki.

Rais Samia, hautafanikiwa kwenye njama zako za kuiua CHADEMA, Mbowe siyo CHADEMA. Nyie mfanyeni vyovote vile mnavyojua, lakini mtakapoanza kulipa ghadhabu ya MUNGU msikimbiane humo.

Huwa mnajiona mna haki sana ya kufanya lolote, wakati ni ukuta, iko siku hamtavuka.
Chadema ipo na itaendelea kuwepo, anayejaribu kuishambulia ataumia
 
Unaogopa kufa? Kifo is there kwa kila mtu. Mnasubiriwa field tarehe 5. Ila Samia ana madharau sana, na mitusi yenu yote hata hawajibu, anapiga kazi zake tu
Hili la magufuli kufa na kuiacha chadema hai linawaumiza sana
 
Back
Top Bottom