Rais Samia hashauriki au ana washauri wabaya?

Boi Manda

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2023
Posts
623
Reaction score
714
Kinachoendelea hivi sasa nchini Tanzania inaonyesha aidha rais Samia Suluhu Hassan hashauri (haambiliki) ama ana washauri wabaya wanaompotosha

Kukamatwa kwa mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na kufunguliwa kesi ya uhani ni jambo la kushangaza ambalo linaonyesha pengine lengo ni kudhibiti kasi yake kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu

Kufungiwa kwa Kanisa la ufufuo na uzima la Askofu Josephat Gwajima kwa kutumia haki yake ya kikatiba kutoa maoni yake kukemea utekaji ni jambo lingine la kushangaza

Wataalam wa mambo ya Kidiplomasia na siasa wanajiuliza hivi rais Samia hana washauri ama anashauriwa na kukaidi ushauri wa wasaidizi wake?

Pia wabobezi wa siasa za nchi hii wanajiuliza chama cha CCM kimeshindwa kumshauri mwenyekiti wake ambaye pia ni rais wa nchi kujitenga na sintofahamu hii ya kesi ya Lisu na sakata la kufungiwa kanisa la Gwajima ili kukinusuru chama na Serikali yake.

Ushauri wangu kwa rais Samia aangalie upya kesi ya Lisu ikimpendeza Serikali kupitia kwa mwanasheria mkuu iiambie Mahakama kuwa haina nia ya kuendelea na kesi hiyo hivyo ifutwe

Pia rais angemuagiza waziri wake wa mambo ya ndani kulifungilia kanisa la Gwajima na kuwaacha waumini wawe na uhuru wao wa kuabudu

Aidha rais anatakiwa aende mbali zaidi na kuahidi kufanya marekebisho ya uchaguzi kwa kuweka tume huru kweli kweli ya uchaguzi na sheria na kanuni rafiki za uchaguzi kwa kipindi hiki kifupi kilichobaki kabla ya uchaguzi

Kwa upande wa katiba mpya anatakiwa kuahidi kuahidi kwamba itapatikana baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu kupita

Kama rais Samia atafanya uamuzi huu mgumu ataziishi zile 4R zake ambazo awali alivyoingia madaraka na kuzitangaza na kuzitekeleza kwa kipindi kile zilimpatia umaarufu mkubwa na kukubalika ndani na nje ya nchi

Lakini cha kushsngaza baadaye hapa upepo wa kisiasa ukabadilika ndipo watu wanaoitakia mema nchi hii wanajiuliza hivi rais ana washauri kweli au haambiliki?

Mwalimu Julie's Nyerere kipindi cha utawala wake aliwahi kuwa mkaidi hasikilizi ushauri wa wasaidizi wake na wananchi wake juu ya hali ngumu ya maisha na kumtaka abadilishe mfumo wake wa siasa hasa sheria ngumu za Azimio la Arusha aligoma katakana kugeuka nyuma wakamtunga jina la haambiriki

Baada ya kuona hali ya uchumi imezidi kuwa ngumu mwaka 85 akaang'atuka madarakani na kumuachia nchi Ally Hassan Mwinyi ambaye alifita Azimio la Arusha na kutangaza Azimio la Zanzibar

Mwinyi akfungua milango ya uchumi huru akaingiza siasa za kibepari huku chama chake kinaimba siasa za ujamaa na kujitegemea

Sasa rais Samia akikaidi ushauri wa wasaidizi wake na wananchi naye ataitwa "haambiliki" ni vyema akachukua hatua sasa hivi kurudi 4R zake ili kurejesha heshima yake ya awali

Comasava
 
Mkuu hivi unadhani Samia yuko kwenye madaraka ili kuwafurahisha wananchi? Yuko kwa ajili yake na watoto wake, na kwa mbali sana yuko kwa ajili ya wazanzibari wenzake
 
Kama haya usemayo ni kweli basi atakuwa rais wa ajabu sana kama hayupo kwa ajili ya wajiri wake ambao ndio wananchi na wenye nchi yao
 
Vyote viwili na unaweza kuongeza kuwa hana uwezo mkubwa wa kufikiri ndipo aamue. Wakati mwingine naona kama Khadija Kopo fulani
 
Namsikitikia kwa upofu na ukiziwi alioupata haoni Dunia ilivyo geuka ghafla Leo Netanyau wakupanic vile sembuse yeye aliyepo kwa maslahi ya familia na wakubwa wachache wanaonufaika na Nchi kwa kofia ya Uccm
 
Kinachoendelea hivi sasa nchini Tanzania inaonyesha aidha rais Samia Suluhu Hassan hashauri (haambiliki) ama ana washauri wabaya wanaompotosha

Kukamatwa kwa mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na kufunguliwa kesi ya uhani ni jambo la kushangaza ambalo linaonyesha pengine lengo ni kudhibiti kasi yake kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu

Kufungiwa kwa Kanisa la ufufuo na uzima la Askofu Josephat Gwajima kwa kutumia haki yake ya kikatiba kutoa maoni yake kukemea utekaji ni jambo lingine la kushangaza

Wataalam wa mambo ya Kidiplomasia na siasa wanajiuliza hivi rais Samia hana washauri ama anashauriwa na kukaidi ushauri wa wasaidizi wake?

Pia wabobezi wa siasa za nchi hii wanajiuliza chama cha CCM kimeshindwa kumshauri mwenyekiti wake ambaye pia ni rais wa nchi kujitenga na sintofahamu hii ya kesi ya Lisu na sakata la kufungiwa kanisa la Gwajima ili kukinusuru chama na Serikali yake.

Ushauri wangu kwa rais Samia aangalie upya kesi ya Lisu ikimpendeza Serikali kupitia kwa mwanasheria mkuu iiambie Mahakama kuwa haina nia ya kuendelea na kesi hiyo hivyo ifutwe

Pia rais angemuagiza waziri wake wa mambo ya ndani kulifungilia kanisa la Gwajima na kuwaacha waumini wawe na uhuru wao wa kuabudu

Aidha rais anatakiwa aende mbali zaidi na kuahidi kufanya marekebisho ya uchaguzi kwa kuweka tume huru kweli kweli ya uchaguzi na sheria na kanuni rafiki za uchaguzi kwa kipindi hiki kifupi kilichobaki kabla ya uchaguzi

Kwa upande wa katiba mpya anatakiwa kuahidi kuahidi kwamba itapatikana baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu kupita

Kama rais Samia atafanya uamuzi huu mgumu ataziishi zile 4R zake ambazo awali alivyoingia madaraka na kuzitangaza na kuzitekeleza kwa kipindi kile zilimpatia umaarufu mkubwa na kukubalika ndani na nje ya nchi

Lakini cha kushsngaza baadaye hapa upepo wa kisiasa ukabadilika ndipo watu wanaoitakia mema nchi hii wanajiuliza hivi rais ana washauri kweli au haambiliki?

Mwalimu Julie's Nyerere kipindi cha utawala wake aliwahi kuwa mkaidi hasikilizi ushauri wa wasaidizi wake na wananchi wake juu ya hali ngumu ya maisha na kumtaka abadilishe mfumo wake wa siasa hasa sheria ngumu za Azimio la Arusha aligoma katakana kugeuka nyuma wakamtunga jina la haambiriki

Baada ya kuona hali ya uchumi imezidi kuwa ngumu mwaka 85 akaang'atuka madarakani na kumuachia nchi Ally Hassan Mwinyi ambaye alifita Azimio la Arusha na kutangaza Azimio la Zanzibar

Mwinyi akfungua milango ya uchumi huru akaingiza siasa za kibepari huku chama chake kinaimba siasa za ujamaa na kujitegemea

Sasa rais Samia akikaidi ushauri wa wasaidizi wake na wananchi naye ataitwa "haambiliki" ni vyema akachukua hatua sasa hivi kurudi 4R zake ili kurejesha heshima yake ya awali

Comasava
Lengo la kumkamata Lissu ni kupoza upinzani haswa kasi ya Lissu maana watu walishaichoka CCM na wenyewe wanajuwa hayo. Huko Zanzibar watu wanaandamana kutaka Muungano uvunjike maana hawaoni umuhimu wake na raia wanalaumu viongozi wa CCM, in short, hata huko pia, CCM HAITAKIWI. Kila zama zina mwisho wake, CCM imefikia taamati, wananchi hatuitaki.

Mama Abdul (Samia) akitaka watu wamchukulie serious, aachane na kuwaweka kina kajamba nani (Steve Nyerere, Dotto Magari, Mwijaku) karibu naye, wale hawana akili za kushauri hata wake zao sembuse kuliongoza taifa. Unawapa vyeo vya usemaji mkuu wa serikali ili iweje?
 
Hili ameshalipoteza mshauri vinginevyo
 
Kinachoendelea hivi sasa nchini Tanzania inaonyesha aidha rais Samia Suluhu Hassan hashauri (haambiliki) ama ana washauri wabaya wanaompotosha

Kukamatwa kwa mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na kufunguliwa kesi ya uhani ni jambo la kushangaza ambalo linaonyesha pengine lengo ni kudhibiti kasi yake kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu

Kufungiwa kwa Kanisa la ufufuo na uzima la Askofu Josephat Gwajima kwa kutumia haki yake ya kikatiba kutoa maoni yake kukemea utekaji ni jambo lingine la kushangaza

Wataalam wa mambo ya Kidiplomasia na siasa wanajiuliza hivi rais Samia hana washauri ama anashauriwa na kukaidi ushauri wa wasaidizi wake?

Pia wabobezi wa siasa za nchi hii wanajiuliza chama cha CCM kimeshindwa kumshauri mwenyekiti wake ambaye pia ni rais wa nchi kujitenga na sintofahamu hii ya kesi ya Lisu na sakata la kufungiwa kanisa la Gwajima ili kukinusuru chama na Serikali yake.

Ushauri wangu kwa rais Samia aangalie upya kesi ya Lisu ikimpendeza Serikali kupitia kwa mwanasheria mkuu iiambie Mahakama kuwa haina nia ya kuendelea na kesi hiyo hivyo ifutwe

Pia rais angemuagiza waziri wake wa mambo ya ndani kulifungilia kanisa la Gwajima na kuwaacha waumini wawe na uhuru wao wa kuabudu

Aidha rais anatakiwa aende mbali zaidi na kuahidi kufanya marekebisho ya uchaguzi kwa kuweka tume huru kweli kweli ya uchaguzi na sheria na kanuni rafiki za uchaguzi kwa kipindi hiki kifupi kilichobaki kabla ya uchaguzi

Kwa upande wa katiba mpya anatakiwa kuahidi kuahidi kwamba itapatikana baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu kupita

Kama rais Samia atafanya uamuzi huu mgumu ataziishi zile 4R zake ambazo awali alivyoingia madaraka na kuzitangaza na kuzitekeleza kwa kipindi kile zilimpatia umaarufu mkubwa na kukubalika ndani na nje ya nchi

Lakini cha kushsngaza baadaye hapa upepo wa kisiasa ukabadilika ndipo watu wanaoitakia mema nchi hii wanajiuliza hivi rais ana washauri kweli au haambiliki?

Mwalimu Julie's Nyerere kipindi cha utawala wake aliwahi kuwa mkaidi hasikilizi ushauri wa wasaidizi wake na wananchi wake juu ya hali ngumu ya maisha na kumtaka abadilishe mfumo wake wa siasa hasa sheria ngumu za Azimio la Arusha aligoma katakana kugeuka nyuma wakamtunga jina la haambiriki

Baada ya kuona hali ya uchumi imezidi kuwa ngumu mwaka 85 akaang'atuka madarakani na kumuachia nchi Ally Hassan Mwinyi ambaye alifita Azimio la Arusha na kutangaza Azimio la Zanzibar

Mwinyi akfungua milango ya uchumi huru akaingiza siasa za kibepari huku chama chake kinaimba siasa za ujamaa na kujitegemea

Sasa rais Samia akikaidi ushauri wa wasaidizi wake na wananchi naye ataitwa "haambiliki" ni vyema akachukua hatua sasa hivi kurudi 4R zake ili kurejesha heshima yake ya awali

Comasava
ipo hivi kuna kikundi cha upingaji kikiongozwa na Bulembo na Amos makala na ibirisi wenzao huko ccm, hao wamegundua mama ni mwepesi wa kuamini mipango yao ya hovyo, hivyo hukaa na kumchochea Mama afanye vitu vya hovyo ikiwemo kuwaonea kuwatesa kuwateka kuwanyanyasa kuwabambikia kesi za uongo Chadema, wakijua kuwa kesho yake kuna balaa mbele, na pindi moto ukiwaka hao hao wanaenda tena kumwambia waandae Bajeti ya kupoza joto la Siasa ikiwemo kuihujumu chadema, kuudhofisha ikiwemo kuifuta kabsa kwenye ulingo wa Siasa, Hapo Mama huchua Mabilioni huko Hazina na kuwapa bila mpangilio na ndipo hugawana hizo pesa kienyeji haraka na kubakiza pesa kidogo kumpatia Mbowe awauzie G55 kwenda Chaumaccm na pia zingine kumpa msajili wa siasa awanyong’onyeshe chadema, huko Polisiccm na mahakamaccm nao wakiponea humo humo, chanzo cha yote haya ni mafisadi wa huko ccm kujipatia pesa kwa njia haramu za kishetani yaani chadema wanateseka wao wanapata fursa za kupiga pesa hapo hapo
 
Lengo la kumkamata Lissu ni kupoza upina[zani haswa kasi ya Lissu maana watu walishaichoka CCM na wenyewe wanajuwa hayo. Huko Zanzibar watu wanaandamana kutaka Muungano uvunjike maana hawaoni umuhimu wake na raia wanalaumu viongozi wa CCM, in short, hata huko pia, CCM HAITAKIWI. Kila zama zina mwisho wake, CCM imefikia taamati, wananchi hatuitaki.

Mama Abdul (Samia) akitaka watu wamchukulie serious, aachane na kuwaweka kina kajamba nani (Steve Nyerere, Dotto Magari, Mwijaku) karibu naye, wale hawana akili za kushauri hata wake zao sembuse kuliongoza taifa. Unawapa vyeo vya usemaji mkuu wa serikali ili iweje?
Mabaya kwa chadema ni fursa kwa watesi kupiga pesa toka kwa mama ni biashara mpya ya upigaji huko kwa ibirisi wa ccm
 
Mkuu hivi unadhani Samia yuko kwenye madaraka ili kuwafurahisha wananchi? Yuko kwa ajili yake na watoto wake, na kwa mbali sana yuko kwa ajili ya wazanzibari wenzake
Sasa kipo kikundi vibaraka mamuluki watanganyika ni hatari wanapiga pesa kama mvua
 
Kinachoendelea hivi sasa nchini Tanzania inaonyesha aidha rais Samia Suluhu Hassan hashauri (haambiliki) ama ana washauri wabaya wanaompotosha

Kukamatwa kwa mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na kufunguliwa kesi ya uhani ni jambo la kushangaza ambalo linaonyesha pengine lengo ni kudhibiti kasi yake kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu

Kufungiwa kwa Kanisa la ufufuo na uzima la Askofu Josephat Gwajima kwa kutumia haki yake ya kikatiba kutoa maoni yake kukemea utekaji ni jambo lingine la kushangaza

Wataalam wa mambo ya Kidiplomasia na siasa wanajiuliza hivi rais Samia hana washauri ama anashauriwa na kukaidi ushauri wa wasaidizi wake?

Pia wabobezi wa siasa za nchi hii wanajiuliza chama cha CCM kimeshindwa kumshauri mwenyekiti wake ambaye pia ni rais wa nchi kujitenga na sintofahamu hii ya kesi ya Lisu na sakata la kufungiwa kanisa la Gwajima ili kukinusuru chama na Serikali yake.

Ushauri wangu kwa rais Samia aangalie upya kesi ya Lisu ikimpendeza Serikali kupitia kwa mwanasheria mkuu iiambie Mahakama kuwa haina nia ya kuendelea na kesi hiyo hivyo ifutwe

Pia rais angemuagiza waziri wake wa mambo ya ndani kulifungilia kanisa la Gwajima na kuwaacha waumini wawe na uhuru wao wa kuabudu

Aidha rais anatakiwa aende mbali zaidi na kuahidi kufanya marekebisho ya uchaguzi kwa kuweka tume huru kweli kweli ya uchaguzi na sheria na kanuni rafiki za uchaguzi kwa kipindi hiki kifupi kilichobaki kabla ya uchaguzi

Kwa upande wa katiba mpya anatakiwa kuahidi kuahidi kwamba itapatikana baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu kupita

Kama rais Samia atafanya uamuzi huu mgumu ataziishi zile 4R zake ambazo awali alivyoingia madaraka na kuzitangaza na kuzitekeleza kwa kipindi kile zilimpatia umaarufu mkubwa na kukubalika ndani na nje ya nchi

Lakini cha kushsngaza baadaye hapa upepo wa kisiasa ukabadilika ndipo watu wanaoitakia mema nchi hii wanajiuliza hivi rais ana washauri kweli au haambiliki?

Mwalimu Julie's Nyerere kipindi cha utawala wake aliwahi kuwa mkaidi hasikilizi ushauri wa wasaidizi wake na wananchi wake juu ya hali ngumu ya maisha na kumtaka abadilishe mfumo wake wa siasa hasa sheria ngumu za Azimio la Arusha aligoma katakana kugeuka nyuma wakamtunga jina la haambiriki

Baada ya kuona hali ya uchumi imezidi kuwa ngumu mwaka 85 akaang'atuka madarakani na kumuachia nchi Ally Hassan Mwinyi ambaye alifita Azimio la Arusha na kutangaza Azimio la Zanzibar

Mwinyi akfungua milango ya uchumi huru akaingiza siasa za kibepari huku chama chake kinaimba siasa za ujamaa na kujitegemea

Sasa rais Samia akikaidi ushauri wa wasaidizi wake na wananchi naye ataitwa "haambiliki" ni vyema akachukua hatua sasa hivi kurudi 4R zake ili kurejesha heshima yake ya awali

Comasava
Hao ni wahalifu wanashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.
 
Mwijaku amekataliwa Kigoma
Mwijaku anatoka na vitoto vya chuo huku ana mke, kwingineko ni mshauri mtema madini.
 
Boi Manda kuna kikundi/vikundi ndani ya jeshi la polisi/etc ambavyo ndiyo vinatumika na siyo serikali ila vilipitia mafunzo rasimi ya serikali (rejea kauli ya msemaji wa Jeshi kuhusu vigogo kupeleka majina majeshini), hivyo vikundi ndiyo vinahusika na ukiangalia mfano wale polisi waliopiga mabomu wafuasi wa Gwajiboy unaona kabisa siyo wale wazalendo ila ni wale select wa kile kikundi ila wanatumia uniform na rasilimali za serikali. Maana yake kama hicho kikundi kinamilikiwa labda ya nani hatujui
 
Back
Top Bottom