Rais Samia hatagombea Urais Uchaguzi mkuu 2025

Mimi kama mwanafamilia aka Waarabu wa Pemba.
Sasa nyie wasaka tonge mnaanza kujipitisha kwa kauli mbiu eti mpaka 2030 ,WaTanzakikikoko ,mnatamaa ya huruma ya Uchaguzi, nani asie jua kuanzia diwani mpaka Marehemu nyote mliondoka na kura za wizi na sio kura maana uchaguzi uliopita upigaji kura haukuwa na faida yeyote si ya mtu kushinda wala kushindwa.

Huyu Samia miyamiya hagombei tena si kwa kuwa hawezi kugombe hataki,anawaachia machogo yenyewe yatoane roho ndani ya CCM, Kwani lile onyo hukulisikia aliposema wale wenye kuutaka Uraisi hapo 2025 waache,hakumaanisha yeye atagombea ,alimaanisha jambo lingine kabisa.
Tangu lini msukuma ukawa Mwarabu wa Pemba?
 
Mnahitaji kulijua hilo, kilichotokea WaZanzibari wanakiita ngekewa, baada ya kufariki mpendwa wao Rais Magufuli, budi haikuwepo ni lazima Mh. Samia Suluhu akamate sukani na kulivusha Taifa hili la Tanzania, hakutegemea ila alijua akifa anarithi Urais hadi hapo 2025 kama atakuwa hai, utakapofanywa Uchaguzi Mkuu.

Kuna hawa WaTanzakikikoko ambao tumewaona bungeni wakianza kupiga chapuo na kusema ni yeye hadi 2030,nawambia waTanzakikikoko hao, wasijipitishe kwa Samia wala wasijipendekeze,kwanza waelewe Samia hawafanani na Magufuli hata kidogo labda kwa kadi za chama nazo namba pia tofauti.

Siku atakuja kukuliza au kukuulizeni mbele ya watu aka mkutano. Je, aliwatuma au aliwambia mseme au mumsemee hayo kuwa ataendelea kugombea hadi 2030? Na ninavyomjua hakawii

Nyinyi mnaomtangazia hayo ndio mnaomjengea maadui ndani na nje ya Chama na ndio mnaokigawa Chama katika kambi au timu,sasa wewe au nyinyi ndio Timu Samia ndani ya CCM.

Hii nafasi ipo wazi kwa mwanachama yeyote wa CCM hasa wa upande huo wa T/Bara, lakini sio kuanza uchuro, Samia mpaka 2530 ndivyo alivyokwambia? Unaacha mambo muhimu ndani ya bunge na kujipanga kwa hoja kuwatetea wananchi na hela inayodaiwa imepotea unaenda kuwaletea watu habari za miaka mitano inayokuja, na yote haya kwa sababu wabunge wengi humo hawakushinda walipitishwa kimagumashi na Tume ya Uchaguzi ya Magufuli, mna tamaa kupiga kigoma ili huyu Rais Samia aanze kukicheza ili mkatize kama mlivyokatiza.
Mama aliliweka sawa hili mapema tu kuwa watu wenye ndoto ya 2025 waachane nayo kabisa, maana yake anajua mijadala hiyo hatima yake ni kukigawa chama,hivyo watu wataacha kufanya kazi na badala yake watakuwa bize kujenga mitandao jambo ambalo ni sawa na kukigawa chama.
 
Mkuu wakati mwingine uongo unafanana na kweli. Nyimbo mbaya habembelezewi mtoto.
Naona umedukuwa,anapima upepo hata zile style akitoa ile neno akisita sita ili kusikiliza meza kama zitagongwa,na sio tegemeo ziligongwa chache sana. Kama anataka yeye ajitose tu na aanze kampeni sasa kwani Ndani ya CCM kunaonekana jivu kubwa lenye joto kali na moshi unafukuta,ila Samia atawaacha kwenye mataa na kuwatupia zigo lao wenyewe kwake si mitano tena bali ni mitatuimetosha.
 
Mama tunamuongeza mitano tena, ikimpendeza aongoze mpaka achoke yeye kama ilvyokuwa pendekezo letu kwa mwenda zake, mama viatu vimemtosha haswa, kazi iendelee.
 
Mtu pekee mwenye jibu la uhakika 100% whether mama Samia atataka kugombea urais mwaka 2025 ni....you guessed correctly...ni mama Samia Suluhu Hassan mwenyewe.

By then atakuwa ameshatengeneza "kundi" lake ambalo litakuwa limeshachuma na kuenjoy vya kutosha na hawatotaka mabadiliko. Bahati mbaya sana kwa CCM - mwenyekiti wa chama na Rais hupewa terms mbili. So, Samia akikomaa na kuweka jina, lazima walipitishe tu bila kuruhusu mwingine kutia nia hata kama kimoyomoyo hawataki.
 
