Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,016
- 9,885
Kwahiyo kachoma Mafuta ya Ndege jana kwenda Dodoma ili 'Kuwaapisha' tu hawa? Kwanini ili Kuokoa Pesa za Walalahoi ( Watanzania ) hawa 'Walioapishwa' wao ndiyo wasingekuja Dar es Salaam na Gari zao ili waapishwe?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Balozi Batilda Salha Burian kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora na Zuwena Omari Jiri kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga.
Hope wewe ni malaika alietumwa na Mungu kuja kuhukumu watu hata walio wafu,na ni imani yangu utaishi milele hapa duniani,roho mbaya si mtaji utakaokupa ridhiki,kutukana au kumtukana mtu haikuongezei chochote,jijengee tabia ya kusahau au kusamehe hata kama mwanadamu kakukosea vipi hapa duniani kwani sisi si chochote wala lolote hapa duniani.Full Barakoa, sio kama zile enzi za Ibilisi aliemaliza Wazee wetu.
Hivi siku hizi hazileti hasara katika taifa?Kwahiyo kachoma Mafuta ya Ndege jana kwenda Dodoma ili 'Kuwaapisha' tu hawa? Kwanini ili Kuokoa Pesa za Walalahoi ( Watanzania ) hawa 'Walioapishwa' wao ndiyo wasingekuja Dar es Salaam na Gari zao ili waapishwe?
Inawezekana atakuwa Dodoma kwa majukumu mengine ya kiserikali.Kwahiyo kachoma Mafuta ya Ndege jana kwenda Dodoma ili 'Kuwaapisha' tu hawa? Kwanini ili Kuokoa Pesa za Walalahoi ( Watanzania ) hawa 'Walioapishwa' wao ndiyo wasingekuja Dar es Salaam na Gari zao ili waapishwe?
dawa ni kuufyeka muungano hauna tija kabisa kwa karne hii mbali na kubebeshwa mamizigo tu ya wanzaribari.katiba ndo suluhisho la kila kitu na aliyevuruga katiba yetu allainisha milele yote.Inawezekana atakuwa Dodoma kwa majukumu mengine ya kiserikali.
Matumizi mabaya ya fedha za ummaKwahiyo kachoma Mafuta ya Ndege jana kwenda Dodoma ili 'Kuwaapisha' tu hawa? Kwanini ili Kuokoa Pesa za Walalahoi ( Watanzania ) hawa 'Walioapishwa' wao ndiyo wasingekuja Dar es Salaam na Gari zao ili waapishwe?
Wanasema mdomo huumba, bahati mbaya kutambua hivyo ni mpaka uwe na busara za kutosha.Hope wewe ni malaika alietumwa na Mungu kuja kuhukumu watu hata walio wafu,na ni imani yangu utaishi milele hapa duniani,roho mbaya si mtaji utakaokupa ridhiki,kutukana au kumtukana mtu haikuongezei chochote,jijengee tabia ya kusahau au kusamehe hata kama mwanadamu kakukosea vipi hapa duniani kwani sisi si chochote wala lolote hapa duniani.
Dodoma ndio ofisi yake.Kwahiyo kachoma Mafuta ya Ndege jana kwenda Dodoma ili 'Kuwaapisha' tu hawa? Kwanini ili Kuokoa Pesa za Walalahoi ( Watanzania ) hawa 'Walioapishwa' wao ndiyo wasingekuja Dar es Salaam na Gari zao ili waapishwe?
CrapFull Barakoa, sio kama zile enzi za Ibilisi aliemaliza Wazee wetu.
Ila wewe jamaa hujawahi kuwa na hoja zaidi ya matusi.I guess una matatizo makubwa ya kisaikolojia.Full Barakoa, sio kama zile enzi za Ibilisi aliemaliza Wazee wetu.
Ujinga ujinga tu huwezi kucoment bila kumtaja JPMFull Barakoa, sio kama zile enzi za Ibilisi aliemaliza Wazee wetu.
Yulemwingine kifafa kilikua kinampa kizunguzungu tofly from the sea levelKwahiyo kachoma Mafuta ya Ndege jana kwenda Dodoma ili 'Kuwaapisha' tu hawa? Kwanini ili Kuokoa Pesa za Walalahoi ( Watanzania ) hawa 'Walioapishwa' wao ndiyo wasingekuja Dar es Salaam na Gari zao ili waapishwe?
Wamachinga wanauza hatima yao na vitambulisho vyao vipi?Yulemwingine kifafa kilikua kinampa kizunguzungu tofly from the sea level
Mkuu..MUNGU ashukuriwe sana kwa kulifyekelea mbali lile chizi..Full Barakoa, sio kama zile enzi za Ibilisi aliemaliza Wazee wetu.
Bado weweMkuu..MUNGU ashukuriwe sana kwa kulifyekelea mbali lile chizi..
Na Chattle nasikia kuna joto kali sanaa hivi sasa, maana yake jamaa litakua linaungua moto kisawasawa huko chini hivi sasa.