Rais Samia awaapisha Balozi Batilda kuwa RC Tabora na Zuwena Omari kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga

Kwahiyo kachoma Mafuta ya Ndege jana kwenda Dodoma ili 'Kuwaapisha' tu hawa? Kwanini ili Kuokoa Pesa za Walalahoi ( Watanzania ) hawa 'Walioapishwa' wao ndiyo wasingekuja Dar es Salaam na Gari zao ili waapishwe?
Mama'e mmebakia kupinga pinga Hadi upuuzi,

We unajua ratiba zake Rais zipoje?! Kwani umeambiwa uko dodoma kaenda kwa shuhuri iyo moja tu ya kuwaapisha hao?? Rais ana ratiba nyingi, zingine we kikojozi wa kitandani uwezi kuziona kwenye TV, uwezi jua labda ana kikao dodoma Cha baraza la usalama wa Taifa,na mengineyo ambayo hayawezi kurushwa hewani
 
Elimu yako tafadhali
 
Full Barakoa, sio kama zile enzi za Ibilisi aliemaliza Wazee wetu.
Inakupa faraja? Wakati uhalisia wa mtaani ni tofauti kabisa. Pita hospital yoyoted dsm niambie watu wanofika hapo kama wanavaa barakoa..hapo sijaongelea vyombo vya usafiri, taasisi za elimu, viwanja vya michezo, masoko na nk
 
Kuna mkopo anabembeleza
 
Inakupa faraja? Wakati uhalisia wa mtaani ni tofauti kabisa. Pita hospital yoyoted dsm niambie watu wanofika hapo kama wanavaa barakoa..hapo sijaongelea vyombo vya usafiri, taasisi za elimu, viwanja vya michezo, masoko na nk
Lakini tunaelekea kwenye full Barakoa
 
Kwahiyo kachoma Mafuta ya Ndege jana kwenda Dodoma ili 'Kuwaapisha' tu hawa? Kwanini ili Kuokoa Pesa za Walalahoi ( Watanzania ) hawa 'Walioapishwa' wao ndiyo wasingekuja Dar es Salaam na Gari zao ili waapishwe?
Ujuaji mwingi mbele Giza
 
Hope wewe ni malaika alietumwa na Mungu kuja kuhukumu watu hata walio wafu,na ni imani yangu utaishi milele hapa duniani,roho mbaya si mtaji utakaokupa ridhiki,kutukana au kumtukana mtu haikuongezei chochote,jijengee tabia ya kusahau au kusamehe hata kama mwanadamu kakukosea vipi hapa duniani kwani sisi si chochote wala lolote hapa duniani.
Hitler,Bokassa,Iddi Amini..wanasemwa uchungu waliosabashia Binadamu kwanini isiwe Dikteta Magufuli?
 
Back
Top Bottom