GE2025 Rais Samia: CCM tuko tayari kudemka kadri Ngoma itakavyopigwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
HIvi si anapambana na Salum mwalimu urais! Mitano tena maza.Hii ni awamu ya zenjbar,watanzagiza mtulie kwanza mpaka tushibe.

..Salum Mwalimu anajenga hoja na yuko sharp kuliko Samia Suluhu.

..Kwa anayebisha afuatilie hotuba zao za hivi karibuni.
 
Samia ukimnyang'anya alichoandaliwa kusoma hamna kitu pale!!.
Hotuba za kutoka kichwani huwa anatema pumba hadi unajiuliza heee ktk watu milioni 62 kweli huyu ndiye anafaa zaidi kuwa rais wetu?!?!
..Salum Mwalimu anajenga hoja na yuko sharp kuliko Samia Suluhu.

..Kwa anayebisha afuatilie hotuba zao za hivi karibuni.
 
Ana mambo makubwa mawili ya kuwaambia watanzania?
1.Nani wanateka na kuua watanzania?
2. Ile ripoti ya CAG ni nani kashtakiwa?
 
Kuna wakati vishindo vya watu wenye ukoma viliwakimbiza jeshi hatari la washami...

Enyi wenye nguvu na madaraka msijiamini kupitiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…