Tausi wa ikulu waka itikia "HATUENDI IVYOO"Mm sio mchawi ila najua kwa kila alichokuwa anakisema mama wakati ule paka walikuwa wanasema "IO NI UONGO BWANA"
Uko makini sana it was too local for a state houseHabari zenu Taifa la Mungu?
Leo wakati Mh. Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Dr. Samia Suluhu Hassan) akihutubia viongozi wa vyama vya Siasa na Watu mbalimbali kuna wakati ilisikika sauti ya Paka wakilia.
Sauti hizi zilisikika wakati Mh. Raisi alipokuwa akitaja mabadiliko aliyoyafanya kwa nafasi mbalimbali ili kuboresha ufanisi wa Serikali.
Binafsi sauti zile zilipunguza kwa Kiasi umakini wangu kwa kusikiliza sauti za Paka badala ya Ujumbe wa Mh. Raisi hali iliyonifanya kurudia kusikiliza Ujumbe wake kwenye Mitandao na vyombo mbalimbali vya habari.
Maswali yangu.
1. Nani aliwaruhusu Paka wale wakae karibu na Mahali ambapo Mh. Raisi alikuwa akitoa hotuba, Kiasi Cha kutufanya baadhi ya Watu kupoteza Concentration kwenye kile ambacho Mh. Raisi alikuwa akikiwakilisha?
2. Nani aliwachokoza Paka wale hadi wakapiga kelele na sisi Wananchi kusikia?
ANGALIZO
Mh. Raisi anapokuwa anatoa hotuba basi tuhakikishe mazingira husika ni rafiki (conducive environment) ili Wananchi tupate kwa ufasaha Ujumbe tunaoletewa na siyo kutuharibia concentration zetu kwa vitu vya kizembe.
Nawasilisha.
imeisha hyooo....Tausi wa ikulu waka itikia "HATUENDI IVYOO"
Tuna deal na vitu Petty Petty tu. (In Waitara's Voice)Habari zenu Taifa la Mungu?
Leo wakati Mh. Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Dr. Samia Suluhu Hassan) akihutubia viongozi wa vyama vya Siasa na Watu mbalimbali kuna wakati ilisikika sauti ya Paka wakilia.
Sauti hizi zilisikika wakati Mh. Raisi alipokuwa akitaja mabadiliko aliyoyafanya kwa nafasi mbalimbali ili kuboresha ufanisi wa Serikali.
Binafsi sauti zile zilipunguza kwa Kiasi umakini wangu kwa kusikiliza sauti za Paka badala ya Ujumbe wa Mh. Raisi hali iliyonifanya kurudia kusikiliza Ujumbe wake kwenye Mitandao na vyombo mbalimbali vya habari.
Maswali yangu.
1. Nani aliwaruhusu Paka wale wakae karibu na Mahali ambapo Mh. Raisi alikuwa akitoa hotuba, Kiasi Cha kutufanya baadhi ya Watu kupoteza Concentration kwenye kile ambacho Mh. Raisi alikuwa akikiwakilisha?
2. Nani aliwachokoza Paka wale hadi wakapiga kelele na sisi Wananchi kusikia?
ANGALIZO
Mh. Raisi anapokuwa anatoa hotuba basi tuhakikishe mazingira husika ni rafiki (conducive environment) ili Wananchi tupate kwa ufasaha Ujumbe tunaoletewa na siyo kutuharibia concentration zetu kwa vitu vya kizembe.
Nawasilisha.
Wapo petty house room no 467 ila ni matakwa ya mkulu wawepo au laTausi sio paka. Sidhani kama ikulu kuna paka.
Au kijinga cha moto.. Hawarudi tenaa😃😃😃Sasa mkuu paka si wapo tu wakiamua kupiga kelele wanapiga tu huku kwetu wanatusumbua zaidi usiku wakianza tu tunatafuta mijiwe tunawapopoa tu
Aisee hukuona na mapanya??
Maana mapaka yanakuwepo kwa ajili ya mapanya.
Au mapanya yapo likizo.
Wale sio paka, ni tsusi ambao wako Ikulu miaka mingi toka Awamu ya kwanza.Habari zenu Taifa la Mungu?
Leo wakati Mh. Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Dr. Samia Suluhu Hassan) akihutubia viongozi wa vyama vya Siasa na Watu mbalimbali kuna wakati ilisikika sauti ya Paka wakilia.
Sauti hizi zilisikika wakati Mh. Raisi alipokuwa akitaja mabadiliko aliyoyafanya kwa nafasi mbalimbali ili kuboresha ufanisi wa Serikali.
Binafsi sauti zile zilipunguza kwa Kiasi umakini wangu kwa kusikiliza sauti za Paka badala ya Ujumbe wa Mh. Raisi hali iliyonifanya kurudia kusikiliza Ujumbe wake kwenye Mitandao na vyombo mbalimbali vya habari.
Maswali yangu.
1. Nani aliwaruhusu Paka wale wakae karibu na Mahali ambapo Mh. Raisi alikuwa akitoa hotuba, Kiasi Cha kutufanya baadhi ya Watu kupoteza Concentration kwenye kile ambacho Mh. Raisi alikuwa akikiwakilisha?
2. Nani aliwachokoza Paka wale hadi wakapiga kelele na sisi Wananchi kusikia?
ANGALIZO
Mh. Raisi anapokuwa anatoa hotuba basi tuhakikishe mazingira husika ni rafiki (conducive environment) ili Wananchi tupate kwa ufasaha Ujumbe tunaoletewa na siyo kutuharibia concentration zetu kwa vitu vya kizembe.
Nawasilisha.
Kwani Wewe huo muungano unautaka?Asije kujaribu hili la kuvunja muungano ataishia kubaya hata kama ameteua wote kutoka kwao
Na mazombi yapo hadi leo.Uzuri wa watu hautokani na sehemu, ni hulka tu ya mtu. Huko zenj si ndio kulikua hadi na mazombi wanaotumwa kuua watu
Ooopss maalim huko si ndio kila uchaguzi alisema watu wake wanavuliwa
Anaweza kuwa mzuri sana lakini sio sababu ya uzanzibari wake.
Kwanin kampamba kupita kiasi??Inawezekana Kuna kazi ya kufanya huko UN Kuna vitu may be haviendi sawa,..kwenye Vita always mtapeleka mwanajeshi wenu mahiri..
Kuna dhana moja kua ukifanya vizuri sehemu bas ufie Hapo Hapo hii si sawa wakuu..
Mimi naamimi Kuna assignment balozi kattanga amepewa na mamlaka...
Wazanzibari wana uzuri gani wakati kwa wanaibiana kura kwenye uchaguzi. Umesahau Jecha?Lakini binafsi naona huwa ni watu wazuri ,
Sizani kama utaona wananchi wakipigwa risasi na askari,
Tarajia kutosikia hayo,
Huwa wanapenda kuona au kusikia haki ikitendeka kwa watu,
Hawapendezwi na dhuruma na kuoneana.
Kama Kweli ni Mzanzibar basi tutarajie utendaji ulotukuka,
Tumuunge mkono na kum-support kwa juhudi ili tufukie malengo.
Tunasubiri Kwa hamu kubwa swala la Katiba Mpya ya JMT ,
Kwenye mambo ya msingi ya kuanza nayo kwenye checklist yako anza na Hilo na Tume huru ya uchaguzi.
Kunani kwani? Mbona Mbatizaji umekata tamaa?Mungu wa mbinguni atulinde