Mimi naona amalizie hii minne halafu tumpe awamu zake mbili, kwahiyo tuchague mwingine 2035. Au atawale milele? Atake asitake tumlazimishe!
 
Kauliza za wawakilishi wetu bungeni kuhusu kuongezea muda wa rais madarakani zinaonesha ni kiwango gani tulivyo kama nchi. Au tupo vizuri kimtazamo au tupo vibaya.

Aliepo madarakani hana hata miezi mitatu, watu wanaanza vijikampeni vya mitano tena.

Kwamba hicho ndio cha kusimamia sasa.

Bila shaka hatupo sawa.
 
JamiiForums990378172.jpg
 
Mnahitaji kulijua hilo, kilichotokea WaZanzibari wanakiita ngekewa, baada ya kufariki mpendwa wao Rais Magufuli, budi haikuwepo ni lazima Mh. Samia Suluhu akamate sukani na kulivusha Taifa hili la Tanzania, hakutegemea ila alijua akifa anarithi Urais hadi hapo 2025 kama atakuwa hai, utakapofanywa Uchaguzi Mkuu.

Kuna hawa WaTanzakikikoko ambao tumewaona bungeni wakianza kupiga chapuo na kusema ni yeye hadi 2030,nawambia waTanzakikikoko hao, wasijipitishe kwa Samia wala wasijipendekeze,kwanza waelewe Samia hawafanani na Magufuli hata kidogo labda kwa kadi za chama nazo namba pia tofauti.

Siku atakuja kukuliza au kukuulizeni mbele ya watu aka mkutano. Je, aliwatuma au aliwambia mseme au mumsemee hayo kuwa ataendelea kugombea hadi 2030? Na ninavyomjua hakawii

Nyinyi mnaomtangazia hayo ndio mnaomjengea maadui ndani na nje ya Chama na ndio mnaokigawa Chama katika kambi au timu,sasa wewe au nyinyi ndio Timu Samia ndani ya CCM.

Hii nafasi ipo wazi kwa mwanachama yeyote wa CCM hasa wa upande huo wa T/Bara, lakini sio kuanza uchuro, Samia mpaka 2530 ndivyo alivyokwambia? Unaacha mambo muhimu ndani ya bunge na kujipanga kwa hoja kuwatetea wananchi na hela inayodaiwa imepotea unaenda kuwaletea watu habari za miaka mitano inayokuja, na yote haya kwa sababu wabunge wengi humo hawakushinda walipitishwa kimagumashi na Tume ya Uchaguzi ya Magufuli, mna tamaa kupiga kigoma ili huyu Rais Samia aanze kukicheza ili mkatize kama mlivyokatiza.
Mod futilia mbali huu uzi, hauna uthibisho wowote ule wa maudhui yeyote yale ya ukweli. Huu ni uzushi, na uzushi hasa kwa Mh Rais ni nusu ya uhaini.

Tafadhali Mod, futa huu UZI!
 
Mnahitaji kulijua hilo, kilichotokea WaZanzibari wanakiita ngekewa, baada ya kufariki mpendwa wao Rais Magufuli, budi haikuwepo ni lazima Mh. Samia Suluhu akamate sukani na kulivusha Taifa hili la Tanzania, hakutegemea ila alijua akifa anarithi Urais hadi hapo 2025 kama atakuwa hai, utakapofanywa Uchaguzi Mkuu.

Kuna hawa WaTanzakikikoko ambao tumewaona bungeni wakianza kupiga chapuo na kusema ni yeye hadi 2030,nawambia waTanzakikikoko hao, wasijipitishe kwa Samia wala wasijipendekeze,kwanza waelewe Samia hawafanani na Magufuli hata kidogo labda kwa kadi za chama nazo namba pia tofauti.

Siku atakuja kukuliza au kukuulizeni mbele ya watu aka mkutano. Je, aliwatuma au aliwambia mseme au mumsemee hayo kuwa ataendelea kugombea hadi 2030? Na ninavyomjua hakawii

Nyinyi mnaomtangazia hayo ndio mnaomjengea maadui ndani na nje ya Chama na ndio mnaokigawa Chama katika kambi au timu,sasa wewe au nyinyi ndio Timu Samia ndani ya CCM.

Hii nafasi ipo wazi kwa mwanachama yeyote wa CCM hasa wa upande huo wa T/Bara, lakini sio kuanza uchuro, Samia mpaka 2530 ndivyo alivyokwambia? Unaacha mambo muhimu ndani ya bunge na kujipanga kwa hoja kuwatetea wananchi na hela inayodaiwa imepotea unaenda kuwaletea watu habari za miaka mitano inayokuja, na yote haya kwa sababu wabunge wengi humo hawakushinda walipitishwa kimagumashi na Tume ya Uchaguzi ya Magufuli, mna tamaa kupiga kigoma ili huyu Rais Samia aanze kukicheza ili mkatize kama mlivyokatiza.
Vipi tuongeze sauti???
 
Back
Top Bottom