Funguka kidogo.Enheee Ungejua hebu ninyamaze aisee
Siku hizi sitaki kuvujisha sana ila angejua kwamba mama ni mzanzibar yuko makin na Wazanzibar kuliko wa Bara sitafunguka zaidi…..Funguka kidogo.
Freedom of speech hakuna ubaya wowote kwa Raia kufurahia kifo cha Subiani.nchi siyo ya kufurahia kifo cha rais aliyekuwa madarakan
Yamjaayo mtu moyoni mwake ndiyo ya mtokayo.Chonde chonde rais wangu epukana na wazee kama yule aliyesema kuwa wwzuri wanaishi zaidi ya wabaya kwa sababu hayo ni makufuru mbele ya Mungu.
Dua zetu Raia wema zimlinde Mama na remnants za ule Utawala wa yule Dhalimu.Siku hizi sitaki kuvujisha sana ila angejua kwamba mama ni mzanzibar yuko makin na Wazanzibar kuliko wa Bara sitafunguka zaidi…..
Kama nchi kumsamehe maana yake ni kuamini CCM ina uwezo wa kuongoza nchi kwenye huu ulimwengu unaohitaji misuli ya akili.Yamjaayo mtu moyoni mwake ndiyo ya mtokayo.
Wisdom, wisdom, wisdom ni kitu kidogo Lakini ni silaha kubwa katika maisha ya ujana na uzee.
He should be forgiven but not forgotten.
Non-sense Kamba.
CCM haina kiongozi mwenye uthubutu wa kuheshimisha nchi.Ningekuwa Rais Samia ili kuoneshwa sijafurahishwa na kauli za Mzee Makamba namfuta mwanae uwaziri halafu namkatama namuweka kizuizini ili aone hii nchi siyo ya kufurahia kifo cha rais aliyekuwa madarakani.
Barikiwa mkuuNi shairi au ni unafiki
Who hate who you idiot????
Mmetunyima ardhi siye hatuwezi ridhi ,mmetunyima tujenge makanisa ,mmetunyima haki yetu kama watz halafu chonde chonde fool .
Misikiti kibao bara,mnaiendesha mutakavyoo,mnaweka miliki ardhi mnajitoa Kwa Raha zenu bado chonde chonde mpuuzi huyuuu .
Kerooo peleka huko na dishi lako lililoyumba