Mnahitaji kulijua hilo, kilichotokea WaZanzibari wanakiita ngekewa, baada ya kufariki mpendwa wao Rais Magufuli, budi haikuwepo ni lazima Mh. Samia Suluhu akamate sukani na kulivusha Taifa hili la Tanzania, hakutegemea ila alijua akifa anarithi Urais hadi hapo 2025 kama atakuwa hai, utakapofanywa Uchaguzi Mkuu.
Kuna hawa WaTanzakikikoko ambao tumewaona bungeni wakianza kupiga chapuo na kusema ni yeye hadi 2030,nawambia waTanzakikikoko hao, wasijipitishe kwa Samia wala wasijipendekeze,kwanza waelewe Samia hawafanani na Magufuli hata kidogo labda kwa kadi za chama nazo namba pia tofauti.
Siku atakuja kukuliza au kukuulizeni mbele ya watu aka mkutano. Je, aliwatuma au aliwambia mseme au mumsemee hayo kuwa ataendelea kugombea hadi 2030? Na ninavyomjua hakawii
Nyinyi mnaomtangazia hayo ndio mnaomjengea maadui ndani na nje ya Chama na ndio mnaokigawa Chama katika kambi au timu,sasa wewe au nyinyi ndio Timu Samia ndani ya CCM.
Hii nafasi ipo wazi kwa mwanachama yeyote wa CCM hasa wa upande huo wa T/Bara, lakini sio kuanza uchuro, Samia mpaka 2530 ndivyo alivyokwambia? Unaacha mambo muhimu ndani ya bunge na kujipanga kwa hoja kuwatetea wananchi na hela inayodaiwa imepotea unaenda kuwaletea watu habari za miaka mitano inayokuja, na yote haya kwa sababu wabunge wengi humo hawakushinda walipitishwa kimagumashi na Tume ya Uchaguzi ya Magufuli, mna tamaa kupiga kigoma ili huyu Rais Samia aanze kukicheza ili mkatize kama mlivyokatiza